Scars haaamini kwenye uwepo wa Mungu lakini anaomba dua na kufanya maombi

Scars haaamini kwenye uwepo wa Mungu lakini anaomba dua na kufanya maombi

Kwani huo si mchango katika jamii yake?
Wangapi walikuwa wanaibiwa kwa mtindo huo pasina kufahamu?
Ku expose uongo na watu wengi kuujua ukweli huo ni mchango au wewe mchango kwako ni nini?
Hilo ni tukio tu naposema mchango kwenye jamii nakusudia kitu ambacho ni msaada kwa jamii ambacho ni endelevu, kimewafanya watu kuwa katika hali fulani au kuwa na uelewa fulani. Mfano kwenye jamii wapo watu wanaishi kwa wema na wenzao,wanasaidia wenzao n.k yote kwa sababu ya imani zao za dini.
 
Huyo hayupo familia na mpira

Yeye anajua maswala ya hija ya kumrushia mawe shetani wakati kiuhalisia lile ni jiwe
Huyo jamaa wako ndio hajui mpira unaleta habari za mabomu kama tupo Gaza!
Unataka kuniambia timu hata ikiongoza goli 10 kwa 0 refa hamalizi mpira hadi dakika 90 ziishe sababu kunaweza kutokea mabomu au ajali?
 
u kama tupo Gaza!
Unataka kuniambia timu hata ikiongoza goli 10 kwa 0 refa hamalizi mpira hadi dakika iziishe kwa kunaweza kutokea mabomu au ajali?
Thats right! Mpaka whistle inapo blow kuashiria mpira kuisha.

Halafu mkuu achana kujilimit unaonekana haupo open minded.

Suala la mabomu hata kwetu hapa tanzania imetokea mbagala, gmboto nini kinazuia isiweze kutokea?
 
Kwani hilo tukio halijafanywa na Atheist ku debubk nadharia potofu iliyokuwa ina mea katika jamii?

Na sijakuongezea

Kuna challenge ya 1M dollar iliwekwa na huyo huyo James Randi. Kwa watu wote wanaodai kuwa uchawi upo basi wakiweza kuthibitisha uchawi upo watapokea hizo pesa.

Shindano lilianza mwaka 1964 huku maelfu ya watu wakijitokeza kufanya challenge lakini mpaka 2015 shindano linakuja kuwa terminated hakuna hata mmoja aliyeweza kuthibitisha uchawi.

Shindano limedumu kwa miaka zaidi ya 50 lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kuthibitisha uchawi upo.

Je hiyo sio advantage ya atheism katika jamii kutoa mwangaza kwa watu ambao wamekuwa wakidanganyika na mambo ya kishirikina?
Unaeleza matukio tu ila hauelezi basi japo hayo matukio yamekuwa na mchango gani kwenye jamii?
 
Hilo ni tukio tu naposema mchango kwenye jamii nakusudia kitu ambacho ni msaada kwa jamii ambacho ni endelevu
Kwenye mfano wa scars james rand ame expose uongo.
From that moment watu wameelewa kwamba huyu ni tapeli watu watakua wanaambiana tuwe cautious hivyo kizazi ma kizazi.
Sihitaji dini ili niweze kumsaidia mtu
Akili tu ya kawaida wala sihitaji kuambiwa na kitabu
 
Suala la kanisani nani kazungumzia? Kuna mahala nimezubgumza habari ya kanisa?
Nimezungumzia mimi

Kwani wapi nimeku-accuse kuwa umezungumzia habari ya kanisa kiasi cha kuanza kujitetea kuwa hujazungumzia maswala ya kanisa?
 
Unaeleza matukio tu ila hauelezi basi japo hayo matukio yamekuwa na mchango gani kwenye jamii?
Kwani tukio halitoshi kuwa mchango?

Huoni kuna elimu hapo imetolewa?

Hufikirii kuwa watu wangeweza kupoteza muda wao mwingi kuishi kizembe kwa ku risk afya yao kwa kutoenda hospitalini wakiamini kuna mchungaji aliyeoteshwa na Mungu anaweza kuwaponya?
 
