Secret service wanaweza kuwa washirika kwenye jaribio la mauaji ya Donald Trump

na ndio maana walimuua yule mdunguaji asijeishi akatoa siri. secret service,jeshi, FBI na ulinzi wote wa marekani wamejaa mashoga na wasagaji. TRUMP yupo against hiyo kitu na wamarekani wengi wa mrengo huo hawataki kabisa awe Rais. hata akishinda itabidi timu yake ya ulinzi na wale anaofanya nao kazi awachague kwa umakini sana. la sivyo, attempt inayofuata hawatafanya tena makosa.
 
Sasa hapo ndio angekuwa muislamu kama naona hiyo coverage maana wangeunganishwa mpaka babu yake alizikwa wapi ma shangazi ana chat na nani, lakini kwa kuwa ni kijana wao hata kuongelewa kimyaa kama risasi ilitoka kwa bahati mbaya. Naongea tu chukulia tu mpigaji katoka kwa wahamiaji tena rangi nyingine wiki mwezi mzima wangeimba.
 
uwenda ikawa ni scene iiyo planiwa kwa kila hatua, ili T apate kura nyingi hasa zile za huruma.

Kuna wapiga kura watakao ingia kwenye mtego wa kujiuliza "kwa nini T ameshambuliwa"?,uwenda ana kitu cha kutufikisha kwenye asali tumpe yeye"
Huenda ni huruma inatafutwa. Kama ambavyo huku bongo wanavyomhurumia mama lakini watu hawaoni anachokifanya
 
Waache wamuue tu
 
Only God, Trump analindwa na Mungu
 
Futi 50 ni sawa na Mita 16 tu...! siamini kama Shooter alikua Mita 16 toka Kwa target, Mita hizo zipo hatua chache toka Kwa Trump, labda hata Mtu wa Mwisho kwenye Mkutano Kwa mbele alikua mbali zaidi ya Mita hizo.

Tunaambiwa Shooter alikua Juu ya Ghorofa refu... Nadhani distance ilikua wastani wa Mita 100...!
 
Uwezi amini hawa watu wawili Watanzania wanaweza kukwambia nchi uchumi na usalama umekuwA
 
uwenda ikawa ni scene iiyo planiwa kwa kila hatua, ili T apate kura nyingi hasa zile za huruma.

Kuna wapiga kura watakao ingia kwenye mtego wa kujiuliza "kwa nini T ameshambuliwa"?,uwenda ana kitu cha kutufikisha kwenye asali tumpe yeye"

Hamna acting pale Dogo Thomas alitaka kula kichwa ya Trump sema mission imefeli.
 
Kwanini wamu waishe kaburini ikiwa ali hitajika aje atoe maelezo ya walio mpa kazi ni akina nani?.

Huoni kama kuna kitu kipo nyuma ya pqzia mkuu?
Sheria yao ya kazi inaruhusu... yoyote atakaye jaribu kufanya shambulio lolote dhidi ya Rais hakuna cha msalia mtume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…