SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Je yakwako inakutafsiri kama nani maana yangu labda nikupigie unisikieKwa mujibu ya waliosikia sauti yangu kabla ya kuniona walinitafsiri kama brotherman fulani naye vimba alafu nimejipata kumbe ni mshikaji tu wa geto anayepambania maisha yake.
Ngooombe wewee haunijuiiiSauti ni moya wapo hapo
View attachment 3399449
Kumbe umenijuuuuaaaaNgooombe wewee haunijuiii
Shubastateπ€£π€£π€£
Eeh bana mtu chakeπ€£Kumbe umenijuuuuaaaa
Itupie humu candy buttonsJe yakwako inakutafsiri kama nani maana yangu labda nikupigie unisikie
Ukiweka sauti yako unitageKwanza nichekee, ππππ
Wee Fulani na mwenzio Fudengee mkuje mueleze wenyewe, mlichokua mnakisikia na mlichokuja kukiona.
πππππ
β€οΈSauti yangu bana utafikiri ndo nimeamka ila naipenda tuπ€£
M mwenyewe nna jimbo languJimbo lipo occupied tulioga mapema Sana Sanaa. Labda uwe second one ππ
Binafsi hatuchepukiii Ila Kuna ndugu zangu Hawa ma maana kabisa wenzangu wanafaa Sanaa Sanaa.
Chagua hapo chinii..
min -me
Monetary doctor
secretarybird
Hii mbona kama ya kule kwetu kishumundu bwashee π πView attachment 3399450 Natabiri... Kupitia hii sauti yako uzi utafika mbali π
Haloooπ€£π€£View attachment 3399450 Natabiri... Kupitia hii sauti yako uzi utafika mbali π
dronedrake asije akaipigia nyet...
Huyo ni mwenzako aiseeπHii mbona kama ya kule kwetu kishumundu bwashee π π
Kabisa Nikilewa mniache ni bwashee kabisa , ebu wampe pombe kwa bill yangu hapo kwa mama pendooooHuyo ni mwenzako aiseeπ
π€£π€£π€£View attachment 3399450 Natabiri... Kupitia hii sauti yako uzi utafika mbali π
Ndio hiyohiyo π hujaniona ticktok nikichekesha?ππHii mbona kama ya kule kwetu kishumundu bwashee π π
Hii sauti yako ya kichaga πView attachment 3399450 Natabiri... Kupitia hii sauti yako uzi utafika mbali π
Kwani yeye anasemajeHivi nkimuomba Dr am 4 real PhD
1M kwa sauti hii atakataa kweli!?