mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Tamaa MBAYA.kutaka vyote kwa pupa kakosa vyote.
Matajiri Wana tamaa ya PESA.
Matajiri Wana tamaa ya PESA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona sasa akili zako na wewe, kwahiyo Yesu kashindwa kuzuia hilo janga?? Si kaombwa hapo na huyo tapeli??Utakuwa una matatizo makubwa sana kwenye akili zako.
Acha kuamini ujinga , Katoe basi iyo kafara uchukue afconAu hii ilikuwa ni kafara ya taifa star, siku ya tukio tukampga ethiopia, badaye tukampga gunea
Wakati ye anachat na usiku analala kuna watu hata muda wa kushika simu hawana wanahangaika kutoboa ukuta wenye zege kali usiku kucha ili kujaribu kuokoa uhai ye anachukulia mambo poapoaUmemjibu vizuri..
Aende akajaribu kufanya kazi wanayo fanya jamaa ya kutoboa ukuta uliopigwa zege ya maana kwa nusu saa tu auone mziki wake ukoje naamini ataheshimu juhudi za watuAchana nao hao wanaotumia hili janga kuonesha hasira zao kwa serikali.
Kuna viumbe wengine wakawa wanasema ni kheri wangeachwa wananchi tu wafukue kwa mikono, serikali hamna ilichofanya wala hivyo vikosi vya uokozi hamna walichofanya...
Mtu kama hutu unaona kabisa ana chuki na serikali kwamba hata ifanye nini yeye hawezi ona jema lolote.
Mtu analalama ati kuokoa watu wiki zima ilhali yupo namtumbo si ajabu hata picha tu za jengo lilivyoanguka hajaziona, hajui shughuli za uokozi zinaendaje nk.
Lawama lawama lawama ndivyo hata familia zetu zilivyo.
R.I.PKijana Seba aliyeandika message kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho siku mbili zilizopita.
View attachment 3158342
Mwili wake umeopolewa mda huu ukiwa tayari umeshaanza kuaribika kwenye jengo la Kariakoo.. Tayari mwili wake umepelekwa kwenye hospitali ya Amana kwa kwa taratibu nyingine za kuhustili..Roho ya marehemu ipumzike mahara pema peponi 😭😭 Inasikitisha sana jamani Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un💔🙏
Poleni sana wafiwa.Kijana Seba aliyeandika message kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho siku mbili zilizopita.
View attachment 3158342
Mwili wake umeopolewa mda huu ukiwa tayari umeshaanza kuaribika kwenye jengo la Kariakoo.. Tayari mwili wake umepelekwa kwenye hospitali ya Amana kwa kwa taratibu nyingine za kuhustili..Roho ya marehemu ipumzike mahara pema peponi 😭😭 Inasikitisha sana jamani Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un💔🙏
Hebu achana na utaahira wa huyo tapeli. Watu 110 toka wapi? Mtu anatupa jiwe gizani hakafu anasubiri siku yoyote litokee lolote hapo Kariakoo ili aje kusema alisema.., kwani ni mara ya kwanza Kariakoo kupata Majanga?Deep sorrow!
But all in all, vifo vya Watu hawa kamwe havikusababishwa kwa kudra ya Mungu, Bali ni kutokana na kuwepo kwa janga la rushwa, uzembe wa makusudi, ufisadi na kushindwa kuwajibika ipasavyo.
Aidha, kama kuna 'harufu' ya vitendo vya hujuma ya kupanga kuhusiana na ajali hiyo.
HakunaHii ndiyo akili unatumia kuvuka barabara au kuna nyingine?
Ametokomea "kusikojulikana"😭😭 Inauma sana, hivi mmiliki wa Jengo yuko wapi hadi sasa?
Urais unatafutwa kwa udi ma uvumba.UGLY PAIN.Halafu taifa star 700mil.tunaangamia
Sasa kwanini huyo Allah aitengeneze hiyo starehe ya udanganyifu?"Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu."
(Surat Aal-E-Imran, 3:185)
(Surat Al-Hadid, 57:20)