Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

Waziri wa viwanda oneshe gari yake ambayo hajanunua china
Waziri mzima hajasoma misingi ya innovation.
Kinsingi karne ya 21 Hakuna invention ya gari bali kuna
innovation ya gari.
Hata Elon Musk hagundui gari mpya bali anafanya innovatio kwa kutumia teknolojia zilizopo kama motor,gear ya motor, computer gps, AI nk.
Tesla car si ugunduzi mpya ila wanajaribu kufanya ugunduzi mpya ktk betri, fast charging system na vitu vichache.
Huyo waziri ni kilaza sana.
Hajaelimika kabisa.
Waziri kasome historia ya
.Basi za Yotong, ilikuwa gereji.
.Fecon motorbike
.Honda, huyu alianza kukarabati baiskeli baadae pikipiki.
.Dell computer ilikuwa karakana ya electronics.
.Stive Job nae amewahi kuwa fundi wa kukarabati electronics gadget baadae apple co.
Historia ni nyingi mno
Viongizi badala ya kuwapa moyo watu wanaojaribu wao wanawakatisha tamaa, hii ni tabia ya waafrika wengi tofauti na rangi nyingine, viogizi ndio mashimo ya kudidimiza fikra za kimapinduzi.Hovyo saba.
Elon Musk angebakia Afrika angekutana viongozi mfu kana hawa bora alienda USA the country of big dream.
Masoud akihamia marekani ndoto yake itakuwa ya kweli.

Kipanya kafanya jambo kubwa ila kisanii , uzuri wa JF haina kubembeleza unachanwa ukweli na ukweli unakuweka huru , no kusifia sifia ujinga, alipozindua gar wadau wengi walijitokeza, lakni gari ikaonekana ni powerless , poor design na almost imeunganishwa unganishwa tuu vtu, sana sana alichofanya ni kuchora mchoro ambao nao alifeli tu ( aliuchora kikatuni katuni)

watu walimsifia na wakampa ushauri ,wahisani wakajitoa na akatengeneza pesa mingi tuu, wote haya tunayajua, jamaa akapotea kwenye karakana yake , no progress yyte ya maana , perhaps anataka aombe mpunga wa ruzuku serikalini kama mtanzania mwenye kiwanda cha kutengeneza magari , achukue mpunga alaf apite hv , wahuni wenzake wamemsanukia
 
Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya Viwanda.

Hivi kama watu wenye mawazo ya aini hii ndio wamepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya ukuzaji uzalishaji wa vitu nchini kuna mahali tutaenda kweli?

Huyu waziri naye akisema ajagundua kitu anakuwa mjinga, hivi kwenye gari sasa hivi unagundua nini ambacho hakijagunduliwa?
 
Ukiona ndugu yako anaunganisha unganisha madude na kusema kagundua yafuatayo.

[emoji736] Katapila.

[emoji736] Helicopter.

[emoji736] Kituo Cha kurushwa matangazo ya redio.

[emoji736] Gari.

Kaa naye mbali zimeshalipuka tayari.
Ukisikia mawazo mgando ndio hayo
 
Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya Viwanda.

Hivi kama watu wenye mawazo ya aini hii ndio wamepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya ukuzaji uzalishaji wa vitu nchini kuna mahali tutaenda kweli?
Nchi ngumu hii! Yaani hawaoni kama kuna ujuzi watu wanaupata, hata kama wanachofanya ni kuunga vipande vinavyotoka nje ya nchi? Wanafikiri tutaanzia wapi?
 
Masoud amejiajili Waziri ameajiliwa na kuajiliwa ni kumpa mtu maisha yako akuendeshe maana akili yako haitoshi kujiendesha
 
Kiuhalisia hayo mazungumzo hayana kasoro yoyote na huo ni ukweli halisi. Kwanini?

1. Kipanya alisema amevumbua gari lake. Kitu ambacho hakikuwa ukweli. Kipanya alifanya vehicle body design kwa kuboresha muonekano wa muundo wa magari ambayo yapo tayari duniani. Hakuna uvumbuzi wowote pale.

2. Hiyo clip ni mazungumzo ya ndani, binafsi au siri baina ya maafisa wa wizara, hivyo wahusika walikuwa huru kuzungumza ukweli bila chenga baina yao. Hiyo sio chuki wala kitu kibaya. Ni mambo binadamu huwa tunafanya kila siku kwenye maisha yetu ya kawaida.
 
Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya Viwanda.

Hivi kama watu wenye mawazo ya aini hii ndio wamepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya ukuzaji uzalishaji wa vitu nchini kuna mahali tutaenda kweli?
Mbona kaongea ukweli?
 
Huyo jamaa wa Wizara naye (kama kweli ni wa Wizara), hajui kuwa Toyota anaagiza matairi, redio za magari, na vifaa vingine?? Yaani anaamini vifaa vyote vya gari kuanzia injini, bolt, nati mpaka rivet vyote vinapatikana kwenye kiwanda kimoja?

Aisee nadhani Kuna watu wapo kwenye nafasi ambazo hawakustahili kuwepo.
Hebu tuwe realistic. Ilo gari alilotengeneza Masoud lipo katika category gani?
1. Invention
2. Innovation
3. Imitation?
Kwenye Invention najua halipo sababu tukimuuliza hata patent right hana. Innovation na kwenyewe hayupo sababu kigari kama icho ni kweli kinauzwa China.
Atapata support ya wasiokuwa na uelewa wa haya mambo ila nyuma ya pazia kwa vyovyote product yake haiwezi kwenda sokoni
 
Kiongozi kaeleza ukweli ila atachukiwa, kwamba lile ni gari?
Halafu unapoomba kibali toka kwenye mamlaka ni kwamba lazima u-comply kwenye TOR au Guidelines zao na siyo mamlaka ifuate unachotaka wewe muombaji. Serikali inatulinda sisi ambao baadaye tungekuwa wateja wa hayo magari dhidi ya ajali na majanga tarajiwa

Masoud anaweza akawa ni galacha kwenye Sanaa ya kuchora vikaragosi lakini siyo huku. Huku siyo kwake, atoke kabisa awaachie wenyewe.

Naona hata wanaomtetea ni mashabiki wa cartoon zake. Huku kwenye magari nawahakikishia ATAWAUA hata nyie mnaomshabikia
 
Back
Top Bottom