Saudi Arabia, UAE, Iran, Egypt, Ethiopia na Argentina zakubaliwa kujiunga BRICS

Saudi Arabia, UAE, Iran, Egypt, Ethiopia na Argentina zakubaliwa kujiunga BRICS

Baada ya mafanikio ya mkutano wa BRICKS nchini Afrika Kusini
Ajenda ya mkutano kuhusu kuongeza wanachama kwa kuwaomba nchi za UAE, Iran, Saudi Arabia, Ethiopia, Argentina na Tanzania kujiunga na uanachama wa BRICKS ili kuongeza nguvu ya umiak huo
Source
 
Bricks ni nini isije kuwa mnaingizwa kwenye mtego ... Na tulivyo mambumbumbu kila kitu kutoka juu huwa tunameza tuu tukifkr ndo ustaarabu na mafanikio
 

Sasa BRICS itakuwa na wanachama 11 wenye sifa zifuatazo

● BRICS itakuwa na mataifa 6 kati ya 9 ambayo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi duniani.

● BRICS itakuwa na mataifa ambayo yana 80% ya oil reserve duniani.

● BRICS itakuwa na mataifa yenye jumla ya GDP $30.76 trillion. Asilimia 36% ya uchumi wa dunia utakuwa mikononi mwa mataifa ya BRICS.

Zaidi ya mataifa 40 tayari yameonyesha nia ya kujiunga na BRICS.

Watafiti wa mambo ya kiuchumi wanasema uwepo wa mataifa makubwa yanayozalisha nishati ya mafuta ndani ya BRICS kutadhoofisha mfumo wa PetroDollar ikizingatiwa baadhi ya mataifa hayo yameanza kutumia sarafu zao katika biashara ya nishati hiyo.
Nimefurahia sana kuona mwangaza wa kuinyima USA ubabe wa kiutawala
 
Ushirika kama huo uliwahi kuwepo miaka ya nyuma ukiitwa "Non Aligned Movement" lakini ulikuja kufa baadaye sawa tu na huu nao utakavyokufa.

Hayo mataifa ya Brics bado yanahitaji sana kufanya biashara na Marekani na marafiki zake na hawawezi kufanya bila kutumia dola.

This is just the way the countries opposed to the US hegemony are trying to use to overcome their own frustrations but just like the defunct Non Aligned Movement, it will survive just like a burning matchstick before perishing away.
 
Hii si habari njema kwa mataifa ya G7

Ikumbukwe kuwaweka pamoja Iran na Saudi Arabia hapo ni juhudi za China za kuyapatanisha mataifa hayo mawili wakati Marekani alitamani mataifa hayo yaendelee kuwa hasimu

Egypt na Ethiopia zimekuwa na msuguano kwenye bwawa la GERD kuyaleta pamoja mataifa hayo ni juhudi nzuri za BRICS

Kikubwa zaidi ni uwepo wa mataifa ya Africa inapendeza sana
Safi Sana [emoji38] umeachambua vzr Kam mwakatobe mwagandumi
 
Hao jamaa hawapo serous huwezi kuanzisha umoja wa kiuchumi ukaliweka Taifa kama Ethiopia,

Matokeo yake watamuweka hadi somalia[emoji2961]

Sasa huo ni muunganovwa kiuchumi au kikundi cha kigaidi.
 
VITA YA UKRAIN IMEKUWA MUHIMU SANA KWA NCHI ZINAZOINUKIA KUJIFUNZA NA KUJIKOMBOA.
BRICKS IMEIBUKA BAADA YA WEST/NATO KUWEKA VIKWAZO DHIDI YA URUSI HASA KUFUNGIA MFUMO WA FEDHA ILI URUSI IKOSE NGUVU YA KUNUNUA BIDHAA NA KUUZA.
KUMBE WEWE UKIONA HUKU MWENZIO ANAONA KULE. NATO WAMEJITENGENEZEA MZIMU WAO WENYEWE.
BRICKS ITAKUWA NA MFUMO WAKE WA FEDHA AMBAPO VIKWAZO VYA MAGHATIBI HAVITA KUWA NA MAANA TENA.
TUREJEE ZIMBABWE ILIPOWEKEWA VIKWAZO NA WEST HASA UENGEREZA.
KUNA WARANZANIA WANA UPEO MDOGO SANA HUMU JF.
YAANI MSOMI WA JF GSONI DAIDA YA BRICKS.
MBONA TUWAJINGA SANA.
KUNA WATANZANUA WANATAMANI MAREJANI IENDELEE KUWA NA NGUVU YA KUJIAMULIA JUU YA MAISHA YA WENGINE, INASIKITISHA SANA.
SASA YIPO KATIKA BIPOLAR POWER.
MIMI NINGEPENDA IOATOKANE POWER YA TATU. YUWE NA TRI POLAR POWER ILI TUSINYANYASANE.
 
Hao jamaa hawapo serous huwezi kuanzisha umoja wa kiuchumi ukaliweka Taifa kama Ethiopia,

Matokeo yake watamuweka hadi somalia[emoji2961]

Sasa huo ni muunganovwa kiuchumi au kikundi cha kigaidi.
Wewe una akili kuliko zhi jin ping, Putin, Ramaphosa nk.
Wewe umeshindwa kuunganisha hata ukoo wako ymtu muwe na nguvu moja ndio uwe na akili kuliko viongozi wa BRICKS, hio ni utani.
Mkuu tutaniane sisi kwa sisi humu.
Tania ccm,tania chadema. achana na watu walio serious ba mambo yao, achana kabisa.
 
Back
Top Bottom