Seba aliyeandika meseji kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho kwenye ghorofa ya Kariakoo lililoanguka, akutwa amefariki

Natoa salamu za pole kwa familia, ndugu, jamaa na watanzania wote kwa ujumla kwa kupoteza nguvu kazi hii katika tukio ambalo ni baya kabisa katika nchi yetu. Napendekeza hatua stahiki zichukuliwe ili kuepuka kujirudia kwa ajali kama hii ambayo mpaka sasa inonyesha ni uzembe wa watu kadhaa.
Vipaumbele vya Taifa letu bado ni vile vile, tusitoke kwenye mstari,
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
 
Utakuwa una matatizo makubwa sana kwenye akili zako.
Ona sasa akili zako na wewe, kwahiyo Yesu kashindwa kuzuia hilo janga?? Si kaombwa hapo na huyo tapeli??

Tumieni akili dadeki zenu nyie watanzania, si ajabu na wewe ulikuwepo hapo ukiiitia eiimen kubwa. Sasa hivi unailaumu serikali wakati ni wewe na mchungaji sijui askofu mlishindwa kuomba kuzuia janga 😂😂
 
Au hii ilikuwa ni kafara ya taifa star, siku ya tukio tukampga ethiopia, badaye tukampga gunea
 
Aende akajaribu kufanya kazi wanayo fanya jamaa ya kutoboa ukuta uliopigwa zege ya maana kwa nusu saa tu auone mziki wake ukoje naamini ataheshimu juhudi za watu
 
R
R.I.P
 
Poleni sana wafiwa.
 
Hebu achana na utaahira wa huyo tapeli. Watu 110 toka wapi? Mtu anatupa jiwe gizani hakafu anasubiri siku yoyote litokee lolote hapo Kariakoo ili aje kusema alisema.., kwani ni mara ya kwanza Kariakoo kupata Majanga?
 
Hii scenario inanikumbusha yaliyotokea chernobyl. Bureaucratic incompetence imepelekea casualties unnecessary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…