Sayansi ya uumbaji ndani ya Qur'an/Koran: Sehemu ya 01

hyo pia ni elimu
vipi mkuu...mjadala ushakushinda ushaanza kubadili mada na kuchenga magoli?
Sikia mzee hapa hatushindani Ukristo Vs uislam ...Hapa tunajadili mada mezani .
Acha mentality za kishamba jibu hoja ulizoacha huko juu
 
Narudia, usiamini Qur'an utapotoka kama alivyopotosha Mohammed na Shetani....shauri yako usije sema sijakuonya.

Na ule ujinga wa bibilia unao wazulia mitume ya mungu ujinga eti mara daudi alilala na mke wa mtu akapatikana king solomon, mara Noah alikaa uchi ufukweni akiwa analewa, mara king solomon akaabudia masanamu yaani ujinga ujinga
 
Allah ndiyo....injili ya issa iko wapi nikaisome?
Injili,gospel ni mahubiri aliyowahubiria watu wake ..

Mkusanyiko wa mahubiri hayo hayakuhifadhiwa,sio kwamba ilikuwa bahati mbaya,bali Mungu alifanya hivyo makusudi

Mungu alijua atakuja mtu mwengine kuendeleza alichoacha Yesy

Isa aka Yesu aka krist alihubiri kwa kunukuu kitabu cha Musa,taurati,mahubiri yalikuwa hayajakamilika..

Yesu aka Isa aliteremshwa kwa wana wa Israel tu,sio kwa binaadamu wote,mahuburi yake yaliwahusu sana wana wa Israel ..

Isa alitabiri kuwa atakuja mtu mwengine kuendeleza kazi yake,ambae ni Muhammad

Kitabu cha injili hakikuhifadhiwa,hakuna kitabu chenye mahubiri ya Isa aka Yesu aka Christ aka Yoshua aka Yasu aka Jesus
 
kwahyo kitabu cha injili hakijawahi kuwepo sio
 
Sio kwamba hakikuwepo, kilikuwepo isipokuwa wana wa Israel kwa uharibifu wao walifanya mipango ya kubadilisha maandiko sababu hawakupenda ya mungu
Huo uharibifu ulifanywa lini?kabla au baada ya muhammad?
 
Tuchambulie basi hio aya mbona uburura juu juu
 
Habari za kisaayansi kwenye ni nyingi sana haiwezekani ikawikaw yote imetokea kwa bahati nasibu , yani iwe imeandikwa kwa kukisiwa
 
Huo uharibifu ulifanywa lini?kabla au baada ya muhammad?

Kabla hata Yesu kutoweka duniani warumi na wale wa Israel vibaraka kwa warumi walimchukia Yesu kwasababu ya kumtangaza Mungu wa kweli. Kwa kipindi hicho tukumbuke ya kwamba dola ya kirumi ilikuwa ikitawala kiasi kikubwa duniani na wao walikuwa wana kawaida ya kulazimisha watu kuabudu miungu yao masanamu. Hivyo kumtangaza mungu tofauti na wao ilikuwa kesi kipindi hicho. Kwasababu Yesu alikuwa akimuhubiri bwana mmoja wa mbingu na nchi ilimpelekea kuwakera baadhi ya wana wa Israel na warumi wakasuka mipango ya kumuondoa duniani then warumi kwa kushirikiana na wana wa Israel ndio wakaja kuandika version ya Injili ambayo ni Bible wakayachanganya ya Bwana Mungu na kwao. Walioyapenda kutoka kwa mungu wakaya andika kwenye Bible walioya kataa wakayatoa. Alipokuja Constantine Agustus akawachukua baadhi ya wana Israel kwenda kuwafundisha imani ya uunani yaani kwa kiswahili fasaha ni kuamini kwenye utatu yaani mungu mama, mtoto, na bwana. Constantine Agustus alipandikiza imani hiyo kiakili ambayo inamuanganisha mungu wa kweli na masanamu yao. Hivyo ndio maana hiyo Bible ina contridictions nyingi sana kwasababu waliipoteza Injili ya kweli kwa asilimia kubwa. Ukisoma historia ya huyo Agustus vizuri utaelewa kuna uhusiano mkubwa kati ya warumi na ukiristo. Hata hiyo Yesu kufa kwenye msalaba kwa ajili ya dhambi za ulimwengu ni propaganda ya warumi. Na ndio muisraili wa kweli haswa sio rahisi akawa mkiristo atakuwa Jew kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…