Secret service wanaweza kuwa washirika kwenye jaribio la mauaji ya Donald Trump

Wabongo bana kwa ujuaji ujuaji tu. Laiti mngetanguliza huu weledi wa ujuaji ujuaji kwenye maswala muhimu ya kitaifa (issues concerning national importance) kama kilimo, uvuvi na umwagiliaji tungekuwa mbali sana.

Tuacheni porojo za hapa na pale vibarazani tukishakula, kushiba na kuvimbiwa na kande.

Badala yake tujikite katika kufanya kazi na uzalishaji mali ili kupanua wigo mpana katika mustakabal wa taifa letu.
 
Kwahiyo hapo tayari umeshajua sifanyi kazi?
 
Dogo tafadhali usinilazimishe nikutamkie neno baya kwako ikawa laana. Nimekuamuru mara moja ufanye kazi. Katika maisha yangu sipendi upuzi.Na nitakufuatilia kwa karibu sana kuhakikisha unafanya kazi. Ole wako sasa.
Unaongea Kama vile kazi zote kwenye nchi hii unafanya mwenyewe..
Kama mwalimu fulani hivi wa maisha, ubwa kasoro mkia!
 
Dogo tafadhali usinilazimishe nikutamkie neno baya kwako ikawa laana. Nimekuamuru mara moja ufanye kazi. Katika maisha yangu sipendi upuzi.Na nitakufuatilia kwa karibu sana kuhakikisha unafanya kazi. Ole wako sasa.
Ha ha ha ha ha, πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aisee!
 
Hii ni michezo tu sawa na ule wa Area C.
Ipo hivi ukitumwa ukatoe uhai wa kiongozi nyuma yako pana watu wamepangwa kutoa uhai wako baada ya mission ili kuficha ushahidi kwani ukiacha hai utatema siri so unalaghaiwa kwa kulipwa pesa za kazi zote nyingi ili ujae baada ya kuuliwa pesa inarudishwa.
Thus hizi mission ni wapumbavu pekee ndio huwa wanatumwa.
Sawa na ile ya Area C wengi walimalizwa baada ya mission wakakosa vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…