Saudi Arabia yapiga marufuku adhana, Watoto kuswali misikitini pamoja na sauti za juu

Kama maswali ya kitoto usinge shiriki toka awali unge yapuuza, jitahidi kuficha ujinga wako kupitia maandishi yako.
Lazima nikucheke ili ujitambue siku nyingine haya ni maneno tu naona ushapotea ...uislamu uutoe wapi?

Situkan nakucheka tu!
 
BAADHI YA DALILI ZA KIYAMA ;

Abdullah Ibn Abbas رضي الله عنه amesema kuwa baada ya kumaliza Hajj ya mwisho, Mtume Mtukufu alisimama mbele ya mlango wa Ka'aba Tukufu, akiwa ameshikilia komeo ya mlango, huku akiwauliza masahaba wake, " Je nikuambieni dalili za siku ya Qiyama?"
Salman Farsi رضي الله عنه ambaye alikuwa karibu naye akasema Ndio, Ewe Mtume wa Allah "
Mtume صلى الله عليه وسلم akasema hakika miongoni mwa dalili za wakati huo ni :

[emoji3541] Wakati huo Dini itawekwa chini na dunia itanyanyuliwa juu.
[emoji3541] Watu watajenga majumba imara na marefu mno.
[emoji3541] Itakuwepo mvua wakati si wake.
[emoji3541] Umasikini utaenea
[emoji3541] Wakati huo talaka zitazidi.
[emoji3541] Wanaume watajifanya kama wanawake.
[emoji3541] Idadi ya wanaharamu itazidi.
[emoji3541] Islam Itabakia kwa jina tu, kwani wafuasi wake hawatakuwa wakifuata maadili na maamrisho yake.
[emoji3541] Hakika wakati huo mema yatakuwa maovu na maovu yatakuwa mema.
[emoji3541] Mambo ya zinaa yatakuwa kama kawaida, kwani yatatendeka na kusikika pia.
[emoji3541] Wakati huo riba itakuwako
[emoji3541] Maasi na dhulma itaongezeka kupita kiasi
[emoji3541] Mioyo ya kutaka kusaidia watu wengine itakuwa imetoweka
[emoji3541] Wanawake watakuwa wakitawala akili za wanaume, na watakuwa wakiendesha waume vile watakavyo wao.
[emoji3541]Kutatokea Maulamaa /wanazuoni waovu kabisa, kwani watajionyesha kuwa ni wacha Mungu na wenye ilimu, ambapo kwa hakika watakuwa waroho wa mali ya dunia tu.

Hapo Mtume صلى الله عليه وسلم ; aliwaonya " kumbukeni, wakati kama huo utakapokuja, basi Allaah سبحانه وتعالى Atatumbukiza watu katika balaa nne;

1. Kutawaliwa na watawala dhalimu
2. Ukame na vitu vya matumizi ya kila siku kuwa bei ghali ( yani kupanda kwa maisha)
3. Dhuluma za watawala
4. Kuabudu Miungu.

Sahaba waliposikia hayo walishtuka na kuuliza : Ewe Mtume wa Allah! Je kweli kuwa Muislam atakuwa akiabudu miungu na masanamu?

Mtume صلى الله عليه وسلم aliwajibu " Naam! Kwao mapesa yatakuwa kama miungu kwani watakuwa wakiziabudu kupindukia.

Subhanallah.

Allah atunusuru
 
Ilipotokea dini wameona ni kero, wenzetu sasa kerooo

Mtu anafunga mwenyewe afu anasumbua wengine
Dini ya kiisilamu inafuata Quran na Sunnah. Na pia Dini haijatokea Saudi, hii ni misconception tu, House of Al saud na Waingereza wali Conquer lile eneo la Makkah na Madina, ni kama Leo uisilamu ungekua Donbass mtu baada ya miaka kadhaa mtu aseme uisilamu umetoka Urusi.
 
jamii yoyote iliyostaarabika haina makelele haya. mi nimekaa uarababuni adhana ila ya alfajiri nimesikia haizidi mara kumi na nimekaa miaka 4 ila sasa tanzania ni kama mashindano ya kuwapa watu karaha
Issue ya Kuswali kwa Sauti ama Sauti kali toka Misikitini si part ya uisilamu, mtume kakataza na Dalili zipo wazi. Wengi wanafanya kwa utashi wao tu. Misikiti ya kisunna mingi hata hapa Tanzania huwa hawatumii outdoor speaker kuswali ama kutoa mawaidha, hii ndio Sunnah ya mtume wetu (S.A.W)
 
Unataka kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako wakati kwako Kuna gunzi limetuna kwenye jicho huo Ni unafiq...

Anza kuwaambia wasabato,walokole na waroma wenzio waondoe makengele na masabufa wanayokesha nayo...kutupigia kelele
Kariakoo hadi tunaita polisi sometime, saa 12 asubuhi mumelala inakuja mikokoteni na Jenereta, speaker za Disco zile mnaamka mtaa mzima, watoto wanalia usingizi hauji, hapo hado defender lije.
 
