Hilo ni tukio tu naposema mchango kwenye jamii nakusudia kitu ambacho ni msaada kwa jamii ambacho ni endelevu, kimewafanya watu kuwa katika hali fulani au kuwa na uelewa fulani. Mfano kwenye jamii wapo watu wanaishi kwa wema na wenzao,wanasaidia wenzao n.k yote kwa sababu ya imani zao za dini.Kwani huo si mchango katika jamii yake?
Wangapi walikuwa wanaibiwa kwa mtindo huo pasina kufahamu?
Ku expose uongo na watu wengi kuujua ukweli huo ni mchango au wewe mchango kwako ni nini?
Huyo jamaa wako ndio hajui mpira unaleta habari za mabomu kama tupo Gaza!Huyo hayupo familia na mpira
Yeye anajua maswala ya hija ya kumrushia mawe shetani wakati kiuhalisia lile ni jiwe
Kwa sababu ulisema uhakika unapitia mchakato wa uthibitisho na kuwa verified.Sasa jambo ambalo bado hujaliona mwisho wake utasemaje unauhakika nalo?
Nilikuwa najiomba mimi mwenyeweJibu swali, ulikuwa unamuomba nani katika maombi yako?
Thats right! Mpaka whistle inapo blow kuashiria mpira kuisha.u kama tupo Gaza!
Unataka kuniambia timu hata ikiongoza goli 10 kwa 0 refa hamalizi mpira hadi dakika iziishe kwa kunaweza kutokea mabomu au ajali?
Kwa YangaTuambie maombi yako ulikuwa unayaelekeza kwa nani.
Unaeleza matukio tu ila hauelezi basi japo hayo matukio yamekuwa na mchango gani kwenye jamii?Kwani hilo tukio halijafanywa na Atheist ku debubk nadharia potofu iliyokuwa ina mea katika jamii?
Na sijakuongezea
Kuna challenge ya 1M dollar iliwekwa na huyo huyo James Randi. Kwa watu wote wanaodai kuwa uchawi upo basi wakiweza kuthibitisha uchawi upo watapokea hizo pesa.
Shindano lilianza mwaka 1964 huku maelfu ya watu wakijitokeza kufanya challenge lakini mpaka 2015 shindano linakuja kuwa terminated hakuna hata mmoja aliyeweza kuthibitisha uchawi.
Shindano limedumu kwa miaka zaidi ya 50 lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kuthibitisha uchawi upo.
Je hiyo sio advantage ya atheism katika jamii kutoa mwangaza kwa watu ambao wamekuwa wakidanganyika na mambo ya kishirikina?
Kwenye mfano wa scars james rand ame expose uongo.Hilo ni tukio tu naposema mchango kwenye jamii nakusudia kitu ambacho ni msaada kwa jamii ambacho ni endelevu
Nimezungumzia mimiSuala la kanisani nani kazungumzia? Kuna mahala nimezubgumza habari ya kanisa?
Kwani tukio halitoshi kuwa mchango?Unaeleza matukio tu ila hauelezi basi japo hayo matukio yamekuwa na mchango gani kwenye jamii?
Elewa kwamba unachozungumzia ni nje kabisa ya mchezo wa mpira, mie sijasema kuwa nina uhakika mechi itaisha salama au haitokatishwa bali mimi nazungumzia ndani ya dk 90 za mchezo wenyewe.Yaani nashangaa kwanini unaweka limitation mkuu,
Kwamba ingekuwa gaza ungezingatia hilo? Lakini masheikh waliotuhumiwa kurusha bomu hotel arusha? Je bomu kanisani kule arusha?
Acha kujilimit na hii ni sababu swali lako limekuja chukulia mfano probability haina limitation lolote linaweza kutokea ndani ya sekunde hizo.
Ukitaka toka huko jadili mada.
Usipunguze swali mkuu,Elewa kwamba unachozungumzia ni nje kabisa ya mchezo wa mpira, mie sijasema kuwa nina uhakika mechi itaisha salama au haitokatishwa bali mimi nazungumzia ndani ya dk 90 za mchezo wenyewe.
Mkuu hilo ni tukio tu ambalo hata muumini wa dini anaweza kulifanya, mimi nataka nione atheism mchango wao ni huu katika jamii kama ambavyo tunaona watu wanaishi vyema na wenzao kwa sababu ya imani zao za dini au wanatoa misaada kwa wasiojiweza sababu ni imani ya dini.Kwani tukio halitoshi kuwa mchango?
Huoni kuna elimu hapo imetolewa?
Hufikirii kuwa watu wangeweza kupoteza muda wao mwingi kuishi kizembe kwa ku risk afya yao kwa kutoenda hospitalini wakiamini kuna mchungaji aliyeoteshwa na Mungu anaweza kuwaponya?
Mkuu hilo ni tukio tu ambalo hata muumini wa dini anaweza kulifanya, mimi nataka nione atheism mchango wao ni huu katika jamii kama ambavyo tunaona watu wanaishi vyema na wenzao kwa sababu ya imani zao za dini au wanatoa misaada kwa wasiojiweza sababu ni imani ya dini.
Logic ipoUlikuwa unawaombea yanga wasifungwe na ulikuwa unaomba kwa yanga? Hapo unaona kuna logic kwenye hii kauli?
Kwani tukio sio sehemu ya mchango?Mkuu hilo ni tukio tu ambalo hata muumini wa dini anaweza kulifanya, mimi nataka nione atheism mchango wao ni huu katika jamii kama ambavyo tunaona watu wanaishi vyema na wenzao kwa sababu ya imani zao za dini au wanatoa misaada kwa wasiojiweza sababu ni imani ya dini.
Mbona sijakataa kuwa mabomu yanaweza kupigwa uwanjani au dharula yeyote kutokea na mechi ikaharibika, ila nachosema hizo ni dharula.Thats right! Mpaka whistle inapo blow kuashiria mpira kuisha.
Halafu mkuu achana kujilimit unaonekana haupo open minded.
Suala la mabomu hata kwetu hapa tanzania imetokea mbagala, gmboto nini kinazuia isiweze kutokea?
sasa ulichokuwa unakataa ni nini?Mbona sijakataa kuwa mabomu yanaweza kupigwa uwanjani au dharula yeyote kutokea na mechi ikaharibika, ila nachosema hizo ni dharula.