wilbald
JF-Expert Member
- Dec 17, 2007
- 1,810
- 1,377
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jinsi ya kuutumia sasa angefunguka mi hata sitongoziMkuu mshana .huu Uzi nilichlewa kuuona "" asante sana...kuanzia leo papuchi nakula bure
hahaa..kumbe tupo wengi ""....kama sijakosea kuna comment niliiona....anasema unayakausha majani yake "" kisha yakishakauka una yatwanga....nadhani kifuatacho ITV nikumnusisha muhusika tuJinsi ya kuutumia sasa angefunguka mi hata sitongozi
Yakikomaa na kukauka kuna vitu wanachanganya na kupata hiyo sumuMshana Jr mbona tukiwa wadogo tulikuwa tunachuma Maua yake na kuyapuliza iliyapasuke kama Bomu?
Yanaotaga sana maeneo ya mito hasa vijijini.
Kikwetu tunayaita "mapacha soka"...yaani..."yanachimba mto"
Sasa hebu tuambie ni sehemu gani ya huu mmea hutumiwa na wataalamu?
Mkuu mshana .huu Uzi nilichlewa kuuona "" asante sana...kuanzia leo papuchi nakula bure
Jinsi ya kuutumia sasa angefunguka mi hata sitongozi
Zifahamuni dhambi ila msizitendehahaa..kumbe tupo wengi ""....kama sijakosea kuna comment niliiona....anasema unayakausha majani yake "" kisha yakishakauka una yatwanga....nadhani kifuatacho ITV nikumnusisha muhusika tu
Inawezekana kabisa kwakuwa dawa yake pia inatumika kutimu magonjwa mbalimbali... Ni kama moto inategemea unautumiaje[QUOT
mbn hayo maua unga wake ni dawa pumu?
asthma?
E="joely sandu, post: 27207282, member: 465601"]Mkuu unao uwo mmea[/QUO
Lakini si umesema yakifanyiwa kolabo?Maua katika stage hiyo hayana shida
Unatumiaje mkuu, nina mgonjwa hapa tafadhali.[QUOT
mbn hayo maua unga wake ni dawa pumu?
asthma?
E="joely sandu, post: 27207282, member: 465601"]Mkuu unao uwo mmea[/QUO
Kwa hiyo yule alisema ataenda kukausha maua na kusaga atajipatia vumbi tu?Ndio mpaka yachanganywe na vingine
Mshana jr ina maana maua ya huu mti ndio yanatengeneza hiyo dawaHapana uache.. Unapendezesha mazingira... Niliwahi kufika Patandi chuo cha ualimu mwaka 1991, zile garden zake zilikuwa next level.. Hayo nayo yalikuwepo View attachment 783272
Ukiingia mtandaoni habari zake zi teleMshana jr ina maana maua ya huu mti ndio yanatengeneza hiyo dawa
Maana haya maua yapo kama mhogo ukikata tawi lake ukiotesha linaota, msimu wa kuchanua nyuki uyapenda sana na kama ulivyosema miji yenye baridi ndio upatikana sana
Nimecheza nayo sana haya maua enzi nipo nakula bure na kulala bure nilipokuwepo yalitumika haya maua kutengeneza fensi kwaiyo mda wa kuyapunguza ukifika inabidi uyakate matawi yake kisha uyanike ukiyaacha chini tu yakashika udongo yakapata maji au ule unyevu nyevu basi yanaota
Kwaiyo nimeshangaa sana kuambiwa ni tiba muhimu sana
Ngoja nianzishe shamba nipande yenyewe tu kisha nitafute soko lake, uzuri yanakuwa fasta balaa
Mambo ya fursa najua siwezi kukosa soko india au kenya au kwa mzee mengi si ananzisha kiwanda cha dawa maligafi atatoa wapi sasa haaa haaaa fursa hii mshana jr.
Nataka nifanye majalibio Mimi mwenyew nikiwa nimejifungi ndanii[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] unataka ukatumie wapi?
Hapana uache.. Unapendezesha mazingira... Niliwahi kufika Patandi chuo cha ualimu mwaka 1991, zile garden zake zilikuwa next level.. Hayo nayo yalikuwepo View attachment 783272