Saudi Arabia has announced end of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire

Ile tarehe 6 mwezi wa kwanza ulisema nini kitatokea?
That was an estimate,na estimate sio lazima iwe exactly as you said,but I know eventually it will happen.Remember the war is still ongoing.
 
Sasa hv mfalme anaondolewa madarakani na US,kesi ya mauaji ya Kashoghi and the likes itafufuliwa
 
Hiyo BRICS haina tofauti na AU, ni Simba wa kuchorwa tu.
Kuwa na akili, hiyo mi mikakati ya BRICKS na nchi nyingi tu zitajiunga na huo umoja. Western wameinyonya sana hii dunia na sasa tunasema basi. Tunaanza mdogomdogo
 
Haya ni mawazo ya kipumbavu.
Hakuna nchi yenye rasilimali za kutosha kusapoti sarafu yake.
 
Well said mtaalamu...
 
Sio jambo la siku 1,, hata muingereza alipoachia ukiranja mambo yalianza taratibu,,,.....unaanza kupoteza influence taratibu baadae unapotea kabisa
Watu wajinga hudhani kuanguka kwa taifa kubwa kama marekani ni jambo la usiku mmoja, ni kulala na kuamka na kukuta tayari limeanguka.
 
Ni kweli kuwa Saudi Arabia na mataifa mengine ya kiarabu yapatikanayo ghuba kupitia “ China - Gulf Cooperation Council” wameadhimiana katika kufanya biashara ya mafuta kwa kuanza kutumia fedha ya Yuan tofauti na Dollar kama awali.
 
Boss hii taarifa ambayo haijachakachuliwa wahusika wameitangaza? Naomba link kama hutajali.
 
Brother I don’t like to use the word stupid but I would say you’re stupid if yo believes that . 15 percent in SA are Shia and they are the ruler .. the king family .. 85 percent Sun who oppose the kingdom and the have witnessed so much injustices against them just not long time ago the sun sheikh sentenced to death an king led by Saudi kingdom .. if American military base wasn’t in SA or American decide to leave Saudi the kingdom will fall … the Shia gets support from Neighbor Yemen and Iran only America stoping them from overthrowing the kingdom
 
America wanaweza kupindua kingdom in just one day if they want too .. or feels it’s necessary to do so
 
[emoji23] US dola imechukua miaka zaidi ya miaka 80 kufanya pesa yao kufikia kila kona kimatumizi alafu leo unakuja na mafuta yako ya kigoma kupindua.

Nilishasema warabu hawana akili
Walioipandisha dola ndio Hao Hao wanaishusha. Mwarabu wala hausiki.
 
Tusubiri.,time will tell.Kama empires zingine zili-collapse,why not America na nimesha kuonyesha mifano.You are burrying your head in the sand,the collapse of America is imminent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…