Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Hilo ni tukio tu naposema mchango kwenye jamii nakusudia kitu ambacho ni msaada kwa jamii ambacho ni endelevu, kimewafanya watu kuwa katika hali fulani au kuwa na uelewa fulani. Mfano kwenye jamii wapo watu wanaishi kwa wema na wenzao,wanasaidia wenzao n.k yote kwa sababu ya imani zao za dini.Kwani huo si mchango katika jamii yake?
Wangapi walikuwa wanaibiwa kwa mtindo huo pasina kufahamu?
Ku expose uongo na watu wengi kuujua ukweli huo ni mchango au wewe mchango kwako ni nini?