Secret service wanaweza kuwa washirika kwenye jaribio la mauaji ya Donald Trump

Ushashiba zako ugali na mchicha hapo Buza kwa mama kibonge naona ukaamua utuletee uchambuzi!! Tunashukuru
 
Tambura kwanza jimbo alilokua jana wanatuhusu bunduki,so in that sense mtu yyt hakatazwi kuingia nayo na kwa mtu km huyo dogo ni nadra sn kumnasa/kumshtukia.
Kingine wao sehemu kubwa wanawaza adui wa nchi nyingine zaidi kuliko wao wenyewe,Mexican and Arabian but wao kwa wao wanachukiana mno
 
uwenda ikawa ni scene iiyo planiwa kwa kila hatua, ili T apate kura nyingi hasa zile za huruma.

Kuna wapiga kura watakao ingia kwenye mtego wa kujiuliza "kwa nini T ameshambuliwa"?,uwenda ana kitu cha kutufikisha kwenye asali tumpe yeye"
Sio kweli walitaka kumuua na siowashirina wa trump hao ni Biden gang
 
Dogo tafadhali usinilazimishe nikutamkie neno baya kwako ikawa laana. Nimekuamuru mara moja ufanye kazi. Katika maisha yangu sipendi upuzi.Na nitakufuatilia kwa karibu sana kuhakikisha unafanya kazi. Ole wako sasa.
Boss mkubwa huyu omba ajira haraka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Secret Service wakitaka kumuua rais hawakosi.

Extraordinary claims require extraordinary evidence - Carl Sagan.
 
Dogo tafadhali usinilazimishe nikutamkie neno baya kwako ikawa laana. Nimekuamuru mara moja ufanye kazi. Katika maisha yangu sipendi upuzi.Na nitakufuatilia kwa karibu sana kuhakikisha unafanya kazi. Ole wako sasa.
Duuh nchi hii mambo ya kutishiwa a yamerudi tena? Wenye mamlaka acheni hizo basi mna haribia mama!
 
Somewhere in the bushes of Africa someone is trying to assume Trump issue in detail more than American
 
Mtaalamu kutoka SUA,KIU, na Data star college.kuchambua security ya USA.






KAZI ni kipimo cha UTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…