π hapa nacheka kwa lile cheko lake, sikuhizi simsikii kabisaHivi Young D yukwapi ππ
Haahahaaaaaa cheko la bila emoj π€£π hapa nacheka kwa lile cheko lake, sikuhizi simsikii kabisa
Ana nyimbo yake moja ya zamani inaitwa "furaha" hyo nyimbo huwa naikubali mno
Yupo ulaya anakula maisha tuπHivi Young D yukwapi ππ
π Sijui maana yake, ni nini
Kalikuwa kadogo dogo kadhuriiii na nyimbo zake π€£π€£π€£Ana nyimbo yake moja ya zamani inaitwa "furaha" hyo nyimbo huwa naikubali mno
kipindi bado hajawa pakarapaπKalikuwa kadogo dogo kadhuriiii na nyimbo zake π€£π€£π€£
umenikuta na furaha sina wasi, usinighasi ukaniacha na karaha..
Nilikuwa namkubali sanakipindi bado hajawa pakarapaπ