Sayansi ya uumbaji ndani ya Qur'an/Koran: Sehemu ya 01

Haya maandiko kama tuyasoma kwa mazingatio utakuta yanaelezea utungaji wa mimba huko tumboni.
hata mtu ambaye hajasoma anaweza kutumia akili yake na kujua mimba inatokana na shahawa za mwanamme kumwingilia mwanamke na kukaa sehem na kuanza kudevelop mpaka kuwa mtoto...huo sio muujiza...Muujiza upo kwenye details.
Sasa niambie kwa kipindi hicho cha muhammad (s.a.w) kuna mwanasayansi gani alikaa na kutoa maelezo juu ya utungaji wa mimba jee hiyo sio sayansi?
wanasayansi kibao tu kabla ya muhammad waliongelea stage za utungaji wa mimba.
mfano hata kwenye Talmud ya wayahudi kuna story za embryology kutoka kwa physicians kama Samwel ah-yehudi( almost miaka 500 kabla ya muhamad)...yeye alielezea hivi
embryo(ambayo aliita peri- habbeten) ina stage sita....it develops as

1.golem (formless, rolled-up thing);
2.shefir meruqqam (embroidered foetus 3. shefir means amniotic sac);'
4.ubbar (something carried);
5.v'alad (child);v'alad shel qayama (noble or viable child) and
6.ben she-kallu chadashav (child whose months have been completed).

lakini stage za kwenye quran zinafanana na maelezo ya mwanafilosofia Galen(alikufa miaka 400 kabla muhamad kuzaliwa)
ambaye alieleza stage hizi.
1.sperm
2.blood(clot)
3.flesh and bones
4.baby

Muhamad probability kubwa ni kuwa alikopi hapo kwasabab aliinteract na wagiriki kupitia biashara lakini kinachochekesha hata hzo stage zimekosewa....(again details ndo kila kitu kwasabab kila mtu anajua ukinywa sumu unakufa..lakini maelezo ya jinsi utakufa ndo yanahitaji elimu.)
em tuzipitie
Na kwa hakika tumemuumba binaadamu kwa asili ya udongo - Quran 23: 12
Kisha tukamjaalia awe mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti
hakuna maajab yoyote hapa
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda,
Uongo wa kwanza..kwasabab katika stage zote za embryology hakuna sehem embryo inakuwa damu iliyoganda...Hapa Galen alidanganya ikapelekea muhammad kuiga uongo na kuupachika kwenye quran.
na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa
uongo mwingine kwasababu haianzi nyama kisha mifupa...it is a fact kuwa vinakuwa formed kwa pamoja(simultaneously) sio kwa step kama muhamad anavyotujulisha

lakini hongera kwa kuleta aya ambayo inaongelea sayansi bila kupinda pindisha maana ya maneno...sio unaleta aya muhamad anaelezea kuuana halafu unapachika maana zako za sayansi
 
Zifuatazo ni baadhi ya hesabu na uwiano wa kimahesabu ndani ya quraan

1. Neno adhabu katika quraan limetajwa mara 117
Neno msamaha limetajwa mara 134
Ukichukua 117+117=134
Kwanza hii hesbu umekosea...pili,
Neno Magufuli lina herufi 8..lakini pia neno TANZANIA lina herufi 8 na neno ZANZIBAR pia lina herufi 8 huu ni muujiza na inaonesha jinsi magufuli ni raisi wa MUUNGANO ambayo ina herufi 8 pia.
Sometimes wanamwita JPM ambayo ina herufi 3...ukitoa 8-3 unapata 5
hii inaonesha ni raisi wa awamu ya 5..na CHATO ina herufi 5 pia hii inaonesha awamu hii ni awamu ya CHATO.

mzee hizi hesabu hata ukichukua kitabu cha kiswahili std7 huwezi kuzikosa..kitendo tu cha kupoteza mda kuzitafuta inaonesha jinsi Quran haina miujiza mpaka uitafute kwa tochi...hizo aya na mipangilio yake waliipanga wanadamu kina Uthman hilo unatakiwa ulitambue na personally najua walikosea mpangilio kuna aya unakuta mwendelezo uko sura nyingine..na haijapangwa kwa mlolongo wa matukio unakuta aya ya mwisho kushuka ndo ya kwanza kupangwa
quran ipi ambayo ilishuka kipindi cha muhammad maana leo zipo Quran nyingi kuna hafs,warsh....nk. zaidi ya quran 30
achilia mbali aya zilizopotea (hadith)
pia hata wale top reciters wa muhammad walibishana kuhusu Quran na mtu aliyetajwa na muhammad namba moja kuijua Quran aliipinga vikali Quran iliyotengenezwa na Uthman ambayo ndo inasemekana ndo inayotumika leo.
Bado kuna hadith zinapingana zingine zinasema Quran ilikuwa na sura 115 zingine 113 ya leo ina 114.
kuna hadith zinasema mpaka kuna sura zilipotea.
 
