Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

Nafkiri bwana masoud anatakiwa kujifunza hata kwa Hawa jamaa angalia hao wanaenda 300km@charge na n bus inabeba abiria Zaid ya 50 kifupi inabeba Zaid ya 3tn wakati ya masoud hata 1tn haibebi alafu inaenda 60km@charge.

Hao jamaa wa wizara masoud awachukulia positive Kama anataka kufika mbali.
 
Masoud mbona ameishi kwenye magari na Ana mapenzi na magari

Ova
 
Huenda kuna tafsiri tofauti juu ya kuunda na kugundua/kuvumbua kitu.

Huyu kipanya haieleweki, kaunda, kagundua au kafanya marekebisho/ukarabati.
Kwq hiyo mimi naona masoud Anglesea ameuunda siyo kuvumbua

Ova
 
Masoud mbona ameishi kwenye magari na Ana mapenzi na magari

Ova
Huenda hapendi MAGARI yaan magari yanamfata yeye sababu yupo kwenye kamfereji ka magari.

Huwez kupenda Gari alafu ukatengeneza gar ya namna Ile yaan hata baa unaogopa kuipak
 
Teh teh inabidi test akaifanyie baharini huko [emoji1]

Ova
Wengine huanza trials kwenye simulators kabla ya kuanza design.
Likifanikiwa kwenye simulator sababu anakuwa kesha patent idea yake haiwezi ibiwa kirahisi
 
Kwq hiyo mimi naona masoud Anglesea ameuunda siyo kuvumbua

Ova
Yaah ndo ivo mkuu hata kuunda bado lina ukakasi.
Kuna namna hawa wagunduzi wa kibongo wananufaika na hizo gunduzi zao za mchongo, maana hazinufaishi jamii.
 
Sijui, kama nyie mna taarifa sawa, ila jamaa yulee mpondaji hajui abc zozote za masoud.
Mimi nilitarajia kama msemaji wa serikali angeweka vilelezo vinavyothibitisha kuwa gari iliagizwa.
Kwa maneno ya yule mpumbavu hana ushahidi ni roho mbaya tu ya kumuharibia Masoud.
Anasema TZ hakuna manufacturing plant ya injini Hivi RD inahitaji plant ya kuzalisha injini au sola?
Solar technology is very complicated kiasi cha kuanzisha tu kiwanda ili ufanye utafiti wa gari.
Battry technology nayo ni very complicated hata Tesla company wanategemea infrastructure za China ktk uzalishaji wao hawajitoshelezi.
Kuna wajinga Hapa TZ wanafikiri kuanzisha teknolojia ni rahisi tu kiasi kwamba masoud aweze kuunda gari kama wanavyotaka.
Someni Kantaka car company ya Ghana ilivyoanza, is not easy na bado hawajaaminika kwa 100%.
Huyo bosi wa wizara ajue kutofautisha
RD, Manufacturing industry na Hoby projects/Mud scientific project.
Masoud inabidi aweke wazi project yake tujue ukweli kama ni scamer/muhuni serikali imkamate afungiliwe mashitaka kwa wizi na udanganyifu.
 
Hata ndege,hata treni hata computer hata simu vyote vinafanyiwa assembling of different component.
Waafrika tuajidanganya kuwa tutapata technolojia kwa ku re-event the wheel, fck poor mind!
Waachina wame invent how to make things in a simplest way sisi tunabwabwaja tu.
 
Hii nchi kwendela itakua ngumu sana yani viongozi wanatakiwa kumuunga mkono masudi ndio wanao mbeza na kumzalau.

Tutatumia vya kuletewa mpaka lini? Kwa kauri hiyo ningekua Rais chapu nishatengua uteuzi wake. Huyo hafai kbs kwa maendeleo ya nchi.

Alafu jamaa inaonekana ni mshamba alafu anaroho ya kimaskini.
 
Tuondoleeni huo uchafu wa Masoud, hakuna lolote la maana zaidi ya nyundo za fundi Maiko. Hii siyo maisha plus
 
Tuondoleeni huo uchafu wa Masoud, hakuna lolote la maana zaidi ya nyundo za fundi Maiko. Hii siyo maisha plus
Sasa tujadili nini? Yanga vs wanaija.
Hata TESLA wanatumia nyundo na welding.
Angalia video you tube ya MKB alipotembelea tesla co.
Ukisikia Toyota unafikiri hawajatumia nyundo na welding na mabati.
Kwa taarifa yako most expensive cars in the world are handcrafted car not machinery crafted car mojawapo ni Roys roys.
 
Hapo wanaposema Tanzania hakuna plant za kuunda engine ina maana magari ya umeme(EV) yantumia engine? Mi nilijua yanatumia motor ambayo inakuwa powered na battery
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…