Seba aliyeandika meseji kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho kwenye ghorofa ya Kariakoo lililoanguka, akutwa amefariki

Seba aliyeandika meseji kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho kwenye ghorofa ya Kariakoo lililoanguka, akutwa amefariki

Sio mpaka useme ila ndivyo sayansi inavyotaka, au labda wewe unataka uthibitishe vipi nje ya hivyo ndgu??
Mimi nataka uthibitisho ulio na logical consistency tu.

Sihitaji kumuona Mungu, sihitaji kumgusa, sihitaji hayo uliyoyaandika, umenikosea sana kuweka vigezo ambavyo mimi sijaviweka.

Umeelewa?

Unaelewa kuwa mtu anaweza kufanya uthibitisho wa kimantiki bila kuweka hayo uliyoyaweka wewe?
 
Hujanijibu swali langu.

Unajuaje hili ni jambo la imani la kweli ila halina ithibati ya kisayansi tu, na hili ni jambo lisilo na ithibati ya kisayansi kwa sababu ni uongo tu?

Kwa mfano, nikikuambia mimi Kiranga ndiye Mungu muumba wa vyote, niamini, hili ni jambo la kweli la kiimani ila halina ithibati ya kisayansi tu, utaamini?
Tenda yale ambayo Mungu anatenda nitaamini.
 
Mimi nataka uthibitisho ulio na logical consistency tu.

Sihitaji kumuona Mungu, sihitaji kumgusa, sihitaji hayo uliyoyaandika, umenikosea sana kuweka vigezo ambavyo mimi sijaviweka.

Umeelewa?

Unaelewa kuwa mtu anaweza kufanya uthibitisho wa kimantiki bila kuweka hayo uliyoyaweka wewe?
Hata yakiwekwa hutaamini.
Yameshawekwa sana humu juu yako na bado hujayakubali.

Kuna muda ni vizuri kukubali kutokubaliana.
 
Hata yakiwekwa hutaamini.
Yameshawekwa sana humu juu yako na bado hujayakubali.

Kuna muda ni vizuri kukubali kutokubaliana.
Weka tuone. Kuna watu zaidi yangu wanafuatilia mjadala.

Unakimbia kujibu hoja.

Hujathibitisha mungu yupo.
 
Majanga kama haya hayana mbabe mkuu, kumbuka tetemeko la uturuki, ghorofa la floors kumi unadhani watafanyaje ili kuharakisha uokozi?
Majanga kama ya Ukraine ni natural disaster (ila hata hayo inajulikana sehemu ambazo ni prone to earthquake) Kwahio tukitofautisha ajali, uzembe na kutokuwajibika tutaacha kutoa justification na kuanza kuwa proactive...

And on that token kwa Tanzania karibia kila sehemu ni accident waiting to happen...
 
Deep sorrow!

But all in all, vifo vya Watu hawa kamwe havikusababishwa kwa kudra ya Mungu, Bali ni kutokana na kuwepo kwa janga la rushwa, uzembe wa makusudi, ufisadi na kushindwa kuwajibika ipasavyo.

Aidha, kama kuna 'harufu' ya vitendo vya hujuma ya kupanga kuhusiana na ajali hiyo.
Inasikitisha
 
Gharama ya ujenzi holela usiosimamiwa na mamlaka husika ni janga la kitaifa. Kila siku naenda Kariakoo tokea posta kutafuta usafiri, sikuwa napenda kabisa ujenzi wa usiku raia wakiwa chini ya hayo majengo wakiendelea na shughuli zao. Inashangaza sana, RC yeye kazi vijembe na kusifia kwingiii!
 
Mungu alikuwa wapi kuzuia hilo jengo lisiporomoke?

Masikitiko mengi…..Mungu hivi Mungu vile.

Where was his ass in Seba’s hour of need?
"Lo! Allah! With Him is knowledge of the Hour. He sendeth down the rain, and knoweth that which is in the wombs. No soul knoweth what it will earn to-morrow, and no soul knoweth in what land it will die. Lo! Allah is Knower, Aware."

Qu'ran 31:34
 
Back
Top Bottom