Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

kwa hiyo mji wetu hautapendeza tena, basi na wapige marufuku video kwenye sehemu ya kusubiri wageni.
 
safi sana .............. Wanyoooshe baba
 
Kumbe kuna watu kila mwaka wanaombea Krismas ifike wapige hela duuh.

Wakati sisi wachagga tukisafiri kwa wingi kwenda kula sikukuu kule tarakea, kibosho, machame na kwingineko kumbe huku nyuma watu wanafyatua kadi wanapiga pesa

Asante Ngosha tushikishe adabu.
 

Katazo ni sikukuu za chrismass na mwaka mpya kama na iddi ilikuwa hivyo ingeanishwa kwenye hiyo release lakini haipo na iko wazi tu kuwa kipindi hicho ndicho ambacho ofisi za umma zinapambwa mikrismasi na mataa ya kuwakawaka ni gharama za nani zinatumika kupamba ofisi za umma kama si serikali??
 
Suppose press release hii ingetolewa kipindi cha JK? hali ingekuwaje!
 
Ndiomana nilisema hii nchi inaitaji ubabee tuu...safiii
 
Suala hapa ni Unafiki na Uzandiki uliopo. Tunaishi dunia tunayoijua. Cha kushangaza ukiingia ofisini za umma unapokelewa na nyimbo za kwaya. is that fair? who speaketh on that? Magufuli tumbua hayo majipu turudi kwenye Utanzania wetu!!
 
Suppose press release hii ingetolewa kipindi cha JK? hali ingekuwaje!

Kwangu mimi hali ingekuwa ya kawaida...

Lakini kwa mdini/mbaguzi angeona suala hili ni baya...

Sidhani kama wewe ni Mdini...
 
Kalenda za mashirika ya umma, nazo zifutwe..T-shirt za mashirika nazo zifutwe. Maana huo ni ulaji tu....
 

umeingea vizuri ila umemaliza vibaya,nikuambie tu uislam hauna karne hii sio dini ya kuedit na matamko,aichokiamini muislam wa karne ya10 ndicho kinachoaminiwa mpk sasa hakuna tofauti,uzuri dini hii ni ya MUNGU haiongozwi na binadamu.
 
Sipati picha tamko lingetolewa wakati wa kikwete,naona angezimia kama sio kufa kabisa kwa maneno ya "wanafiki"
Ngwajima ange itisha kikao cha dharura cha kamati kuu ya.....
 


Akili zilizo juu ya mawe zinahitataji service ya hali ya juu
 
Suala hapa ni Unafiki na Uzandiki uliopo. Tunaishi dunia tunayoijua. Cha kushangaza ukiingia ofisini za umma unapokelewa na nyimbo za kwaya. is that fair? who speaketh on that? Magufuli tumbua hayo majipu turudi kwenye Utanzania wetu!!

Ni utashi wa mtu...Kuna wengine wanaweka nyimbo za Kaswida maofisini...

Binafsi sioni ajabu/tatizo mtu kusikiliza nyimbo za Dini ofisini...Tatizo ni kutumia ofisi za serikali/nyenzo za serikali katika masuala ya kidini/Kuhubiri Dini maofisini
 
Suala hapa ni Unafiki na Uzandiki uliopo. Tunaishi dunia tunayoijua. Cha kushangaza ukiingia ofisini za umma unapokelewa na nyimbo za kwaya. is that fair? who speaketh on that? Magufuli tumbua hayo majipu turudi kwenye Utanzania wetu!!
Mkuu nakuunga mkono, haya yangefanyika wakati wa JK wimbo mkuu hapa ingekuwa JK mdini, JK mpinga kristo sasa amefanya mwenzao kimyaaa! KILA TEUZI ALOKUWA AKIFANYA JK ILIKUWA INAKUWA DISSCUSSED KWA MTAZAMO WA KIDINI. Wakristo waafrika ni wanafiki sana. Ndo maan nawapongeza wazungu na wayahudi hawana ujinga huu, zigo lote wamewaachia waafrika wanahangaika nalo
 

Katazo linasema 'mwaka huu'..Sidhani kama kuna sikukuu ya Iddi/Maulid kwa Novemba na Desemba,2015...Meaning kianzia Januari linaweza kutolewa katazo lingine...

Lengo ni kupunguza matumizi yasiyo ya lazima... Na si udini kama unavyodhani...Ni mdini pekee ndiye anaweza kulifikiria hilo...
 

kumbe pesa za serikali zilikuwa zinafujwa namna nyingi kama hivi? kwa kweli nchi hii sio masikini hata kidogo. wazee wa 10% mwaka huu wataisoma namba.
 
Kote sawa ila nimekerwa sana na maneno ya mwisho katika aya ya kwanza ya huo waraka "...kwa mwaka huu"! Kwa nini wasifute moja kwa moja? - ours is a secular country! Hayo ma card yanafaida gani kwa nchi kama watoto wetu hawana madaftari, vitabu na hata madawati. Card moja kuitengeneza sio chini ya shiling 1000. Pesa hii inaweza kununua penseli ngapi? Get rid of all these nonesense expenses for good!
 
Safiiii tunapoteza fedha kizembezembe
Ningekuwa Rais Magufuli, ningeanza kumuwajibisha Sefue. Sefue kama Katibu Mkuu Kiongozi, hajaonekana kudhibiti utendaji serikalini pamoja na kusimamia matumizi ya fedha. Hivi sasa anaongozwa na dhamira ya woga baada ya Rais kuanza kudhibiti maeneo ambayo yeye kama KMK alikuwa anatarajiwa kufanya. Ninamshauri rungu la JPM lianzie kwa kusafisha ofisi ya KMK.
 
Daa ule mwaka ambao kanumba alikufa kuna wizara moja ilitoa mil70 kuwezesha msiba huo,asee alinichefua vibaya huyo waziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…