We mwenyewe huwezi tamka hivooππππππ
Umezingua mbaya kuhusu Ankali π€£Bado yako nataka vinyweleo vinisimameππ
ππππNaogopa kuna watu tumesoma nao chuo watanijua humu π€£π€£π€£
Enzi zangu wakati nasoma diploma ya kuvuna asali nilikuwa mnoko mno, kila mtu alinijua jamani mimi πͺ
Mara paap, sauti imefika kwenye mafaili ya samia, ntaficha wapi sura yangu πππ€£
πππππTuogope nini??πΉπΉ
Watu million 70 utafute sauti yangu si kukosa kazi huko!! Kwanza atajichosha mi niko usukumani huku nakula michembe..!! π€£
Kwahiyo mnasave sauti zetu? πΉπΉSioni sehemu ya ku attach file eti πππ
Lamomy alishawahi kuweka voice humu anacheka ile mbaya na ananitaja sijui ipo kwenye Google drive na nina files zaidi ya 1 TB hata siwezi kuipata
Kabisaa, siwezii ππππWe mwenyewe huwezi tamka hivooππ
Kwahiyo mnasave sauti zetu? πΉπΉ
Hebu weka yako tusikie
Mmh hiyo ni uongooSioni sehemu ya ku attach file
Haswaaah uduguu..!! πΉπΉπππππ
Ila kweli, watu wajimwaye mwaye na sauti zao Mjinii.
Mmh hiyo ni uongoo
Ankali wangu πππNimekukatili nn?π
Nkirudi dsm lazima umuone akiππAnkali wangu πππ
But you have my +1 8000..πππNkirudi dsm lazima umuone akiππ
Ripiti again π nimetoka kapaBut you have my +1 8000..πππ
Una nidai? πWe jamaa