HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hilo gari anatakiwa alipitishe kwenye madimbwi muda huu wa mvua ili kuona je halitapiga shotYeye mwenyewe utakuta anasukuma range
Anatakiwa aliendeshe angalau hadi Mwanza au Kigoma akiwa na watafiti ili wagundue shida ikoje.
Tesla imepitia stages nyingi na kila siku wanafanya updates