Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

MASOUD na UDSM n wahuni tuu kama wahuni wengine na huyo jamaa wa wizards kasema ukweli ili cabinet ijue isije ikajiingiza mkenge kumdhamini apate pesa aende akaoe mke mwingine.


😆 Ili uweze kutengeneza Gari au kudedign Gari lazima iwe na vyote au kimoja Kati ya hv 🌻wewe n mpenzi wa magari 🌻Wewe n mtaalamu wa magari pia uwe umeishi kwenye magari naamini hili wataalamu watanielewa.

🙆 Kwenye dunia yasasa tunahitaji magari yenye uwezo wa kufanya kazi kubwa kwa kutumia nguvu kidogo sasa hyo ya masud hata Tani moja haibebi pia unatumia mwendo wa 60km ikiwa full charged wakati Gari Kama hyo ya petrol inaenda Zaid ya 350km ikiwa full tank na Zaid ya 400km Kama n ya umeme ikiwa full charged.

🙆 Usalama wa abiria ndani ya Gari n ndogo mno sababu Kuna nafasi Ndogo, hakuna airbag,

🙆 Muonekano wa Gari n mbovu Sana hasa alivyoifanya iwe was nyuma kidogo Kama angeifunika nyuma at least Ile design ingekuwa na maana.

🤦 Factory hawana Ile n karakana Kama ya fundi maiko tuu ukiwa na car factory au hata assembly point kila kitu kinafanya kwa department sasa hapo yeye ndio car tester, fundi engine hata overall, safety boot Hana Yan kavas vets, Gari ishafungwa engine, ishavalivywa kibini, ishawafungwa tairi ishaendeshwa lakini bado unaona jamaa wanaichomelea mbaya Zaid body inapigwa rangi baada ya kuivisha kwenye chasis.

🤦 Kifupi masoud ametumia weledi wake wa mtaani na mafundi wake wa mtaani Kama angeamua kufanya serious Basi angejipa safari aende mpaka Moshi kule Kuna karakana za kubadili body mfano n hz fuso nyingi (Tandam) zinachongewa huko hata zile cruiser longbase designer wapo kule pia angeruka kwa majirani like Uganda akawaone jamaa kule waliozindua Basi miez michache iliopita pia akaenda Kenya akaonana na matwana, nganya au maarafu Kama matatu culture hao jamaa wamejitahidi kumuheshimisha Isuzu mana Isuzu inaenda ikiwa ya mizigo inatoka ikiwa ya abiria na Muonekano wa kuvutia kweli.

🤦 Masoud akubali kuwa na naamini anajua Ila Sina uhakika Kama anaamini kwenye ubunifu, weledi na taaluma hvyo Kama angefikiria angeajiri wale wataalamu wa mitasn na wadarasani hapo angefanya hvyo tusingepata Ile body aisee.

🙉 UDSM waache kufikiria kuwa Gari n matairi kuanzia manne na kutembea Bali wanatakiwa kuwa na wataalaamu wa kufanya engine ya 600cc iweze kusukuma mzigo mzito tan 3, Kama gar n ya kabureta waje na ubunifu kiwekwe kitu kingine na ufanis uwe mkubwa, engine ya diesel au petrol huna haja ya kuweka coolant au maji tuweke kitu kingine na ufanis uwe mkubwa.

🙏 Kifupi tuna safari ndefu Kama Taifa Kama vijana wa UDSM wamekuja na Gari Kama la masoud ambako mpaka Sasa hata Gari za nyumbu Zina uafadhali Kiukweli tujatibu kuweka wataalamu kila hatua na kila mtu afanye la mezan kwake mwishowe tupate kitu Cha uhakika.

UDSM MNAIDHALILISHA TAALUMA YAN MNAZIDIWA NA MAFUNDI WA MTAANI KWELI?
Nafkiri bwana masoud anatakiwa kujifunza hata kwa Hawa jamaa angalia hao wanaenda 300km@charge na n bus inabeba abiria Zaid ya 50 kifupi inabeba Zaid ya 3tn wakati ya masoud hata 1tn haibebi alafu inaenda 60km@charge.
Screenshot_20230424-093807.png

Hao jamaa wa wizara masoud awachukulia positive Kama anataka kufika mbali.
 
MASOUD na UDSM n wahuni tuu kama wahuni wengine na huyo jamaa wa wizards kasema ukweli ili cabinet ijue isije ikajiingiza mkenge kumdhamini apate pesa aende akaoe mke mwingine.


[emoji38] Ili uweze kutengeneza Gari au kudedign Gari lazima iwe na vyote au kimoja Kati ya hv [emoji258]wewe n mpenzi wa magari [emoji258]Wewe n mtaalamu wa magari pia uwe umeishi kwenye magari naamini hili wataalamu watanielewa.

