Haah , si utaje hizo projeccts . Nataka nikuifundishe kitu, hata uende hizo za ada mamilion na Tech hawana kipya .Taja ubunifu uliokuwa unautaka wewe hao wanafunzi wanaosoma nje ya nchi waulete nyumbani
Maana hapa ndio unazidi kuprove kuwa Tanzania haina uhitaji wa huo ubunifu coz ni useles kwa nchi ambayo haijali chochote
kwa hiyo wale wanaoishi lushoto ni matako yako ? Wasambaa wa Tanga mjini , Muheza , korogwe ni matako yako ?Narudia tena , tembea duniani uone wasambaa wenzako wa mkoa mmoja wanavyosaka maisha na popote wapo , watu wenye asili ya kiarabu hapo Tanga , wanaofuatia kwa maendeleo ni wasambaa kwa sababu ya kuwa wanyumbulifu kuzikimbilia fursa popote, hao wengine hapo Tanga wengi wao hakuna kitu kwa sababu ya kujifungia ndani tu na kusubiria vigoma vya mdumange na baikoko
Umesoma nilicho kiandika vizuri ,? Au una tetemeka? , hakuna msambaa mwenye akili mbovu kama ya kwako , wasambaa wanapambana na popote wanafika , ndio maana kwa makabila ya Tanga wasambaa wana maendeleo zaidi kuliko hao ambao hata kutoka ni shinda wao ni kucheza baikoko tukwa hiyo wale wanaoishi lushoto ni matako yako ? Wasambaa wa Tanga mjini , Muheza , korogwe ni matako yako ?
Kijana kama haujaona fursa nenda huko utumwani , pakitokea tatizo msipige kelele.. umakariri upambanaji ni kukimbi kwenu.
Project zipo nyingi sana naweza kukuonesha and yes sikutajii kwa sababu najua unachotaka kufanyaHaah , si utaje hizo projeccts . Nataka nikuifundishe kitu, hata uende hizo za ada mamilion na Tech hawana kipya .
Projects hizi hautaji ,😛😀
Sasa yeye kukuambia hawaruhusu kuvaa singland , kumesababisha vipi kutusua Tanzania iwe vigumu?Watu weusi sisi tuna roho mbaya sanaa, sisi kwa sisi tunauana huko south africa, wenyeji hawataki wageni na kiasili ni wenzao
Natoka zangu south mwaka jana mwezi wa 8 mwishoni natumia hii njia ya zimbambwe, uwezi amini boda zote nimepita kwa amani tu ila nafika hapo tanzania
Migration anaanza kuniwekea uzito nikajiuliza uzito si ningeekewa zimbwabwe, zambia au boda ya south Africa yenyewe
Uzuri yulee migration alikuwa nimeshavurugwa zangu nawaza tu kufika nyumbani niwakumbatie wazazi wangu tu na tule wote matunda niliyoyachumba kiwanja
Dk ya mwisho kaona aniwezi hata ki majadiliano akanambia unakujaje hapa umevaa singland nikamwambia joto nijazoea huko nilipotoka ni baridi sanaa, akanambia siwezi kukugongea stump mpaka uvae nguo nzuri.. nikasikitika zangu
Nikapiga hatua moja kuna jamaa alivaa kot kubwa nikamuomba akanipa, nikarudi mda ule ule na ni pale pale tu akanigongea, nikabua kot pale pale nikampa mwenyewe alioniazima
Kutusua tanzania ni vigumu sanaa tuna roho mbaya sanaa sisi watu weusi
😂 😂😂kwamba hakuna haja ya kwenda Japan, na elimu ya hapa inatosha
Ni utoto unamsumbua tuProject zipo nyingi sana naweza kukuonesha and yes sikutajii kwa sababu najua unachotaka kufanya
Unalialia mkimbizi , wakipewa bandari wawekezaji mnaanza kulia ..Kichwa chenyewe ndio hico , sasa nioneshe nyumba yako huko ughaibuni zaidi ya kupanga na kukua tu .Umesoma nilicho kiandika vizuri ,? Au una tetemeka? , hakuna msambaa mwenye akili mbovu kama ya kwako , wasambaa wanapambana na popote wanafika , ndio maana kwa makabila ya Tanga wasambaa wana maendeleo zaidi kuliko hao ambao hata kutoka ni shinda wao ni kucheza baikoko tu
Onesha kijana , usiwe na hofuProject zipo nyingi sana naweza kukuonesha and yes sikutajii kwa sababu najua unachotaka kufanya
Ile MSD tu dawa wanaagiza , nakupa hili tu ila wasomi wa medcine wapo , kuna NIMR na taasisi nyingi za pharmacy kiko wapi ?Project zipo nyingi sana naweza kukuonesha and yes sikutajii kwa sababu najua unachotaka kufanya
Adui wa mtu, hutoka nyumbani mwake.Jana Jumanne bhana nikaamka na dhamira moja—kutafuta ukweli kuhusu ufadhili wa MEXT wa Japan. Nilikuwa na ndoto ya kuwasaidia vijana wangu wanne kufungua milango ya elimu ya kimataifa. Safari yangu iliniongoza hadi barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam, nikiwa na matumaini makubwa, ni huku ndipo yalipo makazi ya Balozi wa Japani nchini Tanzania.
