Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

Body marcopolo Brszil

Engine Cummins Marekani
Gear box Sweeden
Diff Japana

Gari limetengenezwa kwenye assembling plant ya China model ya Yutong mpo hapo?
mkuu umeongea point. Leo hii hakuna kiwanda kinachotengeneza kila kitu chenyewe zaid ya assembling ya items mbalimbali ili kupata a complete system. Lkn pia hata kama masoud kakosea basi tumshauri na kumkosoa kwa staha ili kumtia moyo afanye vzr zaidi na kuencourage wengine. Kwa kumkosoa vibaya ni rahisi kuzima ndoto za wengine kirahisi hence kuua maendeleo ya nchi.
 
Masoud Kipanya ameposti video hii kwenya akaunti ya Mtandao wa Kijamii wa Twitter akisema "Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya viwanda"
Sasa huyu anashindwa kuelewa kuwa Simu za Samsang zinatengenezwa S.Korea lakini betri zake zinatengenezw china na cover zinatengezwa Vietnam.?
 
Waziri wa viwanda oneshe gari yake ambayo hajanunua china
Waziri mzima hajasoma misingi ya innovation.
Kinsingi karne ya 21 Hakuna invention ya gari bali kuna
innovation ya gari.
Hata Elon Musk hagundui gari mpya bali anafanya innovatio kwa kutumia teknolojia zilizopo kama motor,gear ya motor, computer gps, AI nk.
Tesla car si ugunduzi mpya ila wanajaribu kufanya ugunduzi mpya ktk betri, fast charging system na vitu vichache.
Huyo waziri ni kilaza sana.
Hajaelimika kabisa.
Waziri kasome historia ya
.Basi za Yotong, ilikuwa gereji.
.Fecon motorbike
.Honda, huyu alianza kukarabati baiskeli baadae pikipiki.
.Dell computer ilikuwa karakana ya electronics.
.Stive Job nae amewahi kuwa fundi wa kukarabati electronics gadget baadae apple co.
Historia ni nyingi mno
Viongizi badala ya kuwapa moyo watu wanaojaribu wao wanawakatisha tamaa, hii ni tabia ya waafrika wengi tofauti na rangi nyingine, viogizi ndio mashimo ya kudidimiza fikra za kimapinduzi.Hovyo saba.
Elon Musk angebakia Afrika angekutana viongozi mfu kana hawa bora alienda USA the country of big dream.
Masoud akihamia marekani ndoto yake itakuwa ya kweli.
 
Huyo jamaa wa Wizara naye (kama kweli ni wa Wizara), hajui kuwa Toyota anaagiza matairi, redio za magari, na vifaa vingine?? Yaani anaamini vifaa vyote vya gari kuanzia injini, bolt, nati mpaka rivet vyote vinapatikana kwenye kiwanda kimoja?

Aisee nadhani Kuna watu wapo kwenye nafasi ambazo hawakustahili kuwepo.
 
Mtu ana design body anasema amegundua gari
Wapi na lini kasema amegundua gari acheni wivu wadau.mbona taleban wameunda gari kwa kutumia mabaki ya magari mengine mfano engine ni ya toyota Corolla tatizo lipo wapi? Hivi karibuni Apple wametangaza kuanza kutengeneza display screen za kwenye magari na manufacturers wa magari wameanza kuweka order ili kutumia kwenye magari yao kuna ubaya gani?
 
Masoud Kipanya ameposti video hii kwenya akaunti ya Mtandao wa Kijamii wa Twitter akisema "Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya viwanda"

