Sauti: Keefe D akiri kumuua Rapa Tupac kwa kuahidiwa Dola milioni moja na Rapa P. Diddy

Kuna uwezekano kabisa kua jamaa kesha changanyikiwa sasa anamtaja tu mtu yoyote
 

Diddy siku zote yupo straight forward and firm kuhusu kuhusika kwake na kifo cha Makaveli kwamba hausiki. Tujipe muda, muda utazungumza.
 
Damu ya mtu haipote bure aisee hata mika mingapi alakini pataa tokezea ukweli tu na mambo yatakuwa hadhari kama hivi, kwa wenzetu Mwamba atatiwa ndani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…