Saudi Arabia has announced end of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire

Yani wewe uliyepo buza na Tecno yako ya Mchina unajitamba kuwafahamu Wahindi vizuri zaidi kuliko CIA waliojaa tele ndani ya India!
Bado haujawajua wahindi vizuri wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Pole sana.

Hapo marekani anaingizwa cha kike. India inapata benefit nyingi sana kutoka Russia na China kuliko benefits atakazopata kutoka marekani
 
Wewe ndio hujui. Eti mimi nisijue wewe ndio ujue, wewe pambana na swaumu tu.
Ant West wamepumbazwa akili.
Wao kila kitu wanapinga tu ili waonekane wanapinga.
Kuiondoa dollar sokoni ni ngumu sana, Saudi bado anauza mafuta mengi Marekani na anayauza kwa dollar.
China mwenyewe hutumia dollar na ana hifadhi kubwa kuliko nchi yoyote duniani.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Umeelewa alichokisema Ruto? Aliposema "Those who hold dollars" hii sentesi umeielewaje?? Au aliposema "After a couple of weeks this market is going to be different" ndiyo ulitaka kumaanisha kwamba wanaachana na Dollar!!?
Hawawezi achana na dollar maana madeni yao yapo in dollar

Wanaagiza kwa dollar, pesa yao itaendelea kushuka hadi kitaeleweka

Kwa sasa Serikali ya Kenya imeanza na imeruhusu vijana wavamie viwanja na mali za Kenyata, Odinga hawa nao wata retaliate kwa kutumia vijana wao mwisho yatatokea makubwa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Katika hizo Transaction za mafuta washiriki wamojawapo wakubwa kama wazalishaji na wananunuzi ni pamoja ns US, Canada na Umoja wa Ulaya.
Marekani akiamua kuondoa vikwazo ana uwezo wa kutoa mafuta mengi sana ila tatizo hawezi shindana duniani kutokana na mfumo wake wa flacking ni ghali

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Marekani wala hana haja hiyo, India na China ni kama paka na panya tangu enzi. Kuna nyakati wanaheshimiana na nyakati wanaparuana kama sasa hivi. Kiongozi wa upinzani Rahul Gandhi amewekwa mtu kati na serikali ya Modi na Subrahmanyam Jaishankar baada ya kuwaambia China sio kitisho cha usalama na India inapaswa kujifunza kwa China katika uchumi.
Unafikili India haifahamu kuwa marekani ni joka lenye sumu kalli? Marekani kama anataka kumtengeneza India kuwa adui wa China, basi imechelewa sanaaa na hizo mbinu za kizamani
 
Yani wewe uliyepo buza na Tecno yako ya Mchina unajitamba kuwafahamu Wahindi vizuri zaidi kuliko CIA waliojaa tele ndani ya India!
CIA wachovu sana, wameshindwa kugundua malengo ya uwanzishwaji wa BRICS na kuchukua tahadhari

CIA ilishindwa kugundua kuwa Russia ilijiandaa vya kutosha kejeshi na kiuchumi kabla ya kuivamia Ukraine? CIA tulikuwa tunaipa maujiko for nothing
 
Saudia haiwezi kusema hivyo bila ya kuwa na sababu za msingi - Saudia ya miaka ya 1947s siyo ya leo-wana angalia mbali zaidi kwa ajili ya maslahi mapana ya Taifa lao, siyo kuburuzwa buruzwa tu kama enzi za mababu zao waliokuwa wanaburuzwa na makampuni makubwa ya Mafuta ya Kimerikani na Uingereza - enzi hizo ndio zimefikia mwisho tena, US & UK wakubali wasikubali hawana jinsi.
Huyu mfalme kijana wa Saudia ameishajua US sio tishio kama wanavyojinadi. Ameona jinsi US walivyodhalilishwa na Russia huko Syria mpaka wakaondoka kimyakimya
 