[emoji134] Kwenye dunia yasasa tunahitaji magari yenye uwezo wa kufanya kazi kubwa kwa kutumia nguvu kidogo sasa hyo ya masud hata Tani moja haibebi pia unatumia mwendo wa 60km ikiwa full charged wakati Gari Kama hyo ya petrol inaenda Zaid ya 350km ikiwa full tank na Zaid ya 400km Kama n ya umeme ikiwa full charged.

[emoji134] Usalama wa abiria ndani ya Gari n ndogo mno sababu Kuna nafasi Ndogo, hakuna airbag,

[emoji134] Muonekano wa Gari n mbovu Sana hasa alivyoifanya iwe was nyuma kidogo Kama angeifunika nyuma at least Ile design ingekuwa na maana.

[emoji1751] Factory hawana Ile n karakana Kama ya fundi maiko tuu ukiwa na car factory au hata assembly point kila kitu kinafanya kwa department sasa hapo yeye ndio car tester, fundi engine hata overall, safety boot Hana Yan kavas vets, Gari ishafungwa engine, ishavalivywa kibini, ishawafungwa tairi ishaendeshwa lakini bado unaona jamaa wanaichomelea mbaya Zaid body inapigwa rangi baada ya kuivisha kwenye chasis.

[emoji1751] Kifupi masoud ametumia weledi wake wa mtaani na mafundi wake wa mtaani Kama angeamua kufanya serious Basi angejipa safari aende mpaka Moshi kule Kuna karakana za kubadili body mfano n hz fuso nyingi (Tandam) zinachongewa huko hata zile cruiser longbase designer wapo kule pia angeruka kwa majirani like Uganda akawaone jamaa kule waliozindua Basi miez michache iliopita pia akaenda Kenya akaonana na matwana, nganya au maarafu Kama matatu culture hao jamaa wamejitahidi kumuheshimisha Isuzu mana Isuzu inaenda ikiwa ya mizigo inatoka ikiwa ya abiria na Muonekano wa kuvutia kweli.

[emoji1751] Masoud akubali kuwa na naamini anajua Ila Sina uhakika Kama anaamini kwenye ubunifu, weledi na taaluma hvyo Kama angefikiria angeajiri wale wataalamu wa mitasn na wadarasani hapo angefanya hvyo tusingepata Ile body aisee.

[emoji86] UDSM waache kufikiria kuwa Gari n matairi kuanzia manne na kutembea Bali wanatakiwa kuwa na wataalaamu wa kufanya engine ya 600cc iweze kusukuma mzigo mzito tan 3, Kama gar n ya kabureta waje na ubunifu kiwekwe kitu kingine na ufanis uwe mkubwa, engine ya diesel au petrol huna haja ya kuweka coolant au maji tuweke kitu kingine na ufanis uwe mkubwa.

[emoji120] Kifupi tuna safari ndefu Kama Taifa Kama vijana wa UDSM wamekuja na Gari Kama la masoud ambako mpaka Sasa hata Gari za nyumbu Zina uafadhali Kiukweli tujatibu kuweka wataalamu kila hatua na kila mtu afanye la mezan kwake mwishowe tupate kitu Cha uhakika.

UDSM MNAIDHALILISHA TAALUMA YAN MNAZIDIWA NA MAFUNDI WA MTAANI KWELI?
Masoud mbona ameishi kwenye magari na Ana mapenzi na magari

Ova
 
Masoud mbona ameishi kwenye magari na Ana mapenzi na magari

Ova
Huenda hapendi MAGARI yaan magari yanamfata yeye sababu yupo kwenye kamfereji ka magari.

Huwez kupenda Gari alafu ukatengeneza gar ya namna Ile yaan hata baa unaogopa kuipak
 
Teh teh inabidi test akaifanyie baharini huko [emoji1]

Ova
Wengine huanza trials kwenye simulators kabla ya kuanza design.
Likifanikiwa kwenye simulator sababu anakuwa kesha patent idea yake haiwezi ibiwa kirahisi
 
Kwq hiyo mimi naona masoud Anglesea ameuunda siyo kuvumbua

Ova
Yaah ndo ivo mkuu hata kuunda bado lina ukakasi.
Kuna namna hawa wagunduzi wa kibongo wananufaika na hizo gunduzi zao za mchongo, maana hazinufaishi jamii.
 
Kipanya kafanya jambo kubwa ila kisanii , uzuri wa JF haina kubembeleza unachanwa ukweli na ukweli unakuweka huru , no kusifia sifia ujinga, alipozindua gar wadau wengi walijitokeza, lakni gari ikaonekana ni powerless , poor design na almost imeunganishwa unganishwa tuu vtu, sana sana alichofanya ni kuchora mchoro ambao nao alifeli tu ( aliuchora kikatuni katuni)

