Sauti: Keefe D akiri kumuua Rapa Tupac kwa kuahidiwa Dola milioni moja na Rapa P. Diddy

Hayo ni ww chawa wake unasema kwani background yangu unaijua au umekariri bro!
Sijakubushia kuwa hujui bali nasema wewe na faidha mnaweza kuwa sawa hakuna wa kumshinda mwenzake, ila wewe mpuuzi unasema faiza hajui wakati hata humjui
 
Kwenye lile tukio la kwanza la kupigwa risasi Tupac pale quad studio New York mwaka 1994 pi Diddy alikuwepo kwenye mazingira yale,baada ya lile shambulio big poppa akatoa ngoma inayoitwa "Who Shot Ya"
 
Imagine p.dd alivoishi maisha ya kutokuwa na amani miaka hiyo yote alaf kwanje tunaona wana roll na maluxury kama yote[emoji28]...duh ila pesa ita futwe tu inasaidia sana wakuu japo siyo happness
Nani amekuambia alikua anaishi bila amani?
 
Hatari mzee
 
Sio kweli. Mablack wengi wa marekani wametokea kwenye maisha ya geto
 
Mbona jamaa kamsingizia Diddy wa watu jamani, ni ndio nilijaribu mpango mzima wa mauwaji ya Shakur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…