Ant West wamepumbazwa akili.
Wao kila kitu wanapinga tu ili waonekane wanapinga.
Kuiondoa dollar sokoni ni ngumu sana, Saudi bado anauza mafuta mengi Marekani na anayauza kwa dollar.
China mwenyewe hutumia dollar na ana hifadhi kubwa kuliko nchi yoyote duniani.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mmarekani ukute anawatumie China kuwapeleka watu mtaroni. Mbele ya Marekani China ni kama Japan.
Nyuma ya investments za Mchina hadi technology Mmarekani nduye anayetawala. China nduye anayetumika kuzi neutralise hixo nchi nyingine.
China ni mzuri kwenye Soft power, na hiyo ndiyo inatumiwa kama long term weapon kuwa neutral8se Anti-US wote baada ya muda fulani.
China kabisa eti anaziunganisha nchi ili kupambana na domunance ya US wakati kila kitu chake US ndiye anakitawala halafu na wao wanaamini, ama kweli ujinga hauna mwenyewe?
 
Marekani wala hana haja hiyo, India na China ni kama paka na panya tangu enzi. Kuna nyakati wanaheshimiana na nyakati wanaparuana kama sasa hivi. Kiongozi wa upinzani Rahul Gandhi amewekwa mtu kati na serikali ya Modi na Subrahmanyam Jaishankar baada ya kuwaambia China sio kitisho cha usalama na India inapaswa kujifunza kwa China katika uchumi.
Eti india na China kama paka na panya, kaka mambo yanabadilika kila siku na usipende kuishi kwa kukariri kama marekani
 
Sasa hivi Marekani anashirikiana na India ambaye ni mwanachama mmojawapo wa BRICS kuipiga pini China katika teknolojia ya microchips, na wako katika mpango kabambe wa ushirikiano wa kijeshi kuijengea India uwezo mkubwa zaidi wa kupambana na China
Muhindi muhuni toka muda anakula kwa wamagharibi. Na mrusi. Wanajielewa hao.......
 
Mmarekani ukute anawatumie China kuwapeleka watu mtaroni. Mbele ya Marekani China ni kama Japan.
Nyuma ya investments za Mchina hadi technology Mmarekani nduye anayetawala. China nduye anayetumika kuzi neutralise hixo nchi nyingine.
China ni mzuri kwenye Soft power, na hiyo ndiyo inatumiwa kama long term weapon kuwa neutral8se Anti-US wote baada ya muda fulani.
China kabisa eti anaziunganisha nchi ili kupambana na domunance ya US wakati kila kitu chake US ndiye anakitawala halafu na wao wanaamini, ama kweli ujinga hauna mwenyewe?
Tatizo.kubwa ni elimu, haya mambo ukisimulia mitaani utaonekana unapendelea marekani
Kama umewahi kupita kwenye vibanda vya movie uswahilini utanielewa , anachotafsiri mkandara watu ndo wanaweka kichwani kama reference , Hali hii ndo inatufanya mambo mengi ya kimataifa na jinsi dunia inavyokwenda yatupite kushoto.
Mkandaranhana muda wa kutafsiri taarifa ya habari bbc ,cnn aljazeera au russia today.
 
Upepo umebadirika........ Watu walikua wanavuta kasi tu
 
Fall of USA is the fall of the world,hizo ni ndoto tena saudia ndio kibaraka mkubwa wa USA ingekua mchina au mrussi kasema hivyo sawa.
Wafalme wazee wa zamani wa Saudia sio vijana wa leo. Wake up from your sleepless slumber..
 
Tatizo.kubwa ni elimu, haya mambo ukisimulia mitaani utaonekana unapendelea marekani
Kama umewahi kupita kwenye vibanda vya movie uswahilini utanielewa , anachotafsiri mkandara watu ndo wanaweka kichwani kama reference , Hali hii ndo inatufanya mambo mengi ya kimataifa na jinsi dunia inavyokwenda yatupite kushoto.
Mkandaranhana muda wa kutafsiri taarifa ya habari bbc ,cnn aljazeera au russia today.
Watanzania wengi uelewa ni mdogo sana, ukitaka anzisha story ya kujua uelewa wa watu.
Ongea uzushi afu sikilizia kitacholetwa baada ya huo uzushi

Back
Top Bottom