watu walimsifia na wakampa ushauri ,wahisani wakajitoa na akatengeneza pesa mingi tuu, wote haya tunayajua, jamaa akapotea kwenye karakana yake , no progress yyte ya maana , perhaps anataka aombe mpunga wa ruzuku serikalini kama mtanzania mwenye kiwanda cha kutengeneza magari , achukue mpunga alaf apite hv , wahuni wenzake wamemsanukia
Sijui, kama nyie mna taarifa sawa, ila jamaa yulee mpondaji hajui abc zozote za masoud.
Mimi nilitarajia kama msemaji wa serikali angeweka vilelezo vinavyothibitisha kuwa gari iliagizwa.
Kwa maneno ya yule mpumbavu hana ushahidi ni roho mbaya tu ya kumuharibia Masoud.
Anasema TZ hakuna manufacturing plant ya injini Hivi RD inahitaji plant ya kuzalisha injini au sola?
Solar technology is very complicated kiasi cha kuanzisha tu kiwanda ili ufanye utafiti wa gari.
Battry technology nayo ni very complicated hata Tesla company wanategemea infrastructure za China ktk uzalishaji wao hawajitoshelezi.
Kuna wajinga Hapa TZ wanafikiri kuanzisha teknolojia ni rahisi tu kiasi kwamba masoud aweze kuunda gari kama wanavyotaka.
Someni Kantaka car company ya Ghana ilivyoanza, is not easy na bado hawajaaminika kwa 100%.
Huyo bosi wa wizara ajue kutofautisha
RD, Manufacturing industry na Hoby projects/Mud scientific project.
Masoud inabidi aweke wazi project yake tujue ukweli kama ni scamer/muhuni serikali imkamate afungiliwe mashitaka kwa wizi na udanganyifu.
 
Huyo jamaa anarobgea utumbo ni bogus ws hsli ya juu, hakuna gari duniani inayoundwa kila kitu na jampuni moja. Vitu vinaundwa sehemu tofauti tofauti na vinakusanywa sehemu moja na kuunda kitu kimoja. Ndicho alichokifanya Masoud.

Yeye atuoneshe gari moja duniani ambayo components zote zimeundwa na kampuni moja au sehemu moja.
Hata ndege,hata treni hata computer hata simu vyote vinafanyiwa assembling of different component.
Waafrika tuajidanganya kuwa tutapata technolojia kwa ku re-event the wheel, fck poor mind!
Waachina wame invent how to make things in a simplest way sisi tunabwabwaja tu.
 
Hii nchi kwendela itakua ngumu sana yani viongozi wanatakiwa kumuunga mkono masudi ndio wanao mbeza na kumzalau.

Tutatumia vya kuletewa mpaka lini? Kwa kauri hiyo ningekua Rais chapu nishatengua uteuzi wake. Huyo hafai kbs kwa maendeleo ya nchi.

Alafu jamaa inaonekana ni mshamba alafu anaroho ya kimaskini.
 
Sijui, kama nyie mna taarifa sawa, ila jamaa yulee mpondaji hajui abc zozote za masoud.
Mimi nilitarajia kama msemaji wa serikali angeweka vilelezo vinavyothibitisha kuwa gari iliagizwa.
Kwa maneno ya yule mpumbavu hana ushahidi ni roho mbaya tu ya kumuharibia Masoud.
Anasema TZ hakuna manufacturing plant ya injini Hivi RD inahitaji plant ya kuzalisha injini au sola?
Solar technology is very complicated kiasi cha kuanzisha tu kiwanda ili ufanye utafiti wa gari.
Battry technology nayo ni very complicated hata Tesla company wanategemea infrastructure za China ktk uzalishaji wao hawajitoshelezi.
Kuna wajinga Hapa TZ wanafikiri kuanzisha teknolojia ni rahisi tu kiasi kwamba masoud aweze kuunda gari kama wanavyotaka.
Someni Kantaka car company ya Ghana ilivyoanza, is not easy na bado hawajaaminika kwa 100%.
Huyo bosi wa wizara ajue kutofautisha
RD, Manufacturing industry na Hoby projects/Mud scientific project.
Masoud inabidi aweke wazi project yake tujue ukweli kama ni scamer/muhuni serikali imkamate afungiliwe mashitaka kwa wizi na udanganyifu.
Tuondoleeni huo uchafu wa Masoud, hakuna lolote la maana zaidi ya nyundo za fundi Maiko. Hii siyo maisha plus
 
Tuondoleeni huo uchafu wa Masoud, hakuna lolote la maana zaidi ya nyundo za fundi Maiko. Hii siyo maisha plus
Sasa tujadili nini? Yanga vs wanaija.
Hata TESLA wanatumia nyundo na welding.
Angalia video you tube ya MKB alipotembelea tesla co.
Ukisikia Toyota unafikiri hawajatumia nyundo na welding na mabati.
Kwa taarifa yako most expensive cars in the world are handcrafted car not machinery crafted car mojawapo ni Roys roys.
 
Hapo wanaposema Tanzania hakuna plant za kuunda engine ina maana magari ya umeme(EV) yantumia engine? Mi nilijua yanatumia motor ambayo inakuwa powered na battery
 
Back
Top Bottom