Dah, inaumiza nafsi, nimefumba macho nikafanya ni kama labda ni mimi nipo chini ya hiyo dhahama, hapo unaona kabisa unaenda kuachana na dunia na wanao unaenda kuwaacha pia,jamaa,Hiyo moment isikie kwa mwenzako
🥺🥺
Inaastahili lawama kwkweli, Jiwe alikazana kununua midege, bora fedha zingine angenunua zana za uokoaji, ndioivyo yashatokea hakuna jinsiNasikitka sana, leo hii vijana wanakosa ajira wakati kuna sekta kibao ikiwemo hii ya uokoaji haina wafanyakazi wa kutosha, tujitafakari.
Daaah mkuu sijui umewaza nini kusema hivi. Ila ni kitu cha ukweli kabisa an mule mule..
Mwanzo nilikua nashangaa sana mtu anaye ilaumu serikali ila sasa kwa haya yanayo endelea aaaah wanipige tuu ukweli taswma
Ingekuwa ni busara kumuunganisha na muokoaji ili ampe maelekezo na sio kumpotezea charge ili uuze habari.
huyu muandishi ni kilaza mwingine anayecheza na maisha ya watu
Ilo jingalao ye linawaza siasa tu,kila kitu ye linakuambia upotoshajiWee jamaa hovyo kabisa pengine unadhani ama kuwaza mleta mada ni mchaga ama Chadema.
Kweli wewe ni jinga, unadhani wote wanaotoa taarifa wanazugawewe ndio hovyo usiyefikiri kwa kina.Mawasiliano ya mwandishi na wahanga yametokeaje kama hawajuani??
Nani aliyewaunganisha??
Vyombo vya kuokoa wako pale usiku kucha suala la kuokoa sio unaingia tu na kuvuta mtu, hili jumba limeanguka inahitaji akili kutafuta njia ili usije kuleta maafa zaidi zoezi kama hili sio nguvu kubwa inahitajika wala wingi wa vyombo kunakuwa na commander anaongoza team kwa mpangilio na wote watatoka mpaka sasa operation naweza kusema yamefanikio sababu uhai umeokolewa watu wengi na tuombe kila kiumbe kitolewe na iwe salama.
Kwa Nchi hii mkuu.Tujifunze na kutrain watu kupitia haya majanga aisee, unahitaji watu strong wenye maarifa mengi kwenye hizi kazi za uokoaji jumlisha vifaa vya kisasa.
Hizi rescue team zinapaswa kuwa na cranes, excavator ( mobile and chain) rescue helicopters, fire helicopters, wheel loaders, etc pamoja na all necessary attachments kwa dharula yeyote Ile.
Hapo kariakoo kunapaswa kuwa na supplies za fire hydrant zinazofanya kazi muda wote.
Mkuu ni kweli wala sio uwongo tunawekeza katika mambo ya ajabu ajbu..Dah, inaumiza nafsi, nimefumba macho nikafanya ni kama labda ni mimi nipo chini ya hiyo dhahama, hapo unaona kabisa unaenda kuachana na dunia na wanao unaenda kuwaacha pia,jamaa,
Mungu awatilie wepesi waokolewe kwakweli, ingekuwa nchi za wenzetu washaokolewa tangu jana ileile,wenzetu wamewekeza kwenye kila dharula, sisi tunawekeza kwenye upuuzi tu, inauma sana kwakweli, tuache kununua midege,ni wakati sasa wakununua dhana za uokozi, Dar majengo mengi ni magumashi,
Lucha acha kufokea wenzako....Reporter ana maswali ya kipumbavu acheni kuwapigia simu na kuuliza maswali ya kijinga maswali mengine yanawachosha na kuwakatisha tamaa
Mbona mnatufokea hvo..Nashangaa mtangazaji anauliza Hali zenu zipoje hivi anategemea watakua wanakula kuku kwa mrija na bia baridi au..