Ameongea ukweli huyo waziriSauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya Viwanda.
Hivi kama watu wenye mawazo ya aini hii ndio wamepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya ukuzaji uzalishaji wa vitu nchini kuna mahali tutaenda kweli?
Na hizo gari zinazotengenezwa hapo ni wapi?Ameongea ukweli huyo waziri
Hakuna gari inayotengenezwa hapo fungua macho ona mbeleNa hizo gari zinazotengenezwa hapo ni wapi?
Mambo mengine inabidi ucheke mkuu hakuna namna ujanja ujanja mwingi alafu mambo yasio na muendelezo. Sawa kaunga gari basi kuwe na tija kwemye hilo jambo unakuta mtu anavimba tu kaunda gari ila hakuna faida yoyote anayoileta kwa nchiWana wanajadili huku wanacheeeeeeeeka wenyewe π
Hiyo karakana yake ya kutengenezea gari umeiona lakn bruh π haina hata mtambo mmoja mafundi wana spana tuMambo mengine inabidi ucheke mkuu hakuna namna ujanja ujanja mwingi alafu mambo yasio na muendelezo. Sawa kaunga gari basi kuwe na tija kwemye hilo jambo unakuta mtu anavimba tu kaunda gari ila hakuna faida yoyote anayoileta kwa nchi