The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Hata vyuo vya hapa Tanzania watu wanafanya bunifu nyingi sana lakini hazifiki popote
Nchi yenyewe inaonekana haijaweka kipaumbele kwenye ubunifu so ni ngumu watu binafsi kufanikiwa wenyewe
Acha watu wakasome nje kujijenga, ikiwezekana wakafanyie kazi nchi zinazojitambua waishi maisha mazuri
Sasa wewe utoke yeye abaki kidimbwi anakula vumbi tu😅Huko Embassy kuba wabongo wana roho mbaya sana! Acha tu mkuu!
Aende arabuni mama kafungua fursa huko😅Kuna dogo mmoja ana division 1 ya point 4 amekataa kuomba! Anataka kwenda kusoma Mwenge University! Sijamvunja moyo ila nimeshangaa sana
Jmn sa kijapan nakuwa nimekijulia wqpi tena??Kuna mmoja ni Lecturer hapo UDSM yeys anasema mitihani yao ni migumu sana na utatakiwa kufanya mitihani miwili, mtihani wa lugha ya Kijapani na Lugha ya Kiingereza
HongeraMungu ni mwema leo nimefanikiwa kutuma applications mbili bhana! Ila Posta wanadai iuwa njia hii ya kutuma kwa EMS ndio bora zaidi maana mchakato wake watu weusi hawatahusika kabsa
Kama haina uhusiano ulijibu ili iweje?Ina uhusiano gani na mada?
Sikumbuki nikikujibu swali lako linalouliza umri wangu, coz it's so irrelevantKama haina uhusiano ulijibu ili iweje?
Unapoteza mda wako tuSikumbuki nikikujibu swali lako linalouliza umri wangu, coz it's so irrelevant
Kweli kabisa, napoteza muda kubishana na watu wenye low IQUnapoteza mda wako tu
Moonshiner vip tenaaa 😂😂Aende arabuni mama kafungua fursa huko😅
Hapa sasa ndio unaanza kueleweka… ila ndio maana sijaelezea hapo ndio maana nikasema baada ya mahojiano mengi, wakashindwa na hoja na hawajanikuta na kithibit chochote kama akili zao mbaya zilivyokuwa zinawaza.. ndio wakajifanya kwann? Nimevaa zinglandWalikuwekea kauzibe gani?
Unatuharibia uziNaona unaniwinda ila utasanda , maana hauna hoja .. Hizo scholarship watu wameanza kwenda tangu wewe unafuta kamasi na ngumi . kuna maajabu gani?
Mimi naeleweka vizuri tu , ila wewe uandishi wako hauelewekiHapa sasa ndio unaanza kueleweka… ila ndio maana sijaelezea hapo ndio maana nikasema baada ya mahojiano mengi, wakashindwa na hoja na hawajanikuta na kithibit chochote kama akili zao mbaya zilivyokuwa zinawaza.. ndio wakajifanya kwann? Nimevaa zingland
Mama yenu kawafungulia fursa arabuniMoonshiner vip tenaaa 😂😂