Secret service wanaweza kuwa washirika kwenye jaribio la mauaji ya Donald Trump

Hilo jengo alokwea huyo muuaji ni kiwanda cha magari hivyo lina ulinzi wake ikiwemo ile "gate house security."

Hivyo watu wa SS na polisi hawakuwa na wazo kwamba muuaji ataweza kutokea kwenye jengo hilo ingawa walipaswa kumweka "marked man" wao kwenye hilo jengo.

Hiyo ni kwasababu majengo kama hayo tayari ya ulinzi wa zile access controls hivyo ni suala la "social engineering" lilifanyika kuwarubuni baadhi ya watu ili kijana apate access.

Hata hivyo tusifikie "conclusion" mapema bado FBI wafanya uchunguzi wao wa "motive" ya huyo kijana marehemu.

Ila ilikuwa ni jambo la mbolea endapo wale polisi (marksmen) wangemlegeza au neutralizeili kupata mawili matatu.
 
Nani ana material ya kuwa rais?
Trump is an isolationist. Not ideal for the current US national and foreign politics as well as national interests. Whether global or domestic. They’re all intertwined.

You gotta understand the US history in order for you to understand what I’m talking about.
 
Now who is a right man for the presidency!?
 
uwenda ikawa ni scene iiyo planiwa kwa kila hatua, ili T apate kura nyingi hasa zile za huruma.

Kuna wapiga kura watakao ingia kwenye mtego wa kujiuliza "kwa nini T ameshambuliwa"?,uwenda ana kitu cha kutufikisha kwenye asali tumpe yeye"
Kule Marekani hakuna mawazo ya kijinga kama haya, kama vile mnavyosema na Lissu alitaka kujiua.

Yaani mitanzania....
 
Nakubaliana na wewe kabisa. Hawakuwa serius kabisa na kuna clip moja walionyeshwa kabisa kuwa kuna mtu yupo juu ya roof wakanyuti, sasa hivi wanawalaumu police. Hahaha
 
FBI hawa hawa ambao hawajui Laptop ya mtoto wa Biden ipo wapi baada ya kupotelea mikononi mwao?

Sasa hivi wanatoa kauli nyengine, wanasema Iran ni mhusika.
 
Ulitaka wote tuwahusishe SS kwenye hilo jaribio,funny enough,umekasirishwa na huyo "crook" aitwaye Crooks kushindwa kulenga shabaha yake vema.Unawalaumu SS kwa kutompa muda zaidi the crook!πŸ€”
 
FBI hawa hawa ambao hawajui Laptop ya mtoto wa Biden ipo wapi baada ya kupotelea mikononi mwao?

Sasa hivi wanatoa kauli nyengine, wanasema Iran ni mhusika.
Check the checkers yaendelea.

Leo imebainika kuwa kijana alionekana akikweka ukuta kwenda kwenye hilo jengo na ripoti zilitolewa.

Pia mahali alipokuwa amedunguliwa kwa risasi pamekutwa simu na kifa cha kufyatulia bomu au "detonator".

Hivyo hii investigation ni kubwa sana.

Tuvute subira.
 

Just setting the record straight.

Secret Service ndio waliomwambia Trump "wave, wave" ndiyo Trump akatoa ngumi hewani.

Trump alikuwa kachanganyikiwa hata hakufikiria kutoa ngumi.

Ukisikiliza audio ya ile video utasikia Secret Service agent mmoja anamwambia Trump "wave, wave".

Ndiyo Trump akapiga fist hewani akisema "fight, fight".
 
Dogo tafadhali usinilazimishe nikutamkie neno baya kwako ikawa laana. Nimekuamuru mara moja ufanye kazi. Katika maisha yangu sipendi upuzi.Na nitakufuatilia kwa karibu sana kuhakikisha unafanya kazi. Ole wako sasa.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
The whole incident especially how it was handled by the SS stinks to high heaven.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…