Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

Kwa hasira asijezifungia line ongezeni speed ya michango watoke haraka
 
Kiongozi na mwenyekiti wa chama cha siasa anakosaje kuwa mwanasiasa?

Umeona wapi sheikh asiyekuwa muislamu?

Tafakari kabla ya kusema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabunge watatu (3) wa CHADEMA walioachiwa kutoka gerezani wamesikika wakidai kuwa sasa ni saa ya ukombozi na wananchi waliowachangia faini ya mahakama wamedhirisha hilo. Wasikilize kwenye YouTube links hapa chini.


Swali la msingi Je, Tanzania tunahitaji Sera na Mikakati ya kujikomboa kisiasa (demokrasia/uhuru/haki) au mageuzi ya kiuchumi?

TUJADILI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…