Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

Kwa hasira asijezifungia line ongezeni speed ya michango watoke haraka
 
Serikali imejivua nguo. Mh. Magufuli unashauriwa vibaya, wewe sio mwana siasa, wanasiasa matapeli (polepole & co.) Wanakufanya uonekane mbabaishaji (kitu ambacho sio hulka yako) jikite kwenye uchapaji kazi. Watanzania walikufahamu kupitia kazi sio siasa. Siasa zinakuharibia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi na mwenyekiti wa chama cha siasa anakosaje kuwa mwanasiasa?

Umeona wapi sheikh asiyekuwa muislamu?

Tafakari kabla ya kusema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabunge watatu (3) wa CHADEMA walioachiwa kutoka gerezani wamesikika wakidai kuwa sasa ni saa ya ukombozi na wananchi waliowachangia faini ya mahakama wamedhirisha hilo. Wasikilize kwenye YouTube links hapa chini.





Swali la msingi Je, Tanzania tunahitaji Sera na Mikakati ya kujikomboa kisiasa (demokrasia/uhuru/haki) au mageuzi ya kiuchumi?

TUJADILI
 
Back
Top Bottom