Waziri wa viwanda oneshe gari yake ambayo hajanunua china
Waziri mzima hajasoma misingi ya innovation.
Kinsingi karne ya 21 Hakuna invention ya gari bali kuna
innovation ya gari.
Hata Elon Musk hagundui gari mpya bali anafanya innovatio kwa kutumia teknolojia zilizopo kama motor,gear ya motor, computer gps, AI nk.
Tesla car si ugunduzi mpya ila wanajaribu kufanya ugunduzi mpya ktk betri, fast charging system na vitu vichache.
Huyo waziri ni kilaza sana.
Hajaelimika kabisa.
Waziri kasome historia ya
.Basi za Yotong, ilikuwa gereji.
.Fecon motorbike
.Honda, huyu alianza kukarabati baiskeli baadae pikipiki.
.Dell computer ilikuwa karakana ya electronics.
.Stive Job nae amewahi kuwa fundi wa kukarabati electronics gadget baadae apple co.
Historia ni nyingi mno
Viongizi badala ya kuwapa moyo watu wanaojaribu wao wanawakatisha tamaa, hii ni tabia ya waafrika wengi tofauti na rangi nyingine, viogizi ndio mashimo ya kudidimiza fikra za kimapinduzi.Hovyo saba.
Elon Musk angebakia Afrika angekutana viongozi mfu kana hawa bora alienda USA the country of big dream.
Masoud akihamia marekani ndoto yake itakuwa ya kweli.
Acha ujinga hamna sauti ya waziri hapo wabongo kuweni na akili hata yakuchambia chooni tu!!

Hapo anatajwa mkurugenzi we unakimbilia kumjadili waziri hivi unajua waziri wa viwanda na biashara ni mwanamke?

Mwisho unajua maana ya inovation?
 
Waziri wa viwanda oneshe gari yake ambayo hajanunua china
Waziri mzima hajasoma misingi ya innovation.
Kinsingi karne ya 21 Hakuna invention ya gari bali kuna
innovation ya gari.
Hata Elon Musk hagundui gari mpya bali anafanya innovatio kwa kutumia teknolojia zilizopo kama motor,gear ya motor, computer gps, AI nk.
Tesla car si ugunduzi mpya ila wanajaribu kufanya ugunduzi mpya ktk betri, fast charging system na vitu vichache.
Huyo waziri ni kilaza sana.
Hajaelimika kabisa.
Waziri kasome historia ya
.Basi za Yotong, ilikuwa gereji.
.Fecon motorbike
.Honda, huyu alianza kukarabati baiskeli baadae pikipiki.
.Dell computer ilikuwa karakana ya electronics.
.Stive Job nae amewahi kuwa fundi wa kukarabati electronics gadget baadae apple co.
Historia ni nyingi mno
Viongizi badala ya kuwapa moyo watu wanaojaribu wao wanawakatisha tamaa, hii ni tabia ya waafrika wengi tofauti na rangi nyingine, viogizi ndio mashimo ya kudidimiza fikra za kimapinduzi.Hovyo saba.
Elon Musk angebakia Afrika angekutana viongozi mfu kana hawa bora alienda USA the country of big dream.
Masoud akihamia marekani ndoto yake itakuwa ya kweli.
Kuna watu wajinga sana hapa bongo achana nao wana wivu tu
 
Hilo gari anatakiwa alipitishe kwenye madimbwi muda huu wa mvua ili kuona je halitapiga shot

Anatakiwa aliendeshe angalau hadi Mwanza au Kigoma akiwa na watafiti ili wagundue shida ikoje.

Tesla imepitia stages nyingi na kila siku wanafanya updates
Lete ya kwako
 
Ler
Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya Viwanda.

Hivi kama watu wenye mawazo ya aini hii ndio wamepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya ukuzaji uzalishaji wa vitu nchini kuna mahali tutaenda kweli?
Let's be serious bwana,yaani wizara ipoteze muda kujadili kagari ka kipanya?tekinolojia ya magsri hapa nchini imeishafika mbali sana,jwtz wanatengeneza injini za diesel,waliwahi kutengeneza gari,
Kule Arusha,Kuna kampuni ina badilisha kabisa muonekano wa land cruiser,zile zinazotumika kwenye mbuga,na tours.
Kuna vijana Dar wanafanya IT,za kibabe,Anza na huyu magiratech,vipi IT ya kijana Fernandez,program za kufanya mihamara Dunia nzima,
Yaani tupoteze muda kujadili kagari ka kipanya?kitaa Kuna watu wameishafanya makubwa zaidi ni kwa vile tu hawana platform ya kusemea,
 
Back
Top Bottom