Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mimi nataka uthibitisho ulio na logical consistency tu.Sio mpaka useme ila ndivyo sayansi inavyotaka, au labda wewe unataka uthibitishe vipi nje ya hivyo ndgu??
Sihitaji kumuona Mungu, sihitaji kumgusa, sihitaji hayo uliyoyaandika, umenikosea sana kuweka vigezo ambavyo mimi sijaviweka.
Umeelewa?
Unaelewa kuwa mtu anaweza kufanya uthibitisho wa kimantiki bila kuweka hayo uliyoyaweka wewe?