Bado haujawajua wahindi vizuri wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Pole sana.
Hapo marekani anaingizwa cha kike. India inapata benefit nyingi sana kutoka Russia na China kuliko benefits atakazopata kutoka marekani
Ant West wamepumbazwa akili.Wewe ndio hujui. Eti mimi nisijue wewe ndio ujue, wewe pambana na swaumu tu.
Hawawezi achana na dollar maana madeni yao yapo in dollarUmeelewa alichokisema Ruto? Aliposema "Those who hold dollars" hii sentesi umeielewaje?? Au aliposema "After a couple of weeks this market is going to be different" ndiyo ulitaka kumaanisha kwamba wanaachana na Dollar!!?
Waafrika, Watanzania ni wapumbavu sana, leo ukimpa uchaguzi aende China au USA atakimbiza makalio MarekaniKuna watu wanadhani wako vitani dhidi ya Marekani.
Wewe unaokota maoni ya watu, unadhani ni SerikaliBaki na ujinga wako..
View attachment 2567776
Marekani akiamua kuondoa vikwazo ana uwezo wa kutoa mafuta mengi sana ila tatizo hawezi shindana duniani kutokana na mfumo wake wa flacking ni ghaliKatika hizo Transaction za mafuta washiriki wamojawapo wakubwa kama wazalishaji na wananunuzi ni pamoja ns US, Canada na Umoja wa Ulaya.
Amewazunguka China, Urusi wakijumlishwaBado huyo huyo mmarekani ndiye mwenye reserve kubwa ya gold duniani
Unafikili India haifahamu kuwa marekani ni joka lenye sumu kalli? Marekani kama anataka kumtengeneza India kuwa adui wa China, basi imechelewa sanaaa na hizo mbinu za kizamani
CIA wachovu sana, wameshindwa kugundua malengo ya uwanzishwaji wa BRICS na kuchukua tahadhariYani wewe uliyepo buza na Tecno yako ya Mchina unajitamba kuwafahamu Wahindi vizuri zaidi kuliko CIA waliojaa tele ndani ya India!
Huyu mfalme kijana wa Saudia ameishajua US sio tishio kama wanavyojinadi. Ameona jinsi US walivyodhalilishwa na Russia huko Syria mpaka wakaondoka kimyakimyaSaudia haiwezi kusema hivyo bila ya kuwa na sababu za msingi - Saudia ya miaka ya 1947s siyo ya leo-wana angalia mbali zaidi kwa ajili ya maslahi mapana ya Taifa lao, siyo kuburuzwa buruzwa tu kama enzi za mababu zao waliokuwa wanaburuzwa na makampuni makubwa ya Mafuta ya Kimerikani na Uingereza - enzi hizo ndio zimefikia mwisho tena, US & UK wakubali wasikubali hawana jinsi.
Mmarekani ukute anawatumie China kuwapeleka watu mtaroni. Mbele ya Marekani China ni kama Japan.Ant West wamepumbazwa akili.
Wao kila kitu wanapinga tu ili waonekane wanapinga.
Kuiondoa dollar sokoni ni ngumu sana, Saudi bado anauza mafuta mengi Marekani na anayauza kwa dollar.
China mwenyewe hutumia dollar na ana hifadhi kubwa kuliko nchi yoyote duniani.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Eti india na China kama paka na panya, kaka mambo yanabadilika kila siku na usipende kuishi kwa kukariri kama marekaniMarekani wala hana haja hiyo, India na China ni kama paka na panya tangu enzi. Kuna nyakati wanaheshimiana na nyakati wanaparuana kama sasa hivi. Kiongozi wa upinzani Rahul Gandhi amewekwa mtu kati na serikali ya Modi na Subrahmanyam Jaishankar baada ya kuwaambia China sio kitisho cha usalama na India inapaswa kujifunza kwa China katika uchumi.
Muhindi muhuni toka muda anakula kwa wamagharibi. Na mrusi. Wanajielewa hao.......Sasa hivi Marekani anashirikiana na India ambaye ni mwanachama mmojawapo wa BRICS kuipiga pini China katika teknolojia ya microchips, na wako katika mpango kabambe wa ushirikiano wa kijeshi kuijengea India uwezo mkubwa zaidi wa kupambana na China
Tatizo.kubwa ni elimu, haya mambo ukisimulia mitaani utaonekana unapendelea marekaniMmarekani ukute anawatumie China kuwapeleka watu mtaroni. Mbele ya Marekani China ni kama Japan.
Nyuma ya investments za Mchina hadi technology Mmarekani nduye anayetawala. China nduye anayetumika kuzi neutralise hixo nchi nyingine.
China ni mzuri kwenye Soft power, na hiyo ndiyo inatumiwa kama long term weapon kuwa neutral8se Anti-US wote baada ya muda fulani.
China kabisa eti anaziunganisha nchi ili kupambana na domunance ya US wakati kila kitu chake US ndiye anakitawala halafu na wao wanaamini, ama kweli ujinga hauna mwenyewe?
Upepo umebadirika........ Watu walikua wanavuta kasi tuMmarekani ukute anawatumie China kuwapeleka watu mtaroni. Mbele ya Marekani China ni kama Japan.
Nyuma ya investments za Mchina hadi technology Mmarekani nduye anayetawala. China nduye anayetumika kuzi neutralise hixo nchi nyingine.
China ni mzuri kwenye Soft power, na hiyo ndiyo inatumiwa kama long term weapon kuwa neutral8se Anti-US wote baada ya muda fulani.
China kabisa eti anaziunganisha nchi ili kupambana na domunance ya US wakati kila kitu chake US ndiye anakitawala halafu na wao wanaamini, ama kweli ujinga hauna mwenyewe?
Wafalme wazee wa zamani wa Saudia sio vijana wa leo. Wake up from your sleepless slumber..Fall of USA is the fall of the world,hizo ni ndoto tena saudia ndio kibaraka mkubwa wa USA ingekua mchina au mrussi kasema hivyo sawa.
Watanzania wengi uelewa ni mdogo sana, ukitaka anzisha story ya kujua uelewa wa watu.Tatizo.kubwa ni elimu, haya mambo ukisimulia mitaani utaonekana unapendelea marekani
Kama umewahi kupita kwenye vibanda vya movie uswahilini utanielewa , anachotafsiri mkandara watu ndo wanaweka kichwani kama reference , Hali hii ndo inatufanya mambo mengi ya kimataifa na jinsi dunia inavyokwenda yatupite kushoto.
Mkandaranhana muda wa kutafsiri taarifa ya habari bbc ,cnn aljazeera au russia today.
Uzushi unqtukaa kichwani kwao sababu hatuna option ya kujifunza hali halisi, tatizo kubwa ni lugha .Watanzania wengi uelewa ni mdogo sana, ukitaka anzisha story ya kujua uelewa wa watu.
Ongea uzushi afu sikilizia kitacholetwa baada ya huo uzushi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Na lugha haipo cnn na bbc tuUzushi unqtukaa kichwani kwao sababu hatuna option ya kujifunza hali halisi, tatizo kubwa ni lugha .