Sauti ya KIGOGO katika Space ya Maria Sarungi ina lafudhi ya Iringa to Mbeya

Sauti ya KIGOGO katika Space ya Maria Sarungi ina lafudhi ya Iringa to Mbeya

Kwa mtazamo wangu ninavyofahamu ni kuwa, Kigogo ni unanimous social media platform account, kuna utitiri wa watu (tena wengi hata hawafahamiani) wanaopewa access na moderator wa hiyo account kuandika na kuongea on behalf. Ni ngumu kumjua core owner ni nani na hata ukimjua haitakuwa na mantiki sana maana kuna unanimous wengi ndani ya akaunti moja.
 
Back
Top Bottom