Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana wajuba wanacheka pale wakijua kabisa ni mambo mambo katika harakati za kutaka kuwapiga watu na kitu kizito sana😂😂😂😂Hiyo karakana yake ya kutengenezea gari umeiona lakn bruh 😆 haina hata mtambo mmoja mafundi wana spana tu
Ndio maana wajuba wanacheka pale wakijua kabisa ni mambo mambo katika harakati za kutaka kuwapiga watu na kitu kizito sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa anataka watu waingize pesa kwenye huo mchongo wake 😄 mambo sio rahisi kihivyo aiseeNdio maana wajuba wanacheka pale wakijua kabisa ni mambo mambo katika harakati za kutaka kuwapiga watu na kitu kizito sana😂😂😂😂
Hapo sasa.Hiyo karakana yake ya kutengenezea gari umeiona lakn bruh 😆 haina hata mtambo mmoja mafundi wana spana tu
Kama ile ya UDSM FOE.Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya Viwanda.
Hivi kama watu wenye mawazo ya aini hii ndio wamepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya ukuzaji uzalishaji wa vitu nchini kuna mahali tutaenda kweli?
Kwanza siku hizi gari hazitumii machuma, sana sana hizo za umeme hutumia carbon fiber ili kupunguza uzito wa gari.Jamaa anataka watu waingize pesa kwenye huo mchongo wake [emoji1] mambo sio rahisi kihivyo aisee
Karne hii kweli unakuja na kitu kimeshindwa kufikia hata kiwango cha gari iliyotengenezwa 1887
Kama amebuni mbona anatembelewa ya Wazungu?Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya Viwanda.
Hivi kama watu wenye mawazo ya aini hii ndio wamepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya ukuzaji uzalishaji wa vitu nchini kuna mahali tutaenda kweli?
Yap ukwel mtupu,Tanzania ya viwanda my nyash🤣Ameongea ukweli huyo waziri
Jamaa ni mbunifu ila maswala ya magari aachie wengine bora angekuwa na design nzuri kimuonekanoNdio maana wajuba wanacheka pale wakijua kabisa ni mambo mambo katika harakati za kutaka kuwapiga watu na kitu kizito sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ile project yake ya maisha iliishia wapi?🤣🤣🤣anatafuta Mchongo, kibongo bongo Sanaa nyingi sanaMpeni kipanya mtaji aanzishe kiwanda azalishe magari yauzwe duniani kote nchi itapata faida Hii kutokana na uvumbuzi wake
Sent from my moto g stylus 5G using JamiiForums mobile app
You must have a bigger nyash...to mention it loud..Yap ukwel mtupu,Tanzania ya viwanda my nyash🤣
Ukimuuliza hata mchoro wa hio gari utakuta hanaKwanza siku hizi gari hazitumii machuma, sana sana hizo za umeme hutumia carbon fiber ili kupunguza uzito wa gari.
Angalia magurudumu yalipokaa kama bajaj
Engine hajafanya kitu zaidi ya kununua na kuweka
🤣Am nyashlessYou must have a bigger nyash...to mention it loud..
Maana gari lazima ipitie stage nyingi kabla haijaanza uzwa.Ukimuuliza hata mchoro wa hio gari utakuta hana
Yeye mwenyewe utakuta anasukuma rangeKipanya anajaribu lazimisha vitu ila hatafanikiwa.
Hicho kidude hakifai kabisa