Nani kakudanganya kuwa jua lina jongea? Uliikimbia jografia ukawahi madrasa haya ndo madhara yake
 
Huu ni uongo!! Kitu cha kwanza ni ubongo,wanasayans wanathibitisha hilo
 

Mkuu bila hiyo damu mfupa usingepatikana na kama utasoma vizuri bones formation system utajua ya kwamba mifupa inakuwa baada ya stage na sio simultaneously kama unavyosema. Halafu hiyo damu haiwezi kuwa pande la nyama isipokuwa inapitia katika process ya mgando. Na ndio maana imeandikwa kuganda.
 
Wewe umeelimika sana mkuu japo unasema hukusoma sana
 
ubaya au uzuri wa sayansi sio kama siasa unaropoka tu utakavyo..unatakiwa uweke na evidence bila damu ipi?damu ipii inayoganda?hakuna step yoyote sperm inageuka kuwa damu au kuganda huo ni ulongo na uzandiki.

It is a proven fact kuwa mifupa na nyama zinakuwa formed simultaneously
vyote flesh na mifupa zinatokana na tissue moja (mesoderm) ambamo cell zake zinaanza kujidifferentiate zingine zikidevelop kuwa mifupa zingine kuwa flesh...so ni simultaneous process ambayo haina stages..eti mifupa ianze then nyama ndo ije ivalishwe kwa juu kama Quran inavyotudanganya?
 
Huu ni mpangilio wa kazi ya uumbaji ya Mungu aliyewahi kujitambulisha kwa jina la NIKO AMBAYE NIKO. au Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo, ambapo alifanya uumbaji kwa Siku Sita.

Mwanzo
1:1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.
5 Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja.
6 Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji.
7 Mungu akalifanya anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo.
8 Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili.
9 Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo.
10 Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
11 Mungu akasema, Nchi na itoe majani, mche utoao mbegu, na mti wa matunda uzaao matunda kwa jinsi yake, ambao mbegu zake zimo ndani yake, juu ya nchi; ikawa hivyo.
12 Nchi ikatoa majani, mche utoao mbegu kwa jinsi yake, na mti uzaao matunda, ambao mbegu zake zimo ndani yake, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
13 Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tatu.
14 Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili na majira na siku na miaka;
15 tena iwe ndiyo mianga katika anga la mbingu itie nuru juu ya nchi; ikawa hivyo.
16 Mungu akafanya mianga miwili mikubwa, ule mkubwa utawale mchana, na ule mdogo utawale usiku; akafanya na nyota pia.
17 Mungu akaiweka katika anga la mbingu, itie nuru juu ya nchi
18 na kuutawala mchana na usiku na kutenga nuru na giza; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
19 Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya nne.
20 Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na kitu kiendacho chenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.
21 Mungu akaumba nyangumi wakubwa, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho, ambavyo maji yalijawa navyo kwa wingi kwa jinsi zao, na kila ndege arukaye, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
22 Mungu akavibarikia, akisema, Zaeni, mkaongezeke, mkayajaze maji ya baharini, ndege na wazidi katika nchi.
23 Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tano.
24 Mungu akasema, Nchi na izae kiumbe hai kwa jinsi zake, mnyama wa kufugwa, nacho kitambaacho, na wanyama wa mwitu kwa jinsi zake; ikawa hivyo.
25 Mungu akafanya mnyama wa mwitu kwa jinsi zake, na mnyama wa kufugwa kwa jinsi zake, na kila kitu kitambaacho juu ya nchi kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
29 Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu;
30 na chakula cha kila mnyama wa nchi, na cha kila ndege wa angani, na cha kila kitu kitambaacho juu ya nchi, chenye uhai; majani yote ya miche, ndiyo chakula chenu; ikawa hivyo.
31 Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.

Naomba mpangilio wa uumbaji wa Mungu mnayemwita kwa jina la
Allah.
Alifanya uumbaji kwa muda gani?
Muda gani aliumba nini ?
Labda niulize, Siku ya Tano aliumba nini ?
Naomba mtiririko wa kazi yake ya uumbaji ili nijiridhishe kama ndiye Muumbaji.
Nasubiri Majibu
 
Qur'aan haitanguliwi na wakati sababu Qur'aan si kitabu cha Sayansi bali ni muongozo ndiyo maana hata Sayansi inakosolewa na Qur'aan.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imekosolewa wapi? Onesha ilipokosolewa

Au kusema kuwa jua linazama kwenye matope?

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imekosolewa wapi? Onesha ilipokosolewa

Au kusema kuwa jua linazama kwenye matope?

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app

Suala la jua kuzama hili limeshajadiliwa mno humu ndani, na likawekwa wazi na walio elewa walielewa na mlio chagua kuukataa ukweli mmechagua.

Qur'aan imetwambia ya kuwa Jua linatembea, ila Sayansi yenu na upuuzi wenu mpaka leo mnakubali ya kuwa Jua halitembei. Jambo ambalo liko wazi mno.
 
Quran ilikuwepo tangu enzi za ADAM na hata kabla ulimwengu haujaumbwa
ndo maana kuna habari zake
Ptuuuuh... kwahiyo Muhammad alikuwepo kabla ya Adam akadondoshewa Quran???

Hebu muache sasa kuandika uongo enyi wafuasi wa Mwamedi

Mara Adam alikuwa Muislam, sijui alisilimu kwa nani?

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Alicopy vipi wakati alikuwa hajui kusoma wala kuandika ?
 
Uongo mtupu

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…