HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Haijulikani na hawatakubalianaSarafu ya BRICS inaitwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijulikani na hawatakubalianaSarafu ya BRICS inaitwaje?
Tega nikutegue😂Bricks ni nini isije kuwa mnaingizwa kwenye mtego ... Na tulivyo mambumbumbu kila kitu kutoka juu huwa tunameza tuu tukifkr ndo ustaarabu na mafanikio
Nimefurahia sana kuona mwangaza wa kuinyima USA ubabe wa kiutawala
Sasa BRICS itakuwa na wanachama 11 wenye sifa zifuatazo
● BRICS itakuwa na mataifa 6 kati ya 9 ambayo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi duniani.
● BRICS itakuwa na mataifa ambayo yana 80% ya oil reserve duniani.
● BRICS itakuwa na mataifa yenye jumla ya GDP $30.76 trillion. Asilimia 36% ya uchumi wa dunia utakuwa mikononi mwa mataifa ya BRICS.
Zaidi ya mataifa 40 tayari yameonyesha nia ya kujiunga na BRICS.
Watafiti wa mambo ya kiuchumi wanasema uwepo wa mataifa makubwa yanayozalisha nishati ya mafuta ndani ya BRICS kutadhoofisha mfumo wa PetroDollar ikizingatiwa baadhi ya mataifa hayo yameanza kutumia sarafu zao katika biashara ya nishati hiyo.
USA amezidi sana kuipelekesha dunia atakavyoYote hayo ni kwaajili ya kumkabili USA na washirika wake.
Inasikitisha sana taifa lenye vijana kama nyinyi lina safari ndefu sana kujikwamuaWabongo hampendi kuambiwa ukweli,
BRICS ni genge lingine la wanywa kahawa tu kama ilivyo AU.
Sahihi chifuBrics ni ishirikiano wa kiuchumi zaidi wala sio wa kijeshi kama NATO.
Brics inataka kuleta usawa wa kiuchumi,kibiashara na kimaendeleo
Pamoja mkuuJibu la sahihi kabisa hili.
Safi sana Mkuu.
Hata Biden atakushangaa kwa ulichokiandika
Wachana na watumwa wa kimarekani haoInasikitisha sana taifa lenye vijana kama nyinyi lina safari ndefu sana kujikwamua
USA anenifanya kuichukia NatoPamoja mkuu
Safi Sana [emoji38] umeachambua vzr Kam mwakatobe mwagandumiHii si habari njema kwa mataifa ya G7
Ikumbukwe kuwaweka pamoja Iran na Saudi Arabia hapo ni juhudi za China za kuyapatanisha mataifa hayo mawili wakati Marekani alitamani mataifa hayo yaendelee kuwa hasimu
Egypt na Ethiopia zimekuwa na msuguano kwenye bwawa la GERD kuyaleta pamoja mataifa hayo ni juhudi nzuri za BRICS
Kikubwa zaidi ni uwepo wa mataifa ya Africa inapendeza sana
Naona Kam ndoto za mchana kuiteteresha marekani haijawai kuwa kazi raisiMarekani na washirika wake wajipange
Wewe una akili kuliko zhi jin ping, Putin, Ramaphosa nk.Hao jamaa hawapo serous huwezi kuanzisha umoja wa kiuchumi ukaliweka Taifa kama Ethiopia,
Matokeo yake watamuweka hadi somalia[emoji2961]
Sasa huo ni muunganovwa kiuchumi au kikundi cha kigaidi.
Upo zako tandale huko unaijadili BRICS pumbavuWabongo hampendi kuambiwa ukweli,
BRICS ni genge lingine la wanywa kahawa tu kama ilivyo AU.