Injili.haikuhifadhiwa,mahubiri ya Yesu yalikuwepo,Lakini hayakuhifdhiwa..
Hivi akili zenu huwa mnaziweka wapi ninyi waislam wafuasi wa mwamedi?Sio kwamba hakikuwepo, kilikuwepo isipokuwa wana wa Israel kwa uharibifu wao walifanya mipango ya kubadilisha maandiko sababu hawakupenda ya mungu
Kwani aliandika Quran?yeye si alikuwa mzee wa kusikia na kusema alichosikia..ndomaana watu kipindi kile walimtania na kumuita 'sikio' maana kila analolisikia mtaani linaishia kwenye QuranAlicopy vipi wakati alikuwa hajui kusoma wala kuandika ?
Hadith ipo sawa sema Yule ni jahili ivyo usisumbukeNgoja tukukamate unafikiri watu ni mazuzu! Hiyo hadithi ipo kwenye mlango gani? Tupatie jina la scholar ambaye ni mufassiruun na kufafanua kama wewe ulivyofafanua hapo juu!
Upo sahihi.Hadith ipo sawa sema Yule ni jahili ivyo usisumbuke
Tupe ushahidi wa kila alilolisikia mtaani linaishia kwenye Qur'aan ?Kwani aliandika Quran?yeye si alikuwa mzee wa kusikia na kusema alichosikia..ndomaana watu kipindi kile walimtania na kumuita 'sikio' maana kila analolisikia mtaani linaishia kwenye Quran
kwahyo hadith nimetunga sio
kinatoka mtaani kwa watu wa aina mbalimbali,wayahudi,waquraysh,Waajemi wazoroastra,wagiriki.kumbuka muhammad kazurula sana kibiashara na kama 'mecca'ilikuwa kitovu cha biashara(ingawa siliamini hili) basi kulikuwa na mchanganyiko wa jamii mbalimbali zenye story mbali mbaliTupe ushahidi wa kila alilolisikia mtaani linaishia kwenye Qur'aan ?
Swali alichosikia klikuwa kinatoka kwa nani au kinatika wapi ?
nimekosea wapi kuelezea hio hadith?Hadithi uliyoiweka ni sahihi lakini haikuwa na uelekea uliyokuwa unauelekezea wewe.
hadith iko sahih na mufasir ibn kathir anasema inatumika kuelezea hiyo aya....wewe unabisha nini tena? hiyo hadith haitUmiki kutafsir hiyo aya au?Hadithi uloyoitoa ni sahihi, inayoelezea Mtume Muhammad s.a.w alivyokuwa akilizungumzia Jua. Lakini usahihi huo haukuwa sahihi kwenye kuitafsiri hiyo aya kama ulivyouelekezea wewe.
kwanza.. tafsiri niliyoisema kwanza iko sahihi hilo jambo inabidi ukubali..tafsir ya pili sikutaka kuizungumzia maana sikuona kama inaongeza au inapunguza chochote kwenye huu mjadala.View attachment 1683363
Kwa muktadha huo; Hadithi ipo sahihi lakini hiyo aya tafsiri yake haikujikita kwa hiyo hadithi uliyoiweka pekee bali kuna tafsiri zaidi ya hiyo hadithi uliyoiweka kwenye kuifafanua hiyo aya maana yake haswa ni ipi! Na huo ndiyo ulikuwa mlengo wangu mimi.
Sawa!nimekosea wapi kuelezea hio hadith?
hadith iko sahih na mufasir ibn kathir anasema inatumika kuelezea hiyo aya....wewe unabisha nini tena? hiyo hadith haitUmiki kutafsir hiyo aya au?
kwanza.. tafsiri niliyoisema kwanza iko sahihi hilo jambo inabidi ukubali..tafsir ya pili sikutaka kuizungumzia maana sikuona kama inaongeza au inapunguza chochote kwenye huu mjadala.
Tatu..mlengo wako haukuwa huo..mlengo wako ilikuwa unapinga usahihi wa hadith na kama inatumika kuelezea hiyo aya..... labda kama umebadili gia angani.
Sawa!
Nakubali tafsiri ipo sahihi.
Nimeridhia pia rai ya pili haikuwa ni yenye kuongeza wala kupunguza chochote kwenye mjadala.
Pia, mlengo wangu haukuwa huo. Mlengo wangu ulikuwa unapinga usahihi wa hadithi na kama inatumika kuelezea hiyo aya.
Simpingi Ibn Kathiir.
Na ni kweli hadithi ipo wazi.
Na hadithi inatumika kuelezea hiyo aya.
Bado kuna mahali nimekosea?
