Sayansi ya uumbaji ndani ya Qur'an/Koran: Sehemu ya 01

Hapa duniani kuna watu wajinga lakin ww ni zaidi

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
ilianza QURAN ikaja sayansi.
 
Hakuna ANAYEWEZA kuedit Quran.
Ndo maana mpaka Leo Quran imebaki kwenye lugha yake ya asili.
Tofauti na BIBLIA haijulikani lugha yake ya asili Ni ipi
nimeongelea quran au tafsir zake ndo wanaedit?
Haya iyo Quran OG ambayo haijabidilika ni ipi?Maana zipo nyingi
 
Hii inaitwa poteza boya..miluzi mingi ili mbwa apotee...Jamaa kauliza ishu simple ya jua kwenda topeni ambayo ndo mada tulokuwa tunaongelea maswala ya jua...wewe umemchanganyia mafaili mengi mengi ili akianza kuyajibu hayo anakuwa kashasahau ishu za jua kuzama topeni...ila kongole kiungwana katikati ya utumbo ukakiri kuwa hyo ishu hujui Allah knows best...
 
Si kweli, usifuate maneno ya Qur'an, utapotoka. Kiungo cha kwanza kuumbwa kwa binadamu yeyote yule ni mkundu tu kisha vinakuja vingine.
 
Kwa kweli badala ya kila mtu aje facts zake za kidini kutoka kwenya bibilia au msahafu ili kudhibitisha au kupinga
Lakini hapa naona ni kama ile stori ya mlango umechorwa kwenye ukuta na dini moja inang'ang'ania kupita wakati dini nyingine inasema wao wanao ufunguo wa huo mlango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…