Utoto unakusumbua wewe .Mtumwa una tabu sana , kwani nn hujiamni ? kwani wewe ni jinsia gani ? Fadhila zipi mmeleta na hao wamekimbia makwao sio pasingejengeka .. Huko nje kwenyewe mmechoka , mnaishi sukuma siku .
ShukraniPole sana…sio waafrika wote wana roho hiyo….Tanzania kuna kitu hakipo sawa. Pole sana mkuu.
Anyway, application bado iko open ya mwaka 2027, imeanza April 2026 hadi May 2026 kutegemea na program unayotaka kusoma.
Pitia hiyo link chini, documents zote tumia hyo address unayoona hapo, na kuepuka usumbufu tumia shirika la posta kupitia huduma yao ya express, ni nafuu ndani ya nchi, wataipeleka na track namba utapewa kufuatilia imefika wap na hii inakuepusha kukutaka na waswahili getini.
Safi kwa kusharePole sana…sio waafrika wote wana roho hiyo….Tanzania kuna kitu hakipo sawa. Pole sana mkuu.
Anyway, application bado iko open ya mwaka 2027, imeanza April 2026 hadi May 2026 kutegemea na program unayotaka kusoma.
Pitia hiyo link chini, documents zote tumia hyo address unayoona hapo, na kuepuka usumbufu tumia shirika la posta kupitia huduma yao ya express, ni nafuu ndani ya nchi, wataipeleka na track namba utapewa kufuatilia imefika wap na hii inakuepusha kukutaka na waswahili getini.
Tunaongelea soko la Tanzania sio duniaUongo , hakuna hizo bunifu ..Mnazofanya haziuziki soko la dunia.
Hahahahhaa , baki nyumbani mzalendoHahaha bongo jau kidogo, mtu akipata upenyo apotee tu
Ona comment ya mwenzio hapo juu , mnataka kupotea bongo si muondokeke ..Chukua na wazazi wako kabisa .Utoto unakusumbua wewe .
Unaelewa maghorofa ni nini? Maghorofa sio mapambo. Maghorofa ni uchumi, sign that money is flowingMimi ni mzalendo sio mshamba wa kwenda kushangaa maghorofa na kukua tu nchi za watu.
Uzalendo uliisha siku niliyo sema siendi jeshini kama kina babuHahahahhaa , baki nyumbani mzalendo
Viongozi wake wana mpaka uraia pacha , watoto wao wanasoma nnje matibabu nnje huyo pangu pa kavu tia mchuzi anaongea kitu ganTunaongelea soko la Tanzania sio dunia
Kwani wewe si umeongelea suala la watu wa scholarship kuleta bunifu nyumbani?
Serious unasema haziuziki na nchi yako haijazipa chance kuziingiza sokoni?
Ndio maana nasema bora tu watu wakasome nje na kazi wapate hukohuko nje
Soko la Tanzania lipi tena ? yale magari yenu ya mabati , halafu bongo kuna magari ya nje ..Acha utani weweTunaongelea soko la Tanzania sio dunia
Kwani wewe si umeongelea suala la watu wa scholarship kuleta bunifu nyumbani?
Serious unasema haziuziki na nchi yako haijazipa chance kuziingiza sokoni?
Ndio maana nasema bora tu watu wakasome nje na kazi wapate hukohuko nje
Nenda kashangae maghorofa , hapo kariakoo omba omba wa kutosha ..Rudi ukalime , akili za kibongo bhana .Unaelewa maghorofa ni nini? Maghorofa sio mapambo. Maghorofa ni uchumi, sign that money is flowing
Kuna watu wanapenda kukaa sehemu ambazo ziko vizuri kiuchumi, na haimaanishi sio wazalendo kwa nchi zao
Uzalendo hauhusiki hapa
Kumbe hujui chochote kuhusu project za wanafunzi vyuoni? Basi ndio maana uko ignorant and loud afSoko la Tanzania lipi tena ? yale magari yenu ya mabati , halafu bongo kuna magari ya nje ..Acha utani wewe
Wewe utakua ni lile kabila la wacheza baikoko hakuna msambaa ndezi hiviOna comment ya mwenzio hapo juu , mnataka kupotea bongo si muondokeke ..Chukua na wazazi wako kabisa .
Wewe unadhani kwa nini Kariakoo imejaa maghorofa?. Unajua hela inayozunguka hapo Kariakoo?Nenda kashangae maghorofa , hapo kariakoo omba omba wa kutosha ..Rudi ukalime , akili za kibongo bhana .
Projects zipi? Dogo acha utani ..Nioneshe hizo projects ,ha utani wako . Hmna projects ya kuuzika kwa sababu bongo watu wanaimport sana .Kumbe hujui chochote kuhusu project za wanafunzi vyuoni? Basi ndio maana uko ignorant and loud af
Wewe mtumwa , ni wale walioza meno kwa kunywa maji machafu .Wewe utakua ni lile kabila la wacheza baikoko hakuna msambaa ndezi hivi
Huyu anajidanganya tu. Wapo mafisadi wengi wamebaki Bongo lakini sio wazalendoViongozi wake wana mpaka uraia pacha , watoto wao wanasoma nnje matibabu nnje huyo pangu pa kavu tia mchuzi anaongea kitu gani
Pesa tunazotuma kwa ndugu na jamaa haziwasaidii wao peke yao bali hata nchi inaneemeka kwa hizo fedha za kigeni ambazo inazihitaji mno.Miyeyusho mno , mtu anakuambia kubaki bongo tu ni uzalendo
Taja ubunifu uliokuwa unautaka wewe hao wanafunzi wanaosoma nje ya nchi waulete nyumbaniProjects zipi? Dogo acha utani ..Nioneshe hizo projects ,ha utani wako . Hmna projects ya kuuzika kwa sababu bongo watu wanaimport sana .
Acha utani wewe , tena acha ushamba.
Narudia tena , tembea duniani uone wasambaa wenzako wa mkoa mmoja wanavyosaka maisha na popote wapo , watu wenye asili ya kiarabu hapo Tanga , wanaofuatia kwa maendeleo ni wasambaa kwa sababu ya kuwa wanyumbulifu kuzikimbilia fursa popote, hao wengine hapo Tanga wengi wao hakuna kitu kwa sababu ya kujifungia ndani tu na kusubiria vigoma vya mdumange na baikokoWewe mtumwa , ni wale walioza meno kwa kunywa maji machafu .