View attachment 3581073
Nilipofika getini, nilipokelewa kwa upole na mlinzi aliyekuwa tayari kunisaidia. Lakini hali ilibadilika ghafla ndani ya dakika kama tano baada ya kamama kamoja kuibuka na kumkemea mlinzi kwa ukali. Nilipoingia ndani, badala ya kupata mwongozo, nilikutana na maneno yaliyovunja moyo—kwamba hakuna haja ya kwenda Japan, na elimu ya hapa inatosha. Zaidi ya hayo, niliambiwa deadline tayari imepita. Kwamba deadline ni mwezi Machi wakati tangazo limetoka Aprili, MAAJABU HAYA.
View attachment 3581075
Nilitoka nje nikiwa na maswali mengi kuliko majibu. Je, taarifa hizi ni sahihi au ni kizingiti kisichoonekana kwa vijana wenye ndoto? Nje, nilikutana na kijana Mjapani aliyeshangaa kwa nini Waafrika wachache huomba ufadhili huo. Nilimjibu kwa huzuni—KWA AFRIKA, WATU NI CONNECTIONNA CONNECTION NI WATU.
View attachment 3581073
Nilitoka mule ndani nimechukia ile mbaya, Waafrika tunapeana wakati mgumu wenyewe, hapo hela za Ufadhili sio zao ila unakuwa kipele hivyo, je ukiweka jero kwenye hizo pesa itakuwaje?
Nyumba? Swali gani hili una uliza ? Wewe ni msambaa wa wapi ?Unalialia mkimbizi , wakipewa bandari wawekezaji mnaanza kulia ..Kichwa chenyewe ndio hico , sasa nioneshe nyumba yako huko ughaibuni zaidi ya kupanga na kukua tu .
Msambaa wa Tanga , wewe nionese nyumba yako huko ughaibuni zaidi ya kukua tu na kupanga ..Umri huo bado mpumbavu unashangaa maghorofa , pesa ukipata ni kulipia bili .Nyumba? Swali gani hili una uliza ? Wewe ni msambaa wa wapi ?
Kwa hiyo kuzikwa Ughaibuni ni hadhi. Na bado uko busy unaita watu watumwaMsambaa wa Tanga , wewe nionese nyumba yako huko ughaibuni zaidi ya kukua tu na kupanga ..Umri huo bado mpumbavu unashangaa maghorofa , pesa ukipata ni kulipia bili .
Hao maghorofa wamejnga wenye nchi n, wewe hauna hadhi ya kuzikwa huko .
Dogo jibu swali hapo . nioneshe hizo projects ..Nimekupa mfano hapa bongo madawa 80% yanatoka nje.Kwa hiyo kuzikwa Ulaya ni hadhi. Na bado uko busy unaita watu watumwa
Nimeshakuambia sikutajiiDogo jibu swali hapo . nioneshe hizo projects ..Nimekupa mfanyo hapa bongo madawa 80% yanatoka nje.
Hakuna msambaa mjinga mjinga kama wewe , unataka uone nyumba ili iweje ?Msambaa wa Tanga , wewe nionese nyumba yako huko ughaibuni zaidi ya kukua tu na kupanga ..Umri huo bado mpumbavu unashangaa maghorofa , pesa ukipata ni kulipia bili .
Hao maghorofa wamejnga wenye nchi n, wewe hauna hadhi ya kuzikwa huko .
Soma vizuri hiyo mzee.. uelewe wewe umesoma kwenye singland tu hapo, utafeli wewe swali umeambiwa usijibu wewe unajibu.. utapata hamnaSasa yeye kukuambia hawaruhusu kuvaa singland , kumesababisha vipi kutusua Tanzania iwe vigumu?
Mbona kama huo ni utaratibu wa mahali husuka tu