Scopolamine Burundanga ni nini?

Scopolamine Burundanga ni nini?

Mshana Jr mbona tukiwa wadogo tulikuwa tunachuma Maua yake na kuyapuliza iliyapasuke kama Bomu?
Yanaotaga sana maeneo ya mito hasa vijijini.
Kikwetu tunayaita "mapacha soka"...yaani..."yanachimba mto"
Sasa hebu tuambie ni sehemu gani ya huu mmea hutumiwa na wataalamu?
 
Jinsi ya kuutumia sasa angefunguka mi hata sitongozi
hahaa..kumbe tupo wengi ""....kama sijakosea kuna comment niliiona....anasema unayakausha majani yake "" kisha yakishakauka una yatwanga....nadhani kifuatacho ITV nikumnusisha muhusika tu
 
[QUOT
[emoji15] [emoji15] [emoji15] wasiliana na Patandi akupatie maua yaliyokomaa na kukauka kayasage upate unga......
mbn hayo maua unga wake ni dawa pumu?
asthma?
E="joely sandu, post: 27207282, member: 465601"]Mkuu unao uwo mmea[/QUO
 
Mshana Jr mbona tukiwa wadogo tulikuwa tunachuma Maua yake na kuyapuliza iliyapasuke kama Bomu?
Yanaotaga sana maeneo ya mito hasa vijijini.
Kikwetu tunayaita "mapacha soka"...yaani..."yanachimba mto"
Sasa hebu tuambie ni sehemu gani ya huu mmea hutumiwa na wataalamu?
Yakikomaa na kukauka kuna vitu wanachanganya na kupata hiyo sumu
 
[QUOT

mbn hayo maua unga wake ni dawa pumu?
asthma?
E="joely sandu, post: 27207282, member: 465601"]Mkuu unao uwo mmea[/QUO
Inawezekana kabisa kwakuwa dawa yake pia inatumika kutimu magonjwa mbalimbali... Ni kama moto inategemea unautumiaje
 
Ndio mpaka yachanganywe na vingine
Kwa hiyo yule alisema ataenda kukausha maua na kusaga atajipatia vumbi tu?

downloadfile-2-jpg.783254
+
scopolamine = ??????
 
Hapana uache.. Unapendezesha mazingira... Niliwahi kufika Patandi chuo cha ualimu mwaka 1991, zile garden zake zilikuwa next level.. Hayo nayo yalikuwepo View attachment 783272
Mshana jr ina maana maua ya huu mti ndio yanatengeneza hiyo dawa

Maana haya maua yapo kama mhogo ukikata tawi lake ukiotesha linaota, msimu wa kuchanua nyuki uyapenda sana na kama ulivyosema miji yenye baridi ndio upatikana sana

Nimecheza nayo sana haya maua enzi nipo nakula bure na kulala bure nilipokuwepo yalitumika haya maua kutengeneza fensi kwaiyo mda wa kuyapunguza ukifika inabidi uyakate matawi yake kisha uyanike ukiyaacha chini tu yakashika udongo yakapata maji au ule unyevu nyevu basi yanaota

Kwaiyo nimeshangaa sana kuambiwa ni tiba muhimu sana

Ngoja nianzishe shamba nipande yenyewe tu kisha nitafute soko lake, uzuri yanakuwa fasta balaa

Mambo ya fursa najua siwezi kukosa soko india au kenya au kwa mzee mengi si ananzisha kiwanda cha dawa maligafi atatoa wapi sasa haaa haaaa fursa hii mshana jr.
 
Ukiingia mtandaoni habari zake zi tele
 
The most dangerous drug in the world: 'Devil's Breath' chemical from Colombia can block free will, wipe memory and even kill
  • Scopolamine often blown into faces of victims or added to drinks
  • Within minutes, victims are like 'zombies' - coherent, but with no free will
  • Some victims report emptying bank accounts to robbers or helping them pillage own house
  • Drug is made from borrachero tree, which is common in Colombia
 
Back
Top Bottom