Kijana uwe unatuliza akili na ujue nini tunakiongelea. Tunaongelea Qur'aan unaleta hadithi za mtume. Tumalize kwanza hili la Qur'aan kisha tuje kwenye hadithi.kinatoka mtaani kwa watu wa aina mbalimbali,wayahudi,waquraysh,Waajemi wazoroastra,wagiriki.kumbuka muhammad kazurula sana kibiashara na kama 'mecca'ilikuwa kitovu cha biashara(ingawa siliamini hili) basi kulikuwa na mchanganyiko wa jamii mbalimbali zenye story mbali mbali
mifano ipo mingi tu hata hapo juu tulkwa
tunadiscuss alivyokopi story ya uongo ya jinsi mtoto anapatikana.
mfano mwingine ni zile story za watu kugeuzwa nyani ambazo zipo kwenye Talmud
au hapa alipomkopi paulo
Sahih bukhari 7498
the Prophet (ﷺ) said, "Allah said, "I have prepared for My righteous slaves (such excellent things) as no eye has ever seen, nor an ear has ever heard nor a human heart can ever think of.'
Corinthians 2:9 KJV
... Eye hath not seen, nor ear heard, neither have entered into the heart of man, the things which God hath prepared for them that love him.
keep in mind kaiga hata sequence ya maneno alotumia Paulo.
paulo yeye alimquote isaiah lakini akabadilisha maneno ila muhamad akaona
uvivu...
Kwa nini unahisi nikufanyie hivyo? Sarcasm?kama sio sarcasm basi kongole kwa kuwa jamvinikujadili sio kubishana kama huyo anayejiita zurri
nimeongea vingi kama wewe umeona part ya hadith tu basi sio kosa langu..(BTW kwangu mimi sioni tofauti ya Quran na hadith....moja ni hadith za waislam wa kale wakisema kuwa hayo yalikuwa matendo na maneno ya mtume wao. nyingine ni hadith za haohao waislam wa kale wakisema hayo ni maneno ambayo huyo mtume wao alisema yanatoka kwa mungu....All in all zote ni hadith za hao waislam wa kale all the same)Kijana uwe unatuliza akili na ujue nini tunakiongelea. Tunaongelea Qur'aan unaleta hadithi za mtume. Tumalize kwanza hili la Qur'aan kisha tuje kwenye hadithi.
Au ushasahau mara hii tunaongelea nini ?
SawaKwa nini unahisi nikufanyie hivyo? Sarcasm?
Moyo wangu una amani na iwe kwako pia!
Kuhusu Zurri sidhani kama ni vyema kumhusisha kilichokuwa baina yangu na yako. Kilichokuwa baina yenu ni vyema mkakijadili baina yenu.
Dini ni elimu. Kuna uwezekano nikawa ni mwenye elimu zaidi yake au akawa ni mwenye elimu zaidi, zaidi ya mimi. (Simaanishi kuwa nina vazi la elimu bali ninamaanisha kiwango cha elimu).
Baina yenu mjadala ni mengi tutajifunza na tunajifunza.
Quran imeelezea habari za 'finger prints ' kwa maana ya ile uniqueness yake baina ya mtu na mtu. Allah anatuhakikishia wote, tunaomuamini na msiomuamini kwamba atatufufua siku ya kiyama na ataturudisha 'sawa sawa' mpaka 'ncha za vidole'! Wallahu aalam.nipe muujiza mmoja wa kisayansi wa Quran nisilim
Tofauti ipo, umeandika mengi, ila katika munasaba wa kitabu uliongelea hasa, na si yote ndiyo maana nakurudisha katika hoja ya msingi. Acha uoga jikite kwenye hoja ya msingi.nimeongea vingi kama wewe umeona part ya hadith tu basi sio kosa langu..(BTW kwangu mimi sioni tofauti ya Quran na hadith....moja ni hadith za waislam wa kale wakisema kuwa hayo yalikuwa matendo na maneno ya mtume wao. nyingine ni hadith za haohao waislam wa kale wakisema hayo ni maneno ambayo huyo mtume wao alisema yanatoka kwa mungu....All in all zote ni hadith za hao waislam wa kale all the same)
Soma tena uelewe...kuna mifano mi3 hapo nimesema..miwili ya Quran mmoja wa hadith.Tofauti ipo, umeandika mengi, ila katika munasaba wa kitabu uliongelea hasa, na si yote ndiyo maana nakurudisha katika hoja ya msingi. Acha uoga jikite kwenye hoja ya msingi.
Haya mengine tutayajadili baadae ila tumalize hili la Qur'aan kwamba kila alilosikia mitaani mtume tunalikuta humo, na utupe ushahidi ni lipi hilo.
Kuweni serious kidogo basiQuran imeelezea habari za 'finger prints ' kwa maana ya ile uniqueness yake baina ya mtu na mtu. Allah anatuhakikishia wote, tunaomuamini na msiomuamini kwamba atatufufua siku ya kiyama na ataturudisha 'sawa sawa' mpaka 'ncha za vidole'! Wallahu aalam.
Akili zetu zimewekwa kichwani,tunaamini ya Isa aka Yesu na madhumuni yake ya kuletwa na Mungu hapa DunianiHivi akili zenu huwa mnaziweka wapi ninyi waislam wafuasi wa mwamedi?
Mbona wagumu sana kuelewa?
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app