Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya Viwanda.

Hivi kama watu wenye mawazo ya aini hii ndio wamepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya ukuzaji uzalishaji wa vitu nchini kuna mahali tutaenda kweli?

1682074924165.png
 
Ameongea ukweli huyo waziri
 
Masoud Kipanya ameposti video hii kwenya akaunti ya Mtandao wa Kijamii wa Twitter akisema "Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya viwanda"
 
Watu wakisema ukweli wanaonekana wabaya wakati jambo lipo wazi. Hata wale wa udsm nao wameunga unga hakuna jipya. Tunazidiwa na yule jamaa anaetengeneza ya mbao kule youtube na kuweka mota za mashine jamaa anatoa kitu konk sana
 
Mambo mengine inabidi ucheke mkuu hakuna namna ujanja ujanja mwingi alafu mambo yasio na muendelezo. Sawa kaunga gari basi kuwe na tija kwemye hilo jambo unakuta mtu anavimba tu kaunda gari ila hakuna faida yoyote anayoileta kwa nchi
Hiyo karakana yake ya kutengenezea gari umeiona lakn bruh 😆 haina hata mtambo mmoja mafundi wana spana tu
 
Back
Top Bottom