min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Sawa babuUdhibitisho - ❌️
Uthibitisho - ✅️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa babuUdhibitisho - ❌️
Uthibitisho - ✅️
Dhana ya uwepo wa Mungu mwema, mkamilifu, mwenye huruma na upendo kwenye dunia iliyo jaa uovu, ukatili, uasi na mabaya ya kila aina ni uthibitisho tosha kwamba Mungu huyo anaye daiwa kwamba ni mwema, mwenye upendo na huruma Hayupo.Kanuni hii haiwezi kuapply katika mjadala wa Mungu,kwa sababu Wanaomthibitisha Mungu wanamthibitisha kupitia matukio ama vitu ambavyo tunaviona na kuvikiri.
Hivyo wanaomthibitisha Mungu wao humthibitisha kwa yale mambo yaliyothibiti.
Kwa mantiki hiyo wanaokanusha uwepo Wa Mungu mbele ya wakubaliji uwepo wa Mungu basi hawa wakanushaji nao wanayo dhima ya kuthibitisha kutokuwepo kwake.
Hivyo kanuni hiyo haiwezi kuapply katika mjadala huu.
Ndio maana yule bwana mkubwa
Stephen Hawking's
Aliandika kitabu chake akakiita
There's 'No Possibility' of God in Our Universe.
Humo kaweka uthibitisho (kwa mjjibubwa yeye) wa kuthibitisha kwamba hakuna Mungu.
Hivyo hata wanaopinga Mungu hayupo nao wanatakiwa wathibitishe kwa hoja mbalimbali kama alivyofanya bwana stephen.
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.Unaweza kuthibitisha uwepo wa electron? Hivi unajua kwamba umeme hakuna mtu amewahi kuuona? Unachoona ni effects za uwepo wa umeme. Ukiweka taa utaona mwanga na kusema umeme upo japo hauuoni.
Haya ni mawazo yako na imani ya kufikirika tu.Basi hata Mungu tunamuona kupitia matendo yake makuu hasa katika uumbaji wa ulimwengu na vyote vilivyo ndani yake.
Kwahiyo kutokuwa na uhakika wa jambo ndio kuamini au wewe hauna uhakika na unachokiamini? Kwa sababu navyojua mimi hata kwa jambo ambalo utaona una uhakika bado ipo chance ya kutokea tofauti.Eeeh naamini tutamfunga Wydad maana yake sina uhakika ndio maana naamini
Wydad namjua tumecheza naye mechi tatu kashinda 2 nimeshinda moja.
Mechi ya mwisho alipigiwa mpira mwingi na bao alipata kizari tu na ndio maana wametimua kocha
Kwasababu mpira ni namba basi matumaini yangu ya kumfunga Wydad nayaona ila ipo nafasi pia ya matokeo kuja tofauti.
Sasa Mungu sababu ya kuamini kwanza nitakuuliza katika maelfu ya Miungu, Mungu gani unayetaka mimi nimuamini?
Na kwanini wewe huamini Miungu hiyo mingine?
Unajadili upendo na wema wa Mungu au kuwepo kwa huyo Mungu? Kwani ili Mungu awepo lazima awe mwema na mwenye upendo?Dhana ya uwepo wa Mungu mwema, mkamilifu, mwenye huruma na upendo kwenye dunia iliyo jaa uovu, ukatili, uasi na mabaya ya kila aina ni uthibitisho tosha kwamba Mungu huyo anaye daiwa kwamba ni mwema, mwenye upendo na huruma Hayupo.
Kama Mungu huyo yupo Basi ni mkatili na Muovu sana.
Aminia kuu la ma pirate ❤️Sawa babu
Unalikimbia swali, ngoja nikuulize hivi, kwanini ulimwengu una ulandano (uniformity)?Unajua unakosea hadi kuuliza swali
Nani kaweka ndani ya mwanadamu ndio swali gani?
Nini kinachokufanya ufikiri morality inapaswa kuwekwa na hicho kitu ukichokipa identity ya "nani"?
Penye uhakika, hakuna imaniKwahiyo kutokuwa na uhakika wa jambo ndio kuamini au wewe hauna uhakika na unachokiamini? Kwa sababu navyojua mimi hata kwa jambo ambalo utaona una uhakika bado ipo chance ya kutokea tofauti.
Sijasema Mungu nimesema muumbaji.
Uovu unaouona uliingia duniani baada ya mwanadamu kuasi maagizo ya Mungu.Dhana ya uwepo wa Mungu mwema, mkamilifu, mwenye huruma na upendo kwenye dunia iliyo jaa uovu, ukatili, uasi na mabaya ya kila aina ni uthibitisho tosha kwamba Mungu huyo anaye daiwa kwamba ni mwema, mwenye upendo na huruma Hayupo.
Kama Mungu huyo yupo Basi ni mkatili na Muovu sana.
Naelewa sababu ya kuyaita maelezo yangu "maelezo ya bure" "ngojera"Hapa umeleta ubishi na maelezo mengi ya bure....ujumbe wako ulikuwa moja kwa moja...haya maelezo ni ngonjera tu
Moyo wako unapodunda na kusukuma damu ni uthibitisho wa uwepo wa Mungu. Mpaka leo wanasayansi hawajui ni kitu gani kinasababisha heartbeats.Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.
Hizo electrons unaweza kuthibitisha zipo kwa kuzihisi pindi umeme unapo safiri, ndio maana unahisi shoti ukiguswa na umeme.
Hapo electron zinatambulika zipo.
Mungu hayupo kwa namna yoyote ile haonekani, Hashikiki, Haisiki wala Hasikiki.
Mungu huyo ni mawazo ya kufikirika tu, Imaginations just an illusion.
Imani nyingi na dini nyingi humtafsiri na ku uelezea uwepo wa Mungu huyo kama mwema na mwenye Upendo.Unajadili upendo na wema wa Mungu au kuwepo kwa huyo Mungu?
Hakuna ulazima wa Mungu kuwepo.Kwani ili Mungu awepo lazima awe mwema na mwenye upendo?
We ambaye sio mbishi tueleze kwanini unaamini miungu ya kirumiUsiwe mbishi...huyo anayemwomba dua ndo Mungu wake....tayari anaamini kuna kitu chenye uwezo wa kuombwa na kikatoa majibu..
Ulandano ndio nini? ebu fafanuaUnalikimbia swali, ngoja nikuulize hivi, kwanini ulimwengu una ulandano (uniformity)?
Umejuaje moyo kudunda na kusukuma damu ni Mungu hufanya hivyo?Moyo wako unapodunda na kusukuma damu ni uthibitisho wa uwepo wa Mungu. Mpaka leo wanasayansi hawajui ni kitu gani kinasababisha heartbeats.
Unathibitisha vipi kwamba hewa ninayo vuta ni ya Mungu?Kwahiyo uwepo wa Mungu upo kila mahali hata hewa unayovuta ni uthibitisho wa uwepo wake.
Unaposema angalia uumbaji, niangalie wapi?Ulimwengu una uniformity, angalia uumbaji wa species mbalimbali za wanyama na mimea. Gravitational force ipo consistent ulimwenguni.. nk