Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mungu hana ithibati ya kisayansi unayotaka wewe, unataka umuone kwa macho, unataka umguse au umhisi kwa milango yako ya fahamu, hilo haliwezekani bila imani.Hujathibitisha Mungu yupo.
Unaleta longolongo tu hapa.
Kwa imani yako ni sawa, but for me MUNGU yupo.Ndiyo, kwa sababu hakuna cha mjomba mungu wala mungu baba.
We all we got.
Wapi nimesema nataka kumuona kwa macho?Mungu hana ithibati ya kisayansi unayotaka wewe, unataka umuone kwa macho, unataka umguse au umhisi kwa milango yako ya fahamu, hilo haliwezekani bila imani.
Kitu kuwepo au kutokuwepo si suala la imani.Kwa imani yako ni sawa, but for me MUNGU yupo.
Kuna kifo cha maji , unakunywa maji na hakuna kitu unafanya unasubiri uvimbiwe ufeWanasema kifo ni kifo lakini nadhani hiki ni kifo kibaya zaidi..ambapo kifo unakiona na hauna chochote cha kufanya
Hata kwa binti yangu mdogo Santa yupo 🤣.Kwa imani yako ni sawa, but for me MUNGU yupo.
Kwa hiyo unataka kila gorofa kuajiriwe kikosi cha kuokoa au? Nyumba ikijengwa haitakiwi kuanguka suala ni kuziba mianya ya kipuuzi kujenga holela na vibali kununuliwa huko ndio kuna shida. Kuna magorofa yalijengwa enzi hakuna rushwa mpaka leo yapo imara.Its painful 😣
Hiv kam jengo moja ndio limeanguk tena ndan ya jiji kubwa na karbu krbu na fire (waokozi) lakn zoez la ukoaji watu halijakamilika itakuwaje siku magorofa 5/20 yakiangukia watu huko mikoa ya pembezon 😐😐
Kabisa huyu ndio chanzo cha matatizo ya kutengeneza miungu watu! UntouchableVifo vingi nchini ni uzembe wa siasa na mfumó wa uongozi Tanzania. Wakulaumiwa ni Nyerere (mnayemuita baba wa Taifa) alieruhusu janga hili ccm iendelee kwenye mfumo wa vyama vingi. Ilitakiwa ccm ife ipotee kwa sababu ni chama dola kilichokuea na matawi mpaka jeshini[ yaani majeshi yote na watu wote walikuwa ccm],
katiba mpya ingeanzishwe na vyama mbadala kukiwa na masharti laini kwa wanachama.
Sio eti viongozi wote lazima wawe ccm. Najua wachache sn watanielewa, machawa wata-dislike
SawaHata kwa binti yangu mdogo Santa yupo 🤣.
Hakuna kifo kilicho fumbo.Kifo ni fumbo
Sasa wanne wote, hakuna aliyejulikana!?Inasemekana lile jengo lina wamiliki zaidi ya wanne...
Hata huyo MUNGU hayupo kusaidia chochote.Hatuko salama MUNGU tu.
Mkuu napokwambia mambo ya imani hayana ithibati ya kisayansi namaanisha si rahisi ama lah hayawezi kabisa kuthibitishwa moja kwa moja.Kitu kuwepo au kutokuwepo si suala la imani.
Ni suala la uhalisia.
Ukiamini kuwa wewe ni Elon Musk tajiri wa kwanza wa dunia hii, wakati wewe si Elon Musk, imani hiyo haikufanyi uwe Elon Musk tajiri wa kwanza wa dunia hii.
Unaelewa hilo?
Hilo ghorofa ni la nani kwani?Mungu wangu😭😭😭😭
Sio mpaka useme ila ndivyo sayansi inavyotaka, au labda wewe unataka uthibitishe vipi nje ya hivyo ndgu??Wapi nimesema nataka kumuona kwa macho?
Wapi nimesema nataka nimguse?
Wapi nimesema nataka nimhisi?
Unajua kusoma kwa ufahamu wewe?
Hujanijibu swali langu.Mkuu napokwambia mambo ya imani hayana ithibati ya kisayansi namaanisha si rahisi ama lah hayawezi kabisa kuthibitishwa moja kwa moja.
Binafsi naelewa unachomaanisha na kukiongelea humu jf mara nyingi ila sikubaliani na wewe kwa mambo mengi.
Hii yote inatokana na watanzania wengi kupenda kuishi kwa ujanja ujanja.Lazima, lazima ahukumiwe, kwani akiachwa hivi hivi ni kosa kubwa sana, sbb habari zilizoko Kkoo na mitaani ni kuwa alianza ujenzi ambao ni hatari sana kwa kufukua msingi wa ghorofa akitaka kuongeza underground floors ili apate vyumba vingine apate fedha zaidi na ikumbukwe, huwezi fanya ujenzi wa hivyo, ni hatari sana na hakuna kibali cha ujenzi wa aina hiyo, so alifanya ujenzi kiuhuni, kizembe na kusababisha janga kubwa na baya sana kwa Taifa letu, na janga kama hili lingeweza epukika, ni uhuni na upuuzi mkubwa kafanya, kaua watu na huzuni kubwa kwa watanzania wote, hivyo lazima sheria ichukue mkondo wake ili wengine wasidhubutu kamwe kufanya ujenzi wa aina hiyo..!!
Maafa hayana mbabe, sina wa kumtetea wala kumkingia kifua ila majanga ya namna hii hata nchi zilizoendelea zinasanda tu mkuu.Kwa akili km zako lzm waafrika tutawaliwe Tena , badala ya kuhimiza maboresho kwenye taasisi husika , ww ndo kwanza unawapa hamasa kuwa hakuna namn ya hv walivyoperfom kwenye hili jengo