The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Ndo utuambie Sasa ilikuwa lugha Gani hiyo?Swali la kipuuzi maana jibu lake umeshaliandika... Hapo kwenye huo mstari uliouandika umesema mwenyewe walikuwa wanazungumza lugha moja halafu Mungu akawabadili usemi wao basi ni yeye mwenyewe Mungu ndiye atakayerejesha ule usemi wa awali.
Naapa Kwa mbingu na ardhi Mungu yupo,pepo na jahenamu zipo pia.Lengo langu ni kichambua mambo kupata ukweli.
Mpaka sasa habari za Mungu kuwapo ni za kiimani tu, hazina uthibitisho.
Imani hata uongo unaamini tu.
Ukweli mpaka uthibitishwe ndiyo unajulikana.
Thibitisha Mungu yupo, mbingu ipo.
Kama Hivi itakuwa simple sanaukiongea kwa lugha yoyote Yoyote anakuelewa,, Huezi kutofautisha kwamba hichi ni kchina au kiswahili ila unaelewa.
Au telepathically
Mizagamuo ndo kitu muhimu ktk maishaKwa waislamu mbinguni hakuna kuongea, ni kupigana miti tu mwanzo mwisho toka asubuhi hadi kesho asubuhi. Mbinguni kutakua kama danguro, ni harufu ya uchi tu mwanzo mwisho huku Allah akiwa amekaa ametulia anafurahia mizagamuano.
Dini zina stori za kipumbavu sana.
Kwahiyo unawaambiaje wagogo?Lugha moja ni lugha ya kiarabu maana ya holy language ni ya kiarabu mkuu
Huyu jamaa pamoja na kumwaga sifa kedekede za peponi Bado haamini sijui aambiwe Kwa lugha Gani huyuWee mwamba utakagi kuskia habari za pepo wala moto yaani weee...
Kila kitu thibitisha
Shekhe Kiranga unOrthodox unazingua bana.. wee ni shekhe ujue na umefuga ndefu kama sunnah ya mtume Mohamed anavyosema
Unaambiwa ukitaka kuzini machine inatoweka ghafla ila Kwa wake zako fresh. Ni maajabu!Nitajipigia sana wake za watu peponi kama hakuna wivu mbona furesh
Pia akitka kuzini machine inatoweka haioni panakuwa flat😂😂Mkuu ipo hvi huwezi kula mke wa mtu wakati kila mtu atakua na mke wake...
Pia huko hutokua na tamaa ya kula cha mtu
Wewe utaongea tu kuwa ukifa mke wako asiolewe
Huku ni muhimu kufikaVazi sio moja. Mavazi ni mengi mno. Magari yapo, chakula kipo, majumba yapo. Ni kama duniani. Utofauti ni ubora wa nchi. Kule ni bora
Hujathibitisha.Naapa Kwa mbingu na ardhi Mungu yupo,pepo na jahenamu zipo pia.
Ameni
Mgari ya kwenda wapi? Yatakuwa yanatumia petrol au damu ya yesu?Vazi sio moja. Mavazi ni mengi mno. Magari yapo, chakula kipo, majumba yapo. Ni kama duniani. Utofauti ni ubora wa nchi. Kule ni bora
Usiogope sababu haupo kwenye list
Ilitakiwa iwe hivyo hapa duniani..lakini kinyume chake katuwekea manyege ya kumwaga na sheria juu USIZINI.Unaambiwa ukitaka kuzini machine inatoweka ghafla ila Kwa wake zako fresh. Ni maajabu!
Kuna wimbo wa wasabato niliwahi kuusikia kipindi Cha nyuma kutoka kanisa la waadventista wasabato kurasini ilikuwa inasema wataendesha gari la kifalme wakizunguka zungka kwenye mitaa mbinguni Kwa Mungu😂😂😂Mgari ya kwenda wapi? Yatakuwa yanatumia petrol au damu ya yesu?
Mgari ya kwenda wapi? Yatakuwa yanatumia petrol au damu ya yesu?
Duniani kuonja zote chungu na tamu halafu mbinguni Unakuta muamala wako ushathibitishwa kitambo kama unastahili ama lahIlitakiwa iwe hivyo hapa duniani..lakini kinyume chake katuwekea manyege ya kumwaga na sheria juu USIZINI.
Uongo mtupu😃Kuna wimbo wa wasabato niliwahi kuusikia kipindi Cha nyuma kutoka kanisa la waadventista wasabato kurasini ilikuwa inasema wataendesha gari la kifalme wakizunguka zungka kwenye mitaa mbinguni Kwa Mungu😂😂😂
"Jina la wimbo Jerusalem "
Kuhusu mafuta wao ndo Wana details zote. Code nimekupa