Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Sasa wataifuatiliaje sauti?Pamoja na kujificha lakini nimeshangaa sana leo kigogo kusikika sauti yake.
Je polisi watafanikisha jambo lao la kumsaka kumkamata kupitia hiyo sauti?View attachment 1862816
Kigogo sio wa mchezo amejidhatiti sana