Yaani nashangaa kwanini unaweka limitation mkuu,
Kwamba ingekuwa gaza ungezingatia hilo? Lakini masheikh waliotuhumiwa kurusha bomu hotel arusha? Je bomu kanisani kule arusha?

Acha kujilimit na hii ni sababu swali lako limekuja chukulia mfano probability haina limitation lolote linaweza kutokea ndani ya sekunde hizo.

Ukitaka toka huko jadili mada.
Elewa kwamba unachozungumzia ni nje kabisa ya mchezo wa mpira, mie sijasema kuwa nina uhakika mechi itaisha salama au haitokatishwa bali mimi nazungumzia ndani ya dk 90 za mchezo wenyewe.
 
Elewa kwamba unachozungumzia ni nje kabisa ya mchezo wa mpira, mie sijasema kuwa nina uhakika mechi itaisha salama au haitokatishwa bali mimi nazungumzia ndani ya dk 90 za mchezo wenyewe.
Usipunguze swali mkuu,
Umesema fikiria kwa mfano. Huwezi kunilimit na mimi nifikirie mfano yaani kwa mantiki hiyo ni suala la probability ya sec30 zilizobaki.

Timu A 5 timu B 1 na sekunde zimebaki 30 mpira uishe. Katika hizo sekunde likapigwa bomu kama kule arusha lilivyorushwa hotelini kipi kigumu kuelewa hapo?
Je una uhakika mechi imeisha?
 
Kwani tukio halitoshi kuwa mchango?

Huoni kuna elimu hapo imetolewa?

Hufikirii kuwa watu wangeweza kupoteza muda wao mwingi kuishi kizembe kwa ku risk afya yao kwa kutoenda hospitalini wakiamini kuna mchungaji aliyeoteshwa na Mungu anaweza kuwaponya?
Mkuu hilo ni tukio tu ambalo hata muumini wa dini anaweza kulifanya, mimi nataka nione atheism mchango wao ni huu katika jamii kama ambavyo tunaona watu wanaishi vyema na wenzao kwa sababu ya imani zao za dini au wanatoa misaada kwa wasiojiweza sababu ni imani ya dini.
 
Ulikuwa unawaombea yanga wasifungwe na ulikuwa unaomba kwa yanga? Hapo unaona kuna logic kwenye hii kauli?
Logic ipo

Ila ukifosi kwa mitazamo yako ya kidini huwezi kuiona

Ila ipo
 
Mkuu hilo ni tukio tu ambalo hata muumini wa dini anaweza kulifanya, mimi nataka nione atheism mchango wao ni huu katika jamii kama ambavyo tunaona watu wanaishi vyema na wenzao kwa sababu ya imani zao za dini au wanatoa misaada kwa wasiojiweza sababu ni imani ya dini.
Kwani tukio sio sehemu ya mchango?

Unadharau elimu iliyotolewa wakati watu walikuwa gizani wakiamini uongo?
 
Thats right! Mpaka whistle inapo blow kuashiria mpira kuisha.

Halafu mkuu achana kujilimit unaonekana haupo open minded.

Suala la mabomu hata kwetu hapa tanzania imetokea mbagala, gmboto nini kinazuia isiweze kutokea?
Mbona sijakataa kuwa mabomu yanaweza kupigwa uwanjani au dharula yeyote kutokea na mechi ikaharibika, ila nachosema hizo ni dharula.
 
Mbona sijakataa kuwa mabomu yanaweza kupigwa uwanjani au dharula yeyote kutokea na mechi ikaharibika, ila nachosema hizo ni dharula.
sasa ulichokuwa unakataa ni nini?

Hutakuwa na hakika timu A yenye 5, na timu B yenye 1 ndani ya sekunde 30 zilizobaki ukajua nani ni mshindi.

ILA utakuwa na probability au imani kubwa Timu A akawa mshindi.
 
Back
Top Bottom