Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Tundu Lissu ana kazi kubwa sana. Hawa watu hawatakubali awe Rais. Never!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana hoja hao haters 👇👇Badilini mbinu za siasa zenu mkuu....msitembee na upepo wa matukio.... hopefully Lissu anaweza kuliwekea mkakati hili jambo....ila mkiendelea na trends zenu za siku zte hakyanani pamoja na kuibiwa kura lile jumba jeupe la pale magogoni mtabaki kulisikia tu....Chadema ilikuwa na wajenga hoja wazuri sana lakini siku hzi ni fujo tu....tulizeni mizuka makamanda...tunawategemea
Hayo masharti ya DPW yalikwishakuwa overtaken by events, ndiyo maana Saudi kapewaMasharti ya DPw ilikuwa hakuna kujenga wala kuendeleza bandari nyingine besides ya Dar
Ndiyo maana alikufa. Muache aendelee kuoza kwa dhambi zake"Ni kiongozi kichaa tu atakaye kubaliana na masharti ya mkataba wa Bandari ya Bagamoyo"
R.I.P Jiwe
Eneo la uwekezaji la Bagamoyo iliwepo Bandari limepata mwekezaji Mpya ambae ataliendeleza, kampuni ya SADC kutoka Saudi Arabia baada ya China na Oman Kushindwa Kuendeleza .Pia soma Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo
Swali ni Je mfupa ulimshinda fisi ,saizi utatekelezeka? Tusubirie tuone.
View attachment 3235476
My Take
Hawa wajenge Bandari from scratch na wakishindwa watimuliwe kama mbwa bila fidia Saudi Arabia acquires Tanzania’s Bagamoyo port
View: https://www.instagram.com/p/DGA6dL-KQE6/?igsh=ZzZkN2t1aHdqajdi
Zingatia Taarifa ya Serikali
Bandari haijauzwa ila ni majadiliano na Mpango wa uwekezaji wa pamoja.
View: https://www.instagram.com/p/DGBF7YZo7h9/?igsh=c2JjbGMwdGdoY2Z2
Akili za vijana wa CHADEMA ni za pingapinga tu. Ndiyo maana wakati wa uchaguzi wenu wa ndani muliishia kutukanana matusi yote ya nguoniNdio tunavyodanganywa mara zote
Uzushi wa Chadomo ndio mliuamini?Lakini SI wataenda kinyume na ule wa DP world kwamba hakuna uwekezaji wa mwambao wa pwani na maziwa makuu bila wao?
Wamejiandaa vipi na kesi?
Halafu kwenye bendera yao pale kuna picha ya jambia lazima tuogope!
Lakini Hata waliosaini waliuaminiUzushi wa Chadomo ndio mliuamini?

Duuh kwa hiyo tulipigwa? Lini hiyo overtaking ilifanyika?Hayo masharti ya DPW yalikwishakuwa overtaken by events, ndiyo maana Saudi kapewa
Watauza hadi OxygenKwa
Ufalme wa Saudia yananunua Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania, langona kitovu muhimu zaidi cha usafirishaji katika Afrika Mashariki
Imeandikwa na Ahmed Hamad
Februari 12, 2025
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Saudia, Hassan bin Mujib Al-Huwazizi, alifichua kuwa mamlaka husika ya Tanzania imetoa haki ya upataji na ununuzi wa Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania kwa Kampuni ya Uwekezaji na Maendeleo ya Saudia (SADC) kama sehemu ya mradi ambao kampuni hiyo imeuita “East Gateway Project”, akimaanisha ukanda wa Afrika Mashariki.
Al-Huwazizi alisema kuwa hatua hii itaunga mkono jukumu la Ufalme kama kichocheo kikuu cha maendeleo ya kiuchumi katika ngazi ya kimataifa, na jitihada zake za kupanua uwekezaji wa kigeni, hasa katika bara la Afrika, pamoja na kuboresha uwezo wake wa vifaa ili kufikisha mauzo ya Saudi katika masoko ya kimataifa.
Hayo yamejiri wakati wa Jukwaa la Biashara la Saudia na Tanzania, kwa kuungwa mkono na Shirikisho la Vyama vya Saudia linalotembelea Tanzania ikiwa ni sehemu ya juhudi zake za kufungua masoko mapya katika bara la Afrika, katika hatua ya kimkakati yenye ubora wa kuimarisha uhusiano wa kiuchumi kati ya Ufalme na Zanzibar, na kufungua upeo mpya wa uwekezaji wa Saudia katika eneo hilo
Ununuzi wa kampuni ya SADC wa Bandari ya Bagamoyo unawakilisha mabadiliko ya ubora katika maendeleo ya miundombinu ya baharini na vifaa katika Afrika Mashariki, kupitia utaalamu mkubwa wa Saudia katika eneo hili, ambayo itaongeza nafasi ya kanda kama kitovu cha biashara ya kimataifa, na kufungua upeo mpana kwa uwekezaji wa Saudi katika sekta muhimu kama vile nishati, madini, biashara, vifaa, viwanda vya nishati na nishati.
Inatarajiwa kwamba ununuzi wa Saudia wa Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania utachangia katika juhudi za Ufalme wa kuinua uchumi wake, kuunda vituo vipya vya uwekezaji na uuzaji, kuchangia mauzo ya bidhaa za Saudia kwenye masoko ya Afrika, na kuchochea harakati katika bandari za Ufalme huo.
Bandari ya Bagamoyo ina umuhimu mkubwa kwa Ufalme wa Saudia, kwani ndiyo lango kuu la usafirishaji katika Afrika Mashariki, itahudumia Tanzania na nchi jirani, na itakuwa bandari kuu ya kusafirisha malighafi na maliasili za Afrika kwa nchi mbalimbali duniani au kuagiza bidhaa katika nchi za Afrika.
Watauza hadi Oxygen
Na bado!
China na Oman hawakushindwa, ila wenye akili zao walikataa mikataba hiyoBaada ya Oman & China Kushindwa Masharti ya Kuendeleza Bandari ya Bagamoyo,Matajiri wa Saudi Arabia Waingia Kazini.