Leta source hapa acha uongo ....Danganya watoto wadogo🤣🤣

Yaani jitu linatumika nguvu ili sisi wala hatuna time kule German kubariki mashoga kanisani wala hatuanzishi Uzi.

Basi roho inauma anaamua kutunga🤣🤣
Hasira za nini mdg muafrika!

Pale chini kabisa ya mada umewekewa link kasome ila siyo kiarabu ni kimarekani.
 
Mostly hii ni misikiti ya Bakwata, Mlaumu Nyerere na Serikali ya CCM wenye version yao uisilamu. Misikiti mingi ya Kisunna na ambayo inafuata uisilamu bila kushirikisha na Mila zao wana mifumo tofauti.
 
God is not religion and religion is not God.

Hukuwa umejua kabla?

Ni wajanja wachache walikaa chini kuunda Dini kwa maslahi yao binafsi ku control wengine...
Tunaishi na Technology kubwa kabisa, sasa hivi tuna Artifical intelligence ya Hali ya juu, Mi computer yenye uwezo kedekede ila inabaki Quran moja tu.

Mwenyez Mungu ametoa challenge kama Quran ni kitabu cha binadamu basi tengenezeni kitabu chengine kama hiki, ila miaka zaidi ya 1400 sasa hakuna kitabu chochote kinachofanania na Quran.
 
Mostly hii ni misikiti ya Bakwata, Mlaumu Nyerere na Serikali ya CCM wenye version yao uisilamu. Misikiti mingi ya Kisunna na ambayo inafuata uisilamu bila kushirikisha na Mila zao wana mifumo tofauti.
Safi sana mkuu nadhani wewe ni mmoja wa waislam wenye akili za pekee sana.

Sasa basi tukitoa hiyo misikiti ya Nyerere na CCM, hii inayobaki yaani ya kisunna inafuata na kusimamia uislam as mtaa mmoja kuwa na misikitini 7 na mmoja tu ndiyo utumike kuita watu kuswali na siyo yote?.
 
Kena lile lile swali. Je, unaweza utenganisha uislam na Saudia Arabia ?
Nasubiri jibu lako.
Kwa hiyo na Mimi niandike jibu lile lile!?..Mimi siyo kichaa,Nina uelewa,mtu akinieleza nang'amua mantiki
 
Ikitumika yote Kuna shida gani!?..Kuna mtu kaugua kwa wingi wa adhana!?..mbona Kuna makelele ya miziki kutwa Kama ni huko kkoo
 
Hapa nilipo wamejenga kanisa la mabati chakavu kelele mtindo mmoja ikifika ijumaa kipindi cha mkesha hatulali tunakesha wote.
Wiki iliyopita waliibiwa speaker tukapumua kwa makelele leo tumeona wameshusha speaker kubwa zaidi ya zile zilizoibiwa ..kazi tunayo nemc sijui wanafanya nini!!
 
Saudi Arabia ndiyo chimbuko la dini yenu na ndipo penye point ambayo mnaigeukia Toka pande zote za dunia mkiswali, Saudi Arabia ndiko mnakoenda hija Toka pande zote za dunia mkipeleka mapato makubwa sana kule ( chanzo number mbili Cha mapato kwa Saudi Arabia ikitanguliwa na Mafuta) tukisikia tamko lolote Toka kule tunaliamini kuwa Lina influence kwenye Imani yenu duniani, tofauti na likitoka Yemen au Algeria (mifano). Sisi wengine ni wasikilizaji tu
 
Hamna hoja kama Kaaba ilikuwepo kabla ya kuja mtume ...Hakuna uhusiano wowote hata nyie chimbuko lenu ni uingereza na Italy ambapo haha yesu hakutia pua yake na wale mapapa wanakula kwa michango yenu.

Kaaba ilikuwepo kabla ya mtume na hata ukisema Mtume mwenye akitoja madinnah kwenda makka kuona hyo kaabah na iliamrishwa kuhij kwa aliyekuwa na uwezo ni sehemu ya kihistoria .


Je nyie kule Vatican pametajwa wapi kweny bible au uingereza?
 
Niliwahi muambia mleta uzi huu katika uzi fulani mwengine kuwa anasumbuliwa na Islamophobia

Ni kwa sababu Islamophobia inakusumbua.

Akanijibu kwa kashfa
Usitake niandike upuuzi yankee!

Hapo katajwa nani kwenye reply yangu?, Usiwashwe tafadhali sana, uzee umetamaradi sijui kukuna.
Ila Sifa zote njema ni za Allah, maradhi haya mabaya muanzisha uzi hawezi kuyaficha. Ndio maana alipoona taarifa ambayo inampendeza (ambayo anaona itamsaidia katika kuupiga vita Uislam) akaileta bila ya kuihakiki kama ni ya kweli.

Habari kaiokota huko katika kigazeti cha udaku cha wahindi akaona hapa nimepata bomu la kuushambulia Uislam.
 
Tunaipenda Saudia. Allah ailinde Saudia na awaongoze watawala wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…