Wa kuperuzi nshamuwahi ni wangu tutapiga a broπNdugu yangu bro mwenzangu vipi? πΉπΉ
Hivi wale mademu zetu wako wapi waje hapa nisikie sauti zao za kututoa pangoni..!! π€£
Wewe wa Wakuperuzi em njoo mchumba
Inafaa Sana Sanaa πSauti yangu ya pili nayo inafaa?
Record hata mihayo πMkuu njaa imenifunga mdomo nikipiga nguna nitakukuta.
View attachment 3399465
Waache tuu wamegundua haya ni maji ya kina kirefu...hatuchelewi kuwatemesha mate...πππNdugu yangu bro mwenzangu vipi? πΉπΉ
Hivi wale mademu zetu wako wapi waje hapa nisikie sauti zao za kututoa pangoni..!! π€£
Wewe wa Wakuperuzi em njoo mchumba
Sauti ya mwanamke wa kiebrania ila sura ya unguja ππDah.!! Mi bro shauri yako πΉπΉ
Kweli mchumba Lamomy Nikija ntaona ndani! Sio nakuja unaleta hbar za Simba kuchezaNdugu yangu bro mwenzangu vipi? πΉπΉ
Hivi wale mademu zetu wako wapi waje hapa nisikie sauti zao za kututoa pangoni..!! π€£
Wewe wa Wakuperuzi em njoo mchumba
Hutaki kusikia ya kwangu?unaogopa nitaongea kama Marehemu Mrema...ππIna bidi uchukue wadada wa kichaga wana sauti tamu mno
Mi sioni naskiaaaππWewe unaonaje kwani ?
Sauti ya mamlaka...Sauti ya mwanamke wa kiebrania ila sura ya unguja ππ
We jamaa umenichekesha sanaπ€£π€£Record hata mihayo π
Itakuwa wanajuana mkuuAnapendwa afu anazingua
OkayMi sioni naskiaaaππ
Demu wako niko hapa π€Ndugu yangu bro mwenzangu vipi? πΉπΉ
Hivi wale mademu zetu wako wapi waje hapa nisikie sauti zao za kututoa pangoni..!! π€£
Wewe wa Wakuperuzi em njoo mchumba
Mkuu acha sisi tusimame hapo kwa ""anayepambania maisha yake""Kwa mujibu ya waliosikia sauti yangu kabla ya kuniona walinitafsiri kama brotherman fulani naye vimba alafu nimejipata kumbe ni mshikaji tu wa geto anayepambania maisha yake.
π€£π€£π€£ niko kwenye uzi wangu nachat na Mama watoto mkuu hadi narekodi ataniona kuchelewa.Record hata mihayo π
Nyamwi kwa hii uzito utatoboa kweli hapa min -me pale Dr am 4 real PhD huku wakuperuziWa kuperuzi nshamuwahi ni wangu tutapiga a broπ
Sina kibundaaaa π°π°π°π°Unapendwa mzee π π
Manka wenye sauti kinanda na lafudhi ya kichaga huwa tamu sanaπHutaki kusikia ya kwangu?unaogopa nitaongea kama Marehemu